tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post1170845487610994219..comments2024-03-22T03:02:53.585-04:00Comments on Swahili Time: Usabato na Historia ya AibuChemi Che-Mpondahttp://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comBlogger8125tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-2373529673476838852017-12-05T01:16:34.606-05:002017-12-05T01:16:34.606-05:00asilimia kubwa ya mapadri hujua ukweli juu ya saba...asilimia kubwa ya mapadri hujua ukweli juu ya sabato ila hawasemi huo ukweli,sabato sio ya elen g white sabato ni BWANA MUNGU,soma mathayo 12;8 Kwa maana Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa sabato unavyowaambia waamini wako kuwa sabato alianzisha elen g white alaf wakisoma biblie inasema ivyo unawavuruga waumini wako,Ukweli utabi palepale. Na mwisho wa siku sisi ni binadamu kama unaamini Biblia ni bora uwe msomaji mzuri kuliko kuwa msikilizaji mzuri,SAMAHANI PADRI UKIWA UNATOA MAFUNDISHO ONYESHA NA MAFUNGU YA BIBLIA KUWAPA WATU UFAHAMU ZAIDI,MAANA WENGINE UNAWACHANGANYA ZAIDI.IRENE IRENnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-45969287441679165872017-08-10T20:45:26.331-04:002017-08-10T20:45:26.331-04:00Mathayo 12:8 Kwa maana Mwana wa Adamu ndiye Bwana ...Mathayo 12:8 Kwa maana Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa sabato.

Marko 2:28 Basi Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa sabato pia.

Luka 6:5 Akawaambia, Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa sabato

Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-89817106767795059312017-08-10T20:44:10.684-04:002017-08-10T20:44:10.684-04:00Ufunuo wa Yohana 11:19 Kisha Hekalu la Mungu lilil...Ufunuo wa Yohana 11:19 Kisha Hekalu la Mungu lililoko mbinguni likafunguliwa, na sanduku la agano lake likaonekana ndani ya hekalu lake. Kukawa na umeme, na sauti, na radi, na tetemeko la nchi, na mvua ya mawe nyingi sana

Ufunuo wa Yohana 16:1 Nikasikia sauti kuu kutoka hekaluni, ikiwaambia wale malaika saba, Enendeni, mkavimimine vile vitasa saba vya ghadhabu ya Mungu juu ya nchi

NOTE: SABATO NI YA MUNGU SIYO YA MWANADAMU: Ezekieli 20:12 Tena naliwapa sabato zangu, ziwe ishara kati ya mimi na wao, wapate kujua ya kuwa mimi, Bwana, ndimi niwatakasaye.

BWANA WETU YESU KRISTO ANAKILI SABATO NI YAKE:

Mathayo 12:8 Kwa maana Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa sabato.
Marko 2:28 Basi Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa sabato pia.
Luka 6:5 Akawaambia, Mwana wa Adamu ndiye Bwana wa sabato

KATEKISIMU UK.483 INAKUBALIANA NA SABATO. KAMA WEWE NI PADRI NIONYESHE KATIKA BIBLIA IBADA YA JUMAPILI IKO WAPI. ACHA MUNGU AITWE MUNGU. USIWE MZUSHI SEMA KWELI MAANA SABATO NI YA BWANA.Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/14797879500479370469noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-33175579232060467612017-08-08T10:47:28.137-04:002017-08-08T10:47:28.137-04:00Nashukuru kwa wote. Ukisoma kwa umakini utaona kun...Nashukuru kwa wote. Ukisoma kwa umakini utaona kuna ukweli ambao hauelezwi au hauna ufafanuzi wa kina. Maelezo ya Padri nimeyasoama na pia nimesoma vitabu vingi vya Bi. White na wengine na masomo ya diploma ya sauti ya unabii miaka 25 iliopita pia na nakala za ,mwanzo za kitabu cha "Daniel na siku zetu" . Ni kweli kuwa hakuna mahali yesu alsiema kwenye Biblia kuwa anaenda kusoma majina na kuchambua dhambi za watu. Pia kuwa hakutaja siku hata mara moja, hawa wa kutaja siku wamekuwa wengi Amerika, Africa, Asia. Sio wa kweli wanapotosha kwa kuwa hakuna hata mmoja mambo yake yamekuwa kweli.
Mungu HABAHATISHI. Siku sio msingi wa ibada yeyote hata Mungu alisema ni kupunzika. Ukisoma kanuni za sabato na mwanzo wake, hakuna hata mmoja kati ya hao wanaosema kuifuata wanaweza fuata.Ilikuwa na adhabu za kifo kwa kupigwa mawe na kila wanapokutana kutoa dhabihu ya dhamibi unga na mnyama au njiwa. Wasabato yaani wayahudi kwenye dini yao ya Judaism walimkataa Yesu na mafundisho yake hata leo. Iweje kuchanganya.

Ni bora kuwa na uhuru wa kusoma na kuelewa, yapo mambo ambayo kweli sio sawa ndani ya kuabudu sanamu iko wazi. Lakini mafunuo hayo ya hawa wandugu Miller,Edson, Bates, Bi. White yanafanana sana na Kristo wa Kongo DR, Zambia, Kenya na Mmarekani wa siku za mwisho miaka hii 2010.

Ubatizo uko wazi kwenye Biblia yaani wa maji mengi, kuabudu sio kweli kuwa katholiki ndio walianzisha siku ya Jumapili,soma Matendo ya Mitume utaona siku 50, kufufuka kwa Yesu siku ya kwanza ya juma, ubatizo wa watu na mengine.

Jambo jema ni kusoma na kuelewa Biblia acha vitabu vya watu.Hizo ni Philosofia zao.Zikipingana na kweli yaani Biblia ndio maana yupo aliyesema Mungu ni mwanamke. Kitabu cha Mathayo kina mengi Yesu aliyosema kuhusu yeye, kurudi na mbinguni.

Jifunzeni kwenye Biblia na sio phalisafa za watu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-72547676533452458232017-08-04T08:00:39.254-04:002017-08-04T08:00:39.254-04:00Hongera padri kwa kunyoosha maelezo. mimi bado naf...Hongera padri kwa kunyoosha maelezo. mimi bado nafatilia kama kweli mbinguni hakuna hekalu au sanduku la agano kabla sijakupa maksi zote, maana si vema kusadiki ktk andiko moja. NTAKILUTA NDATOhttps://www.blogger.com/profile/04994443124988144451noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-84186024751077112732017-08-04T07:59:47.856-04:002017-08-04T07:59:47.856-04:00Hongera padri kwa kunyoosha maelezo. mimi bado naf...Hongera padri kwa kunyoosha maelezo. mimi bado nafatilia kama kweli mbinguni hakuna hekalu au sanduku la agano kabla sijakupa maksi zote, maana si vema kusadiki ktk andiko moja. NTAKILUTA NDATOhttps://www.blogger.com/profile/04994443124988144451noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-72609938585466545072017-05-31T05:01:36.815-04:002017-05-31T05:01:36.815-04:00USHUKURIWE PADRI KWA KUTUFUMBUA MACHO WAKATOLIKI I...USHUKURIWE PADRI KWA KUTUFUMBUA MACHO WAKATOLIKI ILI TUELEWE UONGO ULIOMO NDANI YA KANISA LETU CHA AJADU MASWALI ULIYOSEMA HUWA YANAULIZWA KUABUDU SANAMU, KUABUDU JUMAPILI, UBATIZO WA WATOTO WADOGO,KUABUDU SANAMU KUZISUJUDIANA KUZIBUSU WAKATI MWINGINE,MPANGILIO WA AMRI KUMI ZA MUNGU, KUWAOMBA WAFU, NA MENGINE MWENYEWE HATA HAUJATUSAIDIA KUYATOLEA MAJIBU YAKE KUTOKA KWENYE MAANDIKO AU NDO KUENDELEA KUTUPOTEZA ZAIDI. BWANA ANA MPANGO NASI SOTE TUOKOLEWE SIKU YA MWISHO KAZA MWENDO KUUFIKIA WOKOVU, PIA UMENICHANGANYA SANA ALIYEMHUBIRI MAMA WHITE KUWA NI NANI SASA MARA BATES MWISHONI UKAMALIZIA TENA ALIONGOLEWA NA MAHUBIRI YA WILLIUM MILLER. SOMA MAANDIKO KUMBUKA DAMU YA WALE UNAOWAPOTEZA I JUU YAKO.Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/14711779306590732194noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-51979868790244499242016-12-26T10:14:44.792-05:002016-12-26T10:14:44.792-05:00Mimi namshukuru sana padri Titus AMIGO kwa maelezo...Mimi namshukuru sana padri Titus AMIGO kwa maelezo yake mazuri japo hayajitoshelezi; kanini nasema hivyo ni kutokana na mambo haya; moja ni kuhusu watu alio wataja kuwa waanzilishi wa kanisa la waadventisa wasabato, hajatuambia kuwa ni kwa sababu gani hawa watu waliyaacha makanisa yao? kwa mfano WILLIUM MILLER kanini alianzisha kanisa la BABTIST kulikuwa na shida gani kwenye ubatizo? na mwingine akaanzisha usabato yaani kusali siku ya jumamosi, je father kulikua na shida gani na siku ya juma pili? na Mbili kwanini waliweza kuungana watu walio kuwa na imani tofauti?? Tatu ilikuwaje wasabato wawatukane matusi na nyie kama kanisa msichukue hatua yoyote kisheria?? Lakini jambo la nne na la mwisho ni kwamba sio kweli kwamba Yohana hakuona hekalu mbinguni na HUU NI UONGO MKUBWA SANA HEBU TUSOME UFUNUO 15:5 Na turudi katika kitabu cha KUTOKA 25:40 Na WAEBRANIA 8:5-7 Napenda niseme kwamba Watu wa MUNGU tusome maandiko, tusipende kusomewa tu. Hata mmiliki wa blogi hii jifunze ili SOTE TUOKOLEWE katika siku ile ya mwisho!!!!!ANDREW JAMEShttps://www.blogger.com/profile/09866383920761595243noreply@blogger.com