Friday, April 22, 2011

In Memoriam - Prof. Henry D. Kadete

(Pichani Chemi & Henry Kadete 1986)

In Memoriam

Professor Henry D. Kadete 1954-1995

Former Head of Electrical Engineering Department, University of Dar es Salaam

Henry, time flies and we can't believe that its been 16 years today since you left us that sad April day 4/22/1995. You are deeply missed by your wife Chemi, your sons Camara and Elechi, Brothers, Charles, Joel, Peter, Sisters Rebecca and Erica and a host of nephews and nieces, family and friends.

REST IN ETERNAL PEACE

6 comments:

Anonymous said...

pole sasa da Chemi, kumbe pia your first husbdand died, Mungu akutie nguvu

Mbele said...

Da Chemi, shukrani kwa kutuwekea hiyo picha. Inanikumbusha miaka ile tulipokuwa majirani pale Kileleni, Chuo Kikuu Dar. Imenigusa sana.

Mungu ndiye anayepanga maisha yetu. Tuendelee kumwombea mwenzetu Prof. Kadete raha ya milele huko aliko. Nawe na wanao Mungu aendelee kuwatunza na kuwabariki.

John Mwaipopo said...

at 41, the engineering prof was too young to die. God has His ways wallah. look, he was arlead a prof at that age! raha ya milele umpe eeh Bwana na mwanga wa milele umwangazie

Chemi Che-Mponda said...

Asante. John, nadhani alikuwa youngest Ph.d katika High Voltage Engineering was UDSM kwa wakati wake. Alikuwa 33 alipopata. Labda kuna mtu kampita sasa. Na WaBongo ni Wasahaulifu. Prof.Kadete ndo alifanya utafiti wa awali wakuleta LUKU na pia kama wangemsikiliza alikuwa amebinu njia ya kupatia vijiji umeme kwa bei rahisi. WaTanzania wanasahau haraka mno!

Malkiory Matiya said...

Chemi;Mungu akufariji.

Anonymous said...

Tulikuwa marafiki enzi hizo za FoE. Alifariki nikiwa nimeshaondoka Tanzania, habari ambazo niliona ugumu sana wa kuziamini hasa kwa vile wakati huo Tanzania ilikuwa haijaungwa kwenye internet. RIP