Sunday, May 31, 2015

Kenyan Child Burn Victim Looking for Host Family in Boston

URGENT: Kenyan burn victim child looking for a temporary host family in Boston

BOSTON, Mass--Stella Akoth is a bright 16 year old girl who lives in Chimelli, a small rural town in Kenya. She suffered severe burns when she was two years old from a kerosene lamp explosion and as a result, she is disabled and is excluded from many activities that her peers enjoy.
However, an amazing story is unfolding..... After her concerned teacher contacted a local non-profit organization, a network of people came forward and now, she has an opportunity of a life time. She will be flown into Boston to receive surgery at the Shriners Hospital by a world-renown surgeon for child burn victims. Her medical expenses, living expenses, and air fare will all be provided by donors and charitable organizations.
A host family in Boston that would take Stella and her guardian in between Stella’s surgeries is the only missing piece at this point. We have 3 prospective host families but would like to have a few more on our list in case things fall through for one reason or another. (A stipend would be provided by the Children’s Burn Foundation to cover expenses.) Would you be able to host?
Stella and her guardian are due to arrive in early June. First, Stella will be seen by the surgeon to determine a plan. She will likely undergo a series of surgeries. Please provide two beds and use of a bathroom and kitchen for a maximum of a couple of months. If you could provide meals, that would be helpful.
l  A TV station in Kenya covering Stella’s story: https://www.youtube.com/watch?v=zEgCajOODV4
l  Crowdraise funding page has more details about Stella: https://www.crowdrise.com/stellassurgery 
 Please contact Yasuko Voccio if you are interested or have any questions at ogasawara_yasuko@hotmail.com or 857-231-1254 (cell).

You can also contact the New England Kenyan Welfare Association officials for more information at: 
978-809-5560, 781-953-2490
Thank you for your interest. 
Team Stella

Monday, May 25, 2015

Tuzo za Filamu 2015

Tuzo za Filamu 2015 zafana, Serikali Yahaidi Neema
Mwakilishi wa Amri Athuman-King Majuto (Best Comedian Tanzania Film Awards 2015) akipeana mkono na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala mara baada ya kupokea tuzo kwenye Tuzo za Filamu 2015 jana. Mwakilishi wa Amri Athuman-King Majuto (Best Comedian Tanzania Film Awards 2015) akipeana mkono na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala mara baada ya kupokea tuzo kwenye Tuzo za Filamu 2015 janaMama yake na Steven Kanumba akipokea tuzo ya mchango mkubwa kwenye filamu aliyotwaa mwanaye (marehemu Kanumba) kwenye tuzo za Filamu 2015. Mama yake na Steven Kanumba akipokea tuzo ya mchango mkubwa kwenye filamu aliyotwaa mwanaye (marehemu Kanumba) kwenye tuzo za Filamu 2015.Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala akitoa shukrani baada ya kupokea tuzo aliyopewa Rais Jakaya Kikwete na Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFA) kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015. Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala akitoa shukrani baada ya kupokea tuzo aliyopewa Rais Jakaya Kikwete na Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFA) kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015.Mama yake na Steven Kanumba akipeana mkono na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala mara baada ya kupokea tuzo ya mwanaye kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 jana. Mama yake na Steven Kanumba akipeana mkono na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala mara baada ya kupokea tuzo ya mwanaye kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 jana.Mama yake na Steven Kanumba akilia baada ya kuitwa ampokelee tuzo mwanaye. Mama yake na Steven Kanumba akilia baada ya kuitwa ampokelee tuzo mwanaye/Irene Paul (Best Actress) akipokea tuzo yake kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 jana. Irene Paul (Best Actress) akipokea tuzo yake kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 jana.
Irene Paul (Best Actress) akipongezwa na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 jana. Irene Paul (Best Actress) akipongezwa na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 jana.John Kalage (Best Director) akipokea tuzo yake kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 jana. John Kalage (Best Director) akipokea tuzo yake kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 jana.[/caption] [caption id="attachment_57745" align="aligncenter" width="800"]Hissan Muya (Best Actor Supporting Role) akipeana mkono na viongozi wa meza kuu wakiongozwa na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala mara baada ya kupokea tuzo yake kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 jana. Hissan Muya (Best Actor Supporting Role) akipeana mkono na viongozi wa meza kuu wakiongozwa na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala mara baada ya kupokea tuzo yake kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 jana.[/caption] [caption id="attachment_57743" align="aligncenter" width="800"]Grace Mapunda Best Actress Supporting Role) akipeana mkono na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala mara baada ya kupokea tuzo yake kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 jana. Grace Mapunda Best Actress Supporting Role) akipeana mkono na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala mara baada ya kupokea tuzo yake kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 jana.[/caption] [caption id="attachment_57744" align="aligncenter" width="620"]Hissan Muya (Best Actor Supporting Role) akipokea tuzo yake kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 jana. Hissan Muya (Best Actor Supporting Role) akipokea tuzo kwa niaba ya msanii mwenzake kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 jana.[/caption] [caption id="attachment_57749" align="aligncenter" width="800"]Mwakilishi wa Amri Athuman-King Majuto (Best Comedian Tanzania Film Awards 2015) akipeana mkono na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala mara baada ya kupokea tuzo kwenye Tuzo za Filamu 2015 jana. Mwakilishi wa Amri Athuman-King Majuto (Best Comedian Tanzania Film Awards 2015) akipeana mkono na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala mara baada ya kupokea tuzo kwenye Tuzo za Filamu 2015 jana.[/caption] [caption id="attachment_57753" align="aligncenter" width="800"]Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala pamoja na viongozi mbalimbali wa meza kuu kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 wakipiga picha na baadhi ya washindi wa Tuzo za Filamu 2015 jana zilizofanyika katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala pamoja na viongozi mbalimbali wa meza kuu kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 wakipiga picha na baadhi ya washindi wa Tuzo za Filamu 2015 jana zilizofanyika katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.

Sunday, May 24, 2015

LIKE My Page on Facebook


https://www.facebook.com/chemichemponda

Please LIKE my page on Facebook!

 Click Here/Bofya Hapa:  CHEMI CHE-MPONDA


Mama Bishanga Afiwa na Kaka Yake - Casim Jaffer Manji

MAMA BISHANGA AMLILIA KAKA YAKE CASIM JAFFER MANJI

Leo hii tarehe 23/05/2015 asubuhi ya Tanzania nimefiwa na kaka yangu mkubwa Bw Casim Jaffer Manji (Jalejale) Kongowe kwa binti yetu Anna Kepha mtoto wa marehemu dada Mwl Cecilia Hatia.
Napenda kutumia nafasi hii kumjulisha Abasi Manji na akina Manji wa DSM. Familia ya Jaffer Manji wa Bombey, wadogo zangu Dr Geofrey Hatia Nambira wa Namibia, Isaya Hatia wa Finland, na aunt Eva Mack Hatia wa Finland. Familia ya marehemu mzee Abdruhaman Bellim, familia ya mzee Abdala, mzee Jalabi, na shangazi Anna Mchauru wa Masasi ya zamani na Mkuti, ukoo wa che Mbungo wa Lukuledi Masasi, na ukoo wa Hatia wa Ndanda. Na Deo mwalujua na familia yake wa Columbus Ohio.

Kwa taarifa za mipango na ratiba ya mazishi wasiliana na

Mwl Mack Hatia wa Azania sekondari 225 0754 290 013
Kilian kamota 225 653 0763 200
Constancia Hatia (Mrs Solmon) 225 0712 555 966
Musa Kamota 225 075 609 370 
Fidelis Mrope 225 0713 410 321 
Hendrich Nambira (Kenny) 225 0715 965 321
Joseph Hatia (Ndugu) 225 0713 987 173

Mungu amempenda Zaidi kaka yetu. Tushukuru kwa yote.

Mama Bishanga / Mrs Marolen

Ohio / USA

Saturday, May 16, 2015

Kijana Mweusi Aliyeambukiza Watu 30 VVU Marekani Afungwa Miaka 60!

 
Mwathirika wa UKIMWI Michael Johnson


Kijana Michael Johnson (23) mwenye virusi vya UKIMWI (VVU), amehukumiwa kifungo cha miaka 60 gerezani!  Atakaa si chini ya miaka 30 gerezani.  Johnson ambaye ni shoga/msenge anasadikiwa kuambukiza watu zaidi ya 30 VVU. Alikuwa anatembea nao baada ya kupanga deti kwenye mtandao!  Alikuwa anajiita Tiger Mandingo kwenye mtandao. Hakuwajulisha kuwa ni mwathirika. Aliwaambukiza wengine ugonjwa wa kisonono (Gonorrhea).

 *************************************************

Kutoka Madame Noire

Update- May 15,2015-4:34 p.m.:
This afternoon, Michael Johnson was sentenced to at least 30 years in prison and may serve up to 60 years after being convicted on all five counts of infecting and exposing partners to HIV. If Johnson’s sentences are served concurrently he will serve 30 years; Buzzfeed News reports if his charges are served consecutively, he will serve 60 and a half years. The judge on his case, Judge Jon Cunningham will determine his official sentencing on July 13, 2015.
Update- May 15,2015- 1:55 p.m.:

Former college wrestler, Michael Johnson who is believed to have infected over 30 people with HIV, faces life in prison. He was found guilty on Thursday, May 14, 2015 on one count of recklessly infecting a person with HIV, one count of attempting to recklessly infect a person with HIV and three counts of recklessly exposing partners to HIV. Johnson’s trial was three days long, according to Buzzfeed News and his mother, Tracy Johnson was in attendance along with his former partner, Dylan King Lemons. The two had unprotected sex during their relationship and Lemons believes he contracted the virus from Johnson. Lemons went to the police after he noticed Johnson had active profiles on several gay hookup apps and testified against him in court.

Missouri state law demands people who are diagnosed with HIV to disclose their status to their partners, regardless if they use protection or take medication. Johnson was diagnosed by the Missouri Department of Health with HIV on January 7, 2013. The day after Johnson received his status, he began having  unprotected sex with various partners on and in the surrounding area of his college campus. Only six of Johnson’s multiple partners came forward to charge him with knowingly infecting them with HIV and other STDs.

Sanamu ya Kuaabudu Mataka Makubwa!

Sanamu ya Mwanamke mwenye matako makubwa  Picha iko HAPA
Sijui hii picha imepigwa wapi, lakini wanaume wa kiafrika wanapenda matako makubwa hadi imebidi wachonge sanamu! Duh! Huyo dume anayafurahia hadi inabidi aziguse!

Hii iko Ufaransa

Mgahawa Nigeria Yafungwa kwa Kulisha wateja Nyama ya Binadamu!

Nigeria ina idadi kubwa sana ya watu. Sasa wengine wameamua kuwapunguza kwa kuwala! 

*******************************************************

Sad and horrifying and gross and true.

Nyama ya bindamu buchani Ulaya (pichani si nyama ya bindamu kweli bali nyama  ya n'gombe iliyoumbwa kwa shepu ya bindamu)





Kutoka  EATER:

