tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post1026290199245979983..comments2024-03-22T03:02:53.585-04:00Comments on Swahili Time: Safari Yangu World Trade Center 1991 na Kumbukumbu Zangu za 9/11Chemi Che-Mpondahttp://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-45805507745498708022012-01-17T12:58:24.643-05:002012-01-17T12:58:24.643-05:00Dear Chemi,
wonderful images of people on top of ...Dear Chemi,

wonderful images of people on top of the WTC.

Please take a look at MY-WTC.COM

It would be a pleasure hearing from you!

Best Robert from Berlin/GermanyRobertnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-43242695931184425892011-09-17T07:04:48.749-04:002011-09-17T07:04:48.749-04:00Anonymous wa 3:55am, ndege mbili zilitoka hapa Bos...Anonymous wa 3:55am, ndege mbili zilitoka hapa Boston, moja Newark na nyingine Washington D.C.

Sawa kama unataka kupotoshwa eti ilikuwa njama ya Bush na wayehudi. Unamaana kuwa hao waIslam wenye itikadi kali walinunuliwa na Bush?

Una habari kuwa moja wa wahudumu kwenye ndege iliyotoka hapa Boston alikuwa jirani yaani nyumba wa pili na bosi wangu? Ni yule mama aliyekuwa anatoa habari kuwa mateka ni akina nani na ndege ilikuwa inaelkea wapi.Chemi Che-Mpondahttps://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-13671117854260719042011-09-17T06:55:11.617-04:002011-09-17T06:55:11.617-04:00dada asante kweli,nikulize swali moja tafadhali,hi...dada asante kweli,nikulize swali moja tafadhali,hizo ndege zilikuwa zinatoka wapi?mi naona ninjama za Bush na mayahudi kuinesha duniya kama uislam ni dini hatari,dada naona kuna wazungu wengine hawaamini mpaka ivi kama ni kweli sio?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-8505755943822076842011-09-11T13:06:50.994-04:002011-09-11T13:06:50.994-04:00asante dada kwakutuandikia hii habari kwakweli hiy...asante dada kwakutuandikia hii habari kwakweli hiyo siku ilikuwa hatari sana ilikuwa siku mbaya Mungu atunusuru na hayo majanga inatisha kwelikweliAnonymousnoreply@blogger.com