tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post1075590617698477385..comments2024-03-22T03:02:53.585-04:00Comments on Swahili Time: Barrick Gold Mines Wakwepa Kulipa Kodi!Chemi Che-Mpondahttp://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-32588223692662562662011-12-10T08:21:16.468-05:002011-12-10T08:21:16.468-05:00Tatizo bado lipo bado kwenye serikali kuu ambayo i...Tatizo bado lipo bado kwenye serikali kuu ambayo imekuwa ikiziamulia serikali za mitaa ktk mambo mengi ambayo kimsingi yalipaswa yafanyike kati ya wawekezaji na tawala za Halmashauri husika.
Ht katika suala la kodi ya mapato ya dola laki mbili kwa mwaka lilifikiwa na serikali kuu wakati kulikuwepo na nafasi kubwa kwa halmashauri hizo kubargain zaidi ya kiwango hicho.
Hapa ndio tujiulize wao Halmashauri walikuwa wapi muda huo? Ina maana hakuna ufuatiliaji wa karibu kiasi cha kutojua ht makampuni madogo madogo yanayofanya kazi kwenye migodi hii.
Barrick wanalipa kodi kwa mujibu wa mikataba yao na serikali lakini hawawajibiki kuwakumbusha contractors wao.
Hapa kuna tatizo kubwa zaidi ila kwa vile sheria zipo zimesinzia, hakuna anayejali. Ni makampuni haya haya ambayo pamoja na kukwepa hizo kodi bado hayaaply hata sheria za kazi ambapo wengi wa waajiriwa wao wanalipwa km vibarua na hawana ht mikataba ya ajira.
Anapaswa pia awepo wakala wa ufuatiliaji hili.Anonymousnoreply@blogger.com