tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post116325210233136286..comments2024-03-22T03:02:53.585-04:00Comments on Swahili Time: Anaomba Urafiki wa KalamuChemi Che-Mpondahttp://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comBlogger9125tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-72977586179812707942007-03-23T22:45:00.000-04:002007-03-23T22:45:00.000-04:00huyo kijana ni muzungu au mbongo?anaongea swahili ...huyo kijana ni muzungu au mbongo?anaongea swahili language?nahitaji kumuandikiaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-39663805859296389762007-03-23T21:50:00.000-04:002007-03-23T21:50:00.000-04:00bado anahitaji marafiki?maana mimi ndio kwanza leo...bado anahitaji marafiki?maana mimi ndio kwanza leo nafungua hii blog.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-1165276202402513912006-12-04T18:50:00.000-05:002006-12-04T18:50:00.000-05:00Anonymous wa 10:12AM, I have no problem. Lakini, w...Anonymous wa 10:12AM, I have no problem. Lakini, watu wanabadilika. Huyo kijana hakuua wala kumjerehi mtu. Stats za wanaume weusi (incarceration) kuwa jela USA ni kubwa mno. Kosa dogo na unafungwa mara kumi ya mzungu! Namfahamu tokea ni teenager na si mtu mbaya. Na hakuna ubaya kumtumia kadi hata ukitumia ANONYMOUSLY. Si lazima ajue nani katuma. Huko jela pana bore. Kama hutaki kumwandikia si basi, mwingine ataandika. Asante.Chemi Che-Mpondahttps://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-1164996720664742532006-12-01T13:12:00.000-05:002006-12-01T13:12:00.000-05:00Yaani wewe unawa hook up watu wa kwenu na mtu amba...Yaani wewe unawa hook up watu wa kwenu na mtu ambaye clearly ana problem! What up with that Chemi??? Mbona nashindwa kukuelewa? Hivi tuseme unaweza kum-hook up na mmoja wa wadogo zako??? I am very confused!! What you problem?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-1163715671218101932006-11-16T17:21:00.000-05:002006-11-16T17:21:00.000-05:00Angegushi dola milioni moja ungemwona mtu, na kila...Angegushi dola milioni moja ungemwona mtu, na kila mtu angetaka kuwa rafiki yake. Kama hutaki kumwandikia usimwandikie mimi nimemtumia post card.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-1163687856407419382006-11-16T09:37:00.000-05:002006-11-16T09:37:00.000-05:00sasa nani atapenda kuwa rafiki na mtu ambaye si mw...sasa nani atapenda kuwa rafiki na mtu ambaye si mwaminifu?? Huyu jamaa amechoka kiasi hicho mpaka anagushi shilling mia kweli??Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-1163440975449069282006-11-13T13:02:00.000-05:002006-11-13T13:02:00.000-05:00Da Chemi tuwekee picha za wanao tuwaone.Da Chemi tuwekee picha za wanao tuwaone.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-1163429783932346412006-11-13T09:56:00.000-05:002006-11-13T09:56:00.000-05:00Hi Subira,Marahaba. Habari za Michigan? Nitatoa bl...Hi Subira,<BR/><BR/>Marahaba. Habari za Michigan? Nitatoa blogu kuhusu uchaguzi. Nilikuwa busy sana wiki iliyopita na tulikuwa na msiba kazini.Chemi Che-Mpondahttps://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-1163278703562798842006-11-11T15:58:00.000-05:002006-11-11T15:58:00.000-05:00Da Chemi,Shkamoo!!!Nakufahamu tangu Bongo. Wewe un...Da Chemi,Shkamoo!!!<BR/>Nakufahamu tangu Bongo. Wewe unifahamu of koz, nilikuwa nakuja Daily News miaka ya 94 kuwacheki rafiki zangu Zeituni na Monica. Nilikua nakuona mara nyingi. Nimefurahi kufahamu blog yako.Sasa hivi nakaa Michigan.Sasa Da Chemi hatuwezi kublog kuhusu uchaguzi wa Marekani kidogo? au hayatuhusu?Anonymousnoreply@blogger.com