tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post1219194879200236189..comments2024-03-22T03:02:53.585-04:00Comments on Swahili Time: Mila Chafu Za WazunguChemi Che-Mpondahttp://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comBlogger19125tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-19799244589871450952012-02-12T17:43:20.042-05:002012-02-12T17:43:20.042-05:00Jamani jamani ndugu- Acheni kashfa, chuki na ubagu...Jamani jamani ndugu- Acheni kashfa, chuki na ubaguzi. Kama mmoja anonymous hapo juu alivyonena, "Na waafrika jee? walikuwa wanaishi vipi miaka hiyo ya 1500's?"

Hakuna watu ambao in 'perfect' katika dunia yetu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-2196790982262920482012-02-10T12:18:42.194-05:002012-02-10T12:18:42.194-05:00The first Queen Elizabeth only took three yes thre...The first Queen Elizabeth only took three yes three baths in her entire life! And she lived to be old. Back them everyone smelled so it wasn't a big deal to have body odor! Yes, times have changed and are noses sre sensitized to body odor not masked by deodorants!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-83861050319526922672012-02-06T10:46:19.610-05:002012-02-06T10:46:19.610-05:00Ina maana miili yao ilikuwa imejaa wadudu pia kama...Ina maana miili yao ilikuwa imejaa wadudu pia kama chawa na fleas sawa na mbwa na wanayama wengine. Hiyo kali!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-50824379011968973742012-02-05T19:54:15.997-05:002012-02-05T19:54:15.997-05:00Wazungu walikuwa na mila chafu! Yaani wanaoga mara...Wazungu walikuwa na mila chafu! Yaani wanaoga mara mooja kwa mwaka halafu wanachangia maji ya kuoga! Wa mwisho walikuwa hawatakati kabisa! DAH! Hiyo ni uchafu!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-77229413755405326322012-02-05T17:30:33.292-05:002012-02-05T17:30:33.292-05:00Kwa Anony 2:08PM - Hiyo 1500's wakati mzungu a...Kwa Anony 2:08PM - Hiyo 1500's wakati mzungu anaoga mara moja kwa mwaka, mwafrika anaoga mtoni, ziwani kila siku! Pia wakati mzungu anakunya kwenye makopo ndani ya nyumba zao mwafrika anakunya nje porini!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-4504599634250842632012-02-05T17:08:47.255-05:002012-02-05T17:08:47.255-05:00Na waafrika jee? walikuwa wanaishi vipi miaka hiyo...Na waafrika jee? walikuwa wanaishi vipi miaka hiyo ya 1500's?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-7023669888504005202012-02-05T12:56:57.954-05:002012-02-05T12:56:57.954-05:00Acheni ya zamani. Tuendelee mbele. Tutazame mbele....Acheni ya zamani. Tuendelee mbele. Tutazame mbele. Chuki na dharau sio maendeleo.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-65895908652149224882012-02-04T18:36:15.663-05:002012-02-04T18:36:15.663-05:00Ni kweli wazungu wamesema waafrika wanatabia za ki...Ni kweli wazungu wamesema waafrika wanatabia za kishenzi, lakini duh nao wana mila za kishenzi! Sasa walivyokuwa hawaogi mwaka mzima duh. Hiyo harufu!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-27388973320667368332012-02-04T18:27:06.858-05:002012-02-04T18:27:06.858-05:00Du, mambo bambam hapa.Du, mambo bambam hapa.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-79875534598068856852012-02-04T12:41:48.044-05:002012-02-04T12:41:48.044-05:00Kuna wazungu wachafu, na
Kuna waafrika wachafu, pi...Kuna wazungu wachafu, na
Kuna waafrika wachafu, pia

Kuna wazungu wasafi, na
Kuna waafrika wasafi, pia

Kwa ujumla:
Kuna wanadamu wachafu, na
Kuna wanadamu wasafi. Watu ni watu, ni watu, ni watu. Binadamu ni binadamu.

Tuwache mambo ya chuki na ubaguzi! Hakuna mtu asiyekuwa na kasoro.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-75169068090058466002012-02-04T11:04:47.125-05:002012-02-04T11:04:47.125-05:00Racism and race hate is not cool! Thought we'd...Racism and race hate is not cool! Thought we'd all moved way ahead of that way of thinking. Let's not stoop so low.

Indeed, hygiene and cleanliness has nothing to do with race. The past is the past; and now is now. I've met dirty people in the west, as well as in poor developing countries. Conversely, I've met clean people in the west, as well as in poor developing countries.

Hygiene is an 'individual' thing, but not a 'race' thing. Let's stop generalizing, and propagating race hatred and racism.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-69601994050984785052012-02-04T10:18:13.595-05:002012-02-04T10:18:13.595-05:00Uchafu ni hulka ya mtu. Kuna Waafrika na Wazungu ...Uchafu ni hulka ya mtu. Kuna Waafrika na Wazungu wasafi sana na upande mwingine kuna Waafrika na Wazungu wachafu sana. Kwa mfano, kuna jamaa mmoja ofisini kwetu ambaye nina hakika hajawahi kupiga mswaki tangu azaliwe. Jamaa pia anavaa nguo nzuri tu lakini cha ajabu hazifuliwi. Nadhani hata kuoga kwake ni matatizo. Angekuwa 'bachelor' ningeelewa lakini ana mke. Sasa huwa najiuliza inakuwaje mkewe amwache jamaa aje kazini kila siku bila kuoga wala kupiga mswaki huku akiwa amevaa nguo chafu. Sisi wengine baada ya kuoa wake zetu wanatupiga 'inspection' kama za shule au JKT kila asubuhi kuhakikisha hatuendi kazini wachafu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-6589659152717932362012-02-04T09:55:00.225-05:002012-02-04T09:55:00.225-05:00Nimekutana na wazungu wengi tu wasiooga wala kupig...Nimekutana na wazungu wengi tu wasiooga wala kupiga mswaki, achilia mbali kubadilisha mavazi kila siku. As some of the contributors have rightly said above, hygiene has nothing to do with race.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-63875196829416640582012-02-04T09:45:00.314-05:002012-02-04T09:45:00.314-05:00Dada Chemi, niliwahi kuona sinema ambayo ilitokea ...Dada Chemi, niliwahi kuona sinema ambayo ilitokea miaka ya 1700's. Watu wanakula dining room, wageni kibao wako mezani wanakula. Hapo hapo kulikuwa na kipazia na vikopo. Wazungu wanajisaidia hