Ninasoma na mabinti wa kihindi hapa London. Nimewaonyesha hii picha leo asubuhi tukiwa darasani. Wengi walicheka na kusifu ujasiri, hasa wa huyu mama aliyetoa kibano. Hata hivyo hawa walijaribu hata kusoma maaandishi hayo yanayoonekana kwa mbali kulia, na pia hii uniform ya huyu askari, wakasema hapa ni Bangladesh, sio India. Mdau.
Naona polisi wanazuia akina mama wengine wasiende pale. Hakuna anayemsaidia huyo mwanaume.
ReplyDeleteHahaha safi sana, ubabe wa wanaume umzidi miongoni mwa jamii.
ReplyDeleteJamani wanataka kumbaka mwanaume! Wanawake wa kihindi hawa inatakiwa washitakiwe.
ReplyDeleteIndia wanawake ndio wanaooa wanaume.Wakiwa hawajapata mtu ukipita kwenye kundi la wanawake wasiokuwa na wanaume ni raisi mwanaume kukabwa na kubakwa.

ReplyDelete