A hotel restaurant in Anambra, Nigeria has been shuttered by authorities for serving human flesh. According to the BBC, suspicious residents told police of rumors that the restaurant was cooking human meat for customers. Police then raided the restaurant, where they discovered fresh human heads that were still bleeding. The blood was in the process of being drained into a plastic bag.
In addition to the illegal meat, authorities discovered automatic weapons, grenades, and cell phones. Ten people were arrested in conjunction with the crimes. One resident said, "Every time I went to the market, I observed strange activities going on in the hotel. People who were never cleanly dressed and who looked a bit strange made their way in and out of the hotel, making me very suspicious of their activities. I am not surprised at the shocking revelation."
A priest who ate at the restaurant was alarmed when presented with a bill of 700 Naira, or roughly $3.50 (Tens of millions of people in Nigeria subsist on less than $1 a day). "The attendant noticed my reaction and told me it was the small piece of meat I had eaten that made the bill scale that high," he said. "I did not know I had been served with human meat, and that it was that expensive."
Last year, Australian chef Marcus Volke murdered and cooked his girlfriend before killing himself. In Brazil, also last year, a man and two women were arrested for murdering potential nanny candidates and then cooking their flesh into empanadas.


Friday, May 15, 2015

American Hero - Henry Lincoln Johnson Aka Black Death

Henry Lincoln Johnson (1897 – July 5, 1929) the Soldier Called “Black Death”

Henry L Johnson Aka Black Death (1897-1929)
 Henry Johnson suffered 21 wounds and rescued a fellow soldier while repelling an enemy raid in the Argonne Forest in 1918 but died 11 years later a forgotten man.

On June 2, 2015, President Barack Obama will award the Medal of Honor to Army Private Henry Johnson for conspicuous gallantry during World War I.


Private Henry Johnson will receive the Medal of Honor posthumously for his actions while serving as a member of Company C, 369th Infantry Regiment, 93rd Division, American Expeditionary Forces. Then-Private Johnson distinguished himself during combat operations in the vicinity of the Tourbe and Aisne Rivers, northwest of Saint Menehoul, France, on May 15, 1918.

Private Johnson entered the Army on June 5, 1917. He was assigned to Company C, 15th New York (Colored) Infantry Regiment, an all-black National Guard unit that would later become the 369th Infantry Regiment. The Regiment was ordered into battle in 1918, and Private Johnson and his unit were brigaded with a French Army colonial unit in front-line combat.

While on night sentry duty on May 15, 1918, Private Johnson and a fellow Soldier received a surprise attack by a German raiding party consisting of at least 12 soldiers. While under intense enemy fire and despite receiving significant wounds, Johnson mounted a brave retaliation resulting in several enemy casualties.

When his fellow soldier was badly wounded, Private Johnson prevented him from being taken prisoner by German forces. Private Johnson exposed himself to grave danger by advancing from his position to engage an enemy soldier in hand-to-hand combat. Displaying great courage, Private Johnson held back the enemy force until they retreated. He died at the age of 32 and was buried in Arlington National Cemetery, his only recognition the French Croix de Guerre.

At last, in 1996, the U.S. awarded Johnson a Purple Heart and followed up in 2002 with the nation’s second-highest commendation, the Distinguished Service Cross. At the time, the military denied Johnson the Medal of Honor, finding insufficient documentation of his heroism.

Subsequently, Sen. Chuck Schumer’s volunteer historians have amassed overwhelming proof that this quintessential Hellfighter from Harlem performed with incomprehensible valor in service of a nation that spurned him at every turn because of skin color. Command Sergeant Major Louis Wilson, New York National Guard, will join the President at the White House to accept the Medal of Honor on Private Johnson’s behalf.
(Story via Edie A.)
Read more here: http://www.smithsonianmag.com/…/remembering-henry-johnson…/…

Wednesday, May 13, 2015

Abarikiwa Matako Makubwa Mno!


Balozi mpya wa Malawi nchini Marekani atembelea Ubalozi wa Tanzania D.C.

 Mhe balozi mpya wa Malawi Nector Mhura akipokelewa na Afisa ubalozi Swahiba Mndeme alipotembelea ubalozi.
 Mhe, balozi Liberata Mulamula kwenye picha ya pamoja na mgeni wake balozi wa Malawi Nector Mhura.
 Mhe, balozi wa Malawi nchini Marekani akiweka saini kwenye kitabu maalum cha wageni.
 Mhe, balozi wa Malawi nchini Marekani Nector Mhura akimsikiliza kwa makini mwenyeji wake balozi Liberata Mulamula alipokua akijitambulisha.
  Mhe, balozi wa Malawi nchini Marekani Nector Mhura akiwa ameambata na mkuu wa utawala wa ubalozi wa Malawi bi, Jane Nankwenya.
 Mhe, balozi wa Malawi nchini Marekani Nector Mhura akiwa ameambata na mkuu wa utawala wa ubalozi wa Malawi bi, Jane Nankwenya, kulia ni balozi wa Tanzania nchini Marekani Liberata Mulamula na Afisa wa ubalozi Swahiba Mndeme.

                   PICHA ZOTE KWA HISANI YA CAMERA YA UBALOZI.

Saturday, May 09, 2015

Mafuririko Dar es Salaam!

Jamani, jamani!  Watu wameambiwa wasijenge Jangwani! Lakini wapi, wanajenga.  Haya sasa ona matokeo! Picha Kutoka Facebook.



Fenecha ya mtu


Sebuleni hapo



Aerial View of Jangwani Dar es Salaam
Mliozoea kwenda shopping hapo, mlie tu!



Hapo Sinza

Con Artists Scam Film Community - BEWARE!


A FRAUD WARNING – PLEASE READ

3 MONTHS AGO BY MICAH M IN UNCATEGORIZED
 UTAPELI!!! CON ARTISTS TAKE ADVANTAGE OF FILM COMMUNITY
 
Dear Members of the Production Community,
We would like to inform you about someone who is trying to take advantage of the young people who work in our industry. The person perpetuating the scam described below has been targeting job sites such as Indeed, SimplyHired, Craigslist, as well as the most popular production job sites that you know and use.
Just to cut to the chase: please don’t send ANY money to an employer who tells you that part of getting ready for the job involves your sending or wiring money to them!
We figured the best way to expose this fraud is by telling you about it. We’ve included 2 of the letters below that the scammers send out, so that you can know what to look out for, but here is a summary of how the scam goes:
1) They usually claim to be working for a legitimate company whose name you will probably recognize, so that you think that you’re getting a real job at a real company.IMPORTANT: The name of the company they use, the description of the gig, the person signing the email, and the phone number will sometimes be different… but the gist of the scam is always the same:
2) You get offered a good-paying job in a remote city that you’ll have to fly to.
3) They send you a check for your travel expenses (usually $2,400), and tell you that you will need to arrange your own travel through a travel agent;
4) You are then instructed to wire the travel agent the travel expenses for the flight (usually $2,000).
5) A few days later the original check for $2,400 that they sent you bounces, and you are stuck eating the $2,000 you sent the travel agent… and by now, you can probably guess who the “travel agent” actually is. You’ve been scammed.
We hate that these people are taking advantage of the industry we work in, and especially young people breaking into the biz who may not yet know better. Please know that we are working every day to do everything in our power to ensure that our site is a safe and trusted source for the production community. We encourage anyone that has been taken advantage of to report it immediately to the authorities.
Best Regards,
Team Staff Me Up

This is the kind of email you will see from the scammer first.
Hello,
This is James Rodriguez the Event Coordinator with XXXXX Productions and I am responding to your email application that we received. This email is to formally invite you to the COCA COLA TV Commercial/Magazine production, which we’ll be seeking your services as a production assistant. The show will kick off from 04-23-2015 to 10-25-2015 in XXXXX Productions Studio: Orlando, FL 32819 but you will be needed here in San Francisco from 02-20-2015 to 02-22-2015, to assist the production team in producing a 5 minutes taped commercial. The title of the commercial is “LEGENDS”. All traveling and booking expenses will be covered by the company.
Task: Your job duties are to assist the production team with the necessary supplies; typing, editing, copying and distributing scripts; assist in organizing accommodation for cast and crew; typing and distributing schedules, or call sheets, assisting cast members, and at times running errands for them; running errands between the production office and other departments; closing accounts with suppliers and dealing with surplus stock when the production is finished.
The pay for this job is $600 per day. This is a freelance job and you are only needed for 3 days, however your effectiveness during this period will determine if you will be employed for another production.
Company profile: XXXXX Productions is an independent video production company. We produce great video that delivers your best clients – while saving you money. Established in 2000, we bring to the table years of experience in the video production industry. Our fresh, creative team of moving image artists has produced over 15,000 TV commercials, infomercials, original programs and website videos. This wealth of experience gives our clients an advantage in making decisions based on our creativity and knowledge of production.
Here at XXXXX Productions our goal is for you to come back to us with great feedback about the success of your television campaign. Nothing makes us happier than knowing that we have helped your business to grow.
Instruction: Please respond with your contact information where a check will be mailed out to, it is for your traveling and lodging expenses (more information will be provided as we progress). You will also be provided an itinerary by the designated travel agent arrangement.
Regards,
James Rodriguez
Event Coordinator
XXXXX Productions.
310-868-8771
If and when you respond, this is the second email you will see:
Hello,
This e-mail outlines the entire process before the production and also how to proceed.
Please note that during the production you will have to put your skills and art of imagery to perfect professionalism in order to assist the production team to produce a perfect show.
*You will also receive a check for $2450 in the following days via FedEx and this check will cover your personal expenses, and travel/lodging expenses which will be handled via a designated travel agent. The amount of $500 out of the check is allocated as down payment to show our keen interest in your services while the remaining balance will be transferred to the travel agent who will make all the necessary hotel and travel arrangement on your behalf to Los Angeles, CA (more information on the travel agent will be provided to you ASAP).
During the course of the coming days we will provide all necessary information momentarily but for now we only seek that you reassure us of your availability during the weekend of 01-23-2015 to 01-25-2015 and also your utmost commitment regarding this project.
NB: It is important you respond to this e-mail confirming your commitment before we send the check and make other arrangement. More details that you will need to know will be told to you during the seminar before the production. Please respond to this email with your full name, contact address and phone number where the check will be mailed to.
Thanks,
Jonathan Gray
Event Coordinator
ESPN, INC
310-868-8771
www.espn.go.com

BEWARE

Habari ya Tsumani Tanzania Si ya Kweli

 Simu: 255 22 2460735/2460706
FAKSI: 255 22 2460735/2460700 S.L.P. 3056
Barua pepe: met@meteo.go.tz DAR ES SALAAM
Tovuti: www.meteo.go.tz
Unapojibu tafadhali nakili:
Kumb. Na.: TMA/1622 08 Mei, 2015



TAARIFA KWA UMMA: TAARIFA ZA UWEPO WA TSUNAMI SI ZA KWELI.

Tahadhari ya Tsunami inayosambazwa kwenye mitandao ya Jamii sio ya kweli.
Kumekuwapo na taarifa zinazosambazwa kwa njia ya mtandao wa simu kuhusiana na uwepo wa tsunami kati ya kuanzia saa 1 usiku na saa 3 usiku leo hii siku ya Ijumaa tarehe 8/5/2015.Taarifa hiyo imemtaja Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa na Televisheni ya Taifa (TBC) kutoa tangazo hilo.

Taarifa hizo si za kweli unaombwa umjulishe na mwenzio.

Aidha, Mamlaka inapenda kutoa wito kwa umma kuacha kutoa taarifa za kupotosha katika mitandao ya kijamii.

Imetolewa na:
Kitengo cha Uhusiano
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania

Thursday, May 07, 2015

Happy Birthday Mohamed Dewji

DSC01228-Edit

MODEWJI BLOG TEAM : Thanking you for being a great boss just isn't enough for your special day! Thank you for inspiring us to be our best! Happy birthday, boss!

And below is a small gift from us!

IMG_9643  

Please join us to wish him a Happy Birthday by follow him on his twitter @moodewji and instagram @moodewji

Tuesday, May 05, 2015

Sherehe za Madhimisho ya Wakunga Duniani Tanzania

DSC_0056

Baadhi ya wanafunzi wa shule ya uuguzi mkoani Mara wakijiaanda kuanza maandamano kutoka Hospitali Hospitali ya Rufaa mkoa wa Mara wakati wa sherehe za maadhimisho ya siku ya Wakunga Duniani ambapo kitaifa yamefanyika wilayani Musoma.(Picha zote na Zainul Mzige wa modewjiblog).

DSC_0060

Baadhi ya wanafunzi wa shule ya uuguzi wilayani Musoma wakiwa wamekusanyika nje ya Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Mara kwa ajili ya maandamano ya kuadhimisha Siku ya Wakunga Duniani ambapo kitaifa yamefanyika mjini Musoma kwenye viwanja vya Mkendo, mkoani Mara.

DSC_0083

Pichani juu na chini ni baadhi ya Wakunga kutoka mikoa mbalimbali ya nchini wakijumuika na wenyeji wao kwenye maandamano ya maadhimisho hayo.

DSC_0086

DSC_0103

Baadhi ya Wakunga wakijumuika na wakinama wa mjini Musoma njiani kuelekea kwenye viwanja vya Mkendo wakati maandamano ya maadhimisho ya Siku ya Wakunga duniani burudani ya matarumbeta yaliyokuwa yakishereheshe maandamano hayo.

DSC_0108

Wakunga wa kiume kutoka wilaya ya Serengeti wakiwa wamejumuika na wenyeji wao kwenye maandamano hayo.

DSC_0127

DSC_0136

Shangwe zikiendelea kuelekea viwanja vya Mkendo.

DSC_0153

Kinababa nao hawakubaki nyuma waliwaunga mkono Wakunga kwenye maandamano hayo.

DSC_0161

Mkazi wa mjini Musoma mwenye ulemavu aliyejumuika kwenye maandamano hayo akisukumwa na mmoja wa Wakunga kuelekea kwenye viwanja vya Mkendo zinakofanyika sherehe za maadhimisho hayo.

DSC_0164

DSC_0177

Meneja mwendeshaji wa mtandao wa habari wa modewjiblog, Zainul Mzige naye alishiriki maandamano hayo kwenye maadhimisho ya Siku ya Wakunga Duniani ambapo kitaifa yamefanyika mjini Musoma mkoani Mara.

DSC_0180

Mtaalam wa Mahusiano na Mawasiliano wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya watu duniani (UNFPA) Tanzania, Sawiche Wamunza (wa kwanza kulia) akishiriki kwenye maandamano hayo.

DSC_0185

DSC_0222

Mpiga picha wa Clouds TV Ntibashima Edward akiwa amepanda juu ya gari aina ya canter kwa ajili ya kuchukia matukio ya maandanamano hayo.

DSC_0289

Meza kuu ikiongozwa na mgeni rasmi Waziri Mkuu Mizengo Pinda (wa pili kulia) wakipokea maandamano kwenye sherehe za maadhimisho ya siku ya Wakunga Duniani ambayo kitaifa yamefanyika mjini Musoma, Mkoani Mara. Kutoka kushoto ni Kaimu Muuguzi Mkuu wa Serikali, Dk. Ama Kasangala, Ofisa Mtendaji Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya wakunga duniani, Frances Ganges, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magese Mulongo, Kaimu Mkuu wa mkoa wa Musoma, Stephen Zelote pamoja na Rais wa Chama cha Wakunga Tanzania (TAMA), Bi. Feddy Mwanga.

DSC_0275

Maandamano kwenye kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wakunga Duniani yakiwasili kwenye viwanja vya Mkendo na kupokea na mgeni rasmi kwenye maadhimisho hayo Waziri Mkuu Mizengo Pinda (hayupo pichani) yakitokea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mara ambapo kitaifa yamefanyika mjini Musoma.

DSC_0285

DSC_0293

DSC_0300

DSC_0304

DSC_0307