tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post116041941175458247..comments2024-03-22T03:02:53.585-04:00Comments on Swahili Time: Leo ni Sikukuu ya Columbus MarekaniChemi Che-Mpondahttp://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comBlogger6125tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-1160892113035936082006-10-15T02:01:00.000-04:002006-10-15T02:01:00.000-04:00leo umenena nakupa 100%.keep it up.leo umenena nakupa 100%.keep it up.luihamuhttps://www.blogger.com/profile/06284769312694486021noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-1160825486899551522006-10-14T07:31:00.000-04:002006-10-14T07:31:00.000-04:00Cha ajabu hao Indians ambao hawakufa kwa kupigwa r...Cha ajabu hao Indians ambao hawakufa kwa kupigwa risasi waliwamaliza kwa kuwapa mablanketi enye smallpox! Wazungu bwana. Halafu hao red Indians wana usemi -'White man speak with forked tongue' (yaani mzungu anaongea na ulimi wa nyoka).<BR/><BR/>Aliwaletea firewater (pombe) na fire sticks (bunduki).<BR/><BR/>Trio Kaka, hata siku moja mzungu hawezi weka positives za African history kwenye curriculum ya mashule. Lakini hiyo habari ya Columbus, mungu wangu kila mtoto anamjua.Chemi Che-Mpondahttps://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-1160778207720707272006-10-13T18:23:00.000-04:002006-10-13T18:23:00.000-04:00sielewi kwa nini wanasherehekea wakati kuja kwa co...sielewi kwa nini wanasherehekea wakati kuja kwa columbus amerika kulikuwa ni abuse to the human species kwa sababu walileta chicken pox na measles kuwauwa wenyeji wa kihindi.nadhani inabidi iwe siku ya kumlaani columbus na wenzake badala ya kumtukuza.tumesikia ufaransa imepeleka mswada bungeni kuwa yeyote atakayekataa kuwa kulikuwa na mauaji ya halaiki huko armenia mwaka 1915 atakuwa amefanya kosa la jinai.wafaransa haohao wanakumbuka pia siku ya columbus huko amerika.hii ni kutuambia maisha ya wahindi yaliyopotezwa kwa kuja kwa columbus hayana maana au?tafadhali angalieni film ya darwins nightmare jinsi haohao wa bara la ulaya wanavyopeleka zawadi ya bunduki kwa watoto wa angola na kurudi na zawadi ya zabibu kwa watoto wa ulaya.na waletaji silaha wanasema afrika hakuna vita ila tu watu wana njaa tu kwa sababu hawataki kufanya kazi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/08340852436014535215noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-1160758407569240392006-10-13T12:53:00.000-04:002006-10-13T12:53:00.000-04:00nakubaliana na Trio lakini pia tukumbuke kuwa hawa...nakubaliana na Trio lakini pia tukumbuke kuwa hawa watu wakisema wamegundua wanamaanisha kuwa hata mambo yaliokuwepo hayakuwa na maana mpaka walivyo anzisha yao.Pili asilimia kubwa ya watu wao si wafikiriaji na wanabeba tu ufahari kuwa wao zaidi kwa sababu kama hizi.Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-1160513172816832242006-10-10T16:46:00.000-04:002006-10-10T16:46:00.000-04:00Hawa jamaa kwa kugundua mimi siwawezi. Maana hata ...Hawa jamaa kwa kugundua mimi siwawezi. Maana hata Tanzania hata Ziwa Victoria waliligundua wao eti. Chakusikitisha ni kwamba vitabu vya historia vingi vitumikavyo vimeandikwa nao. Hivyo huendelea kufunza watu historia kwa mtazamo wao. Wewe fikiria hata wao kwa wao ulaya bado wanabishana kuhusu historia mpaka za karibuni. Juzi juzi tu hapa ndio Uswisi imegeuza historia ielwzayo kuwa ni kwanini wakati wa vita ya dunia haikuvamiwa. Historia ya mwanzo ilikuwa inadai ni kwa sababu ya jeshi lao, wakati sasa wanakiri kulikuwa na madili mengine mengi tu yakibiashara nk ambayo yalikwepesha Uswisi kuvamiwa.Sasa itafikia siku historia hizi za ugunduzi itabidi zife.Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-1160502077124918802006-10-10T13:41:00.000-04:002006-10-10T13:41:00.000-04:00Chemi,sijui kama wewe unasikiliza/au ni mpenzi wa ...Chemi,sijui kama wewe unasikiliza/au ni mpenzi wa miondoko ya reggae, lakini maelezo yako yanaungana kabisa na mwanamuziki wa reggae anajiita Burning spear anawimbo mmoja anamsema columbus kuwa na quote "Christopher Columbus is a damn blasted liar,He say him that he's the first one Who discovered...., I and I say that What about the Awarak indians?"NDABULIhttps://www.blogger.com/profile/07614505293926317668noreply@blogger.com