tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post115340685877679981..comments2024-03-22T03:02:53.585-04:00Comments on Swahili Time: Rais Bush Apata Ashki Mkutanoni!Chemi Che-Mpondahttp://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comBlogger6125tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-1154374623421570662006-07-31T15:37:00.000-04:002006-07-31T15:37:00.000-04:00Dada Chemi mzee mzima alichemsha kwani alishindwa ...Dada Chemi mzee mzima alichemsha kwani alishindwa kujizuia.Lakini yeye ni binadamu bwana kwa hiyo kama binadamu wengine ana mapungufu yake.Kwani kama anaweza kusema kuwa mahala fulani pana silaha za maangamizi halafu baadaye akasema hakuna si pengine alidhani huyo mama labda anaweza kuwa na silaha za maangamizi kaunta naona alikuwa hamuamini kwani naamini mzee mzima kwa sasa hawezi kuamini mtu yeyote yule inawezaka kila mtu kwake ni mhalifu hata kama ni mkubwa mwezie au kuna uhusiano wa karibu.Kwa hiyo jamani pengine alikuwa anatafuta silaha za maangamizi unajua tena watu siku hizi wamezidi kujtolea muhanga.HIVYO ILIBIDI AKACHEKI KAUNTA!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-1153516889870052902006-07-21T17:21:00.000-04:002006-07-21T17:21:00.000-04:00Da chemi bwana kweli hiyo ilikuwa ashki kwani laur...Da chemi bwana kweli hiyo ilikuwa ashki kwani laura hakwenda nae.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-1153516812194399322006-07-21T17:20:00.000-04:002006-07-21T17:20:00.000-04:00yaah i total agree with anonymous, bush trying to ...yaah i total agree with anonymous, bush trying to impress the lady...oooh gosh he pick the wrong time n place...poor him i think he needs 24/7 supervison before he do something vry serious....Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-1153516536177318762006-07-21T17:15:00.000-04:002006-07-21T17:15:00.000-04:00Jamanii sijui nsema ni joto limemkolea kichwani au...Jamanii sijui nsema ni joto limemkolea kichwani au ndio ule eazimu wake umesha mpanda, si kutaka kumuabisha huyo mama wa watu..
au pengine anamzimia sasa hajapatia nafadsi ya kumtonya si unajuaapenzi yakizidi sometime the person can act as a fool.
lakini ni aibuuu wamarekani wakubali hiloAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-1153446683320686602006-07-20T21:51:00.000-04:002006-07-20T21:51:00.000-04:00Yaani aibu kweli! Hizo video ziko nyingi kwenye ne...Yaani aibu kweli! Hizo video ziko nyingi kwenye neti. Basi hao wachekeshaji kama Letterman, na Leno wanafurahi kweli. Nangojea skiti zao. Na wiki hii usikose Saturday Night Live na Mad TV.

Loh! Lakini jamani kweli ni kashfa kwa Urais Marekani.Chemi Che-Mpondahttps://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-1153428156369723272006-07-20T16:42:00.000-04:002006-07-20T16:42:00.000-04:00Niliposoma sikuamini vizuri nikaona nisakanye haba...Niliposoma sikuamini vizuri nikaona nisakanye habari hii kwa undani zaidi, bahati nzuri nikabahatika kupata Video yake japo ni ya sekunde lakini imenifanya niamini.

Fungua hiyo chini halafu ubonyeze kwenye video mkono wa kushoto.

http://www.bild.t-online.de/BTO/news/aktuell/2006/07/18/merkel-bush-liebes-attacke/merkel-bush-liebes-attacke.htmlMija Shija Sayihttps://www.blogger.com/profile/01124823448880077425noreply@blogger.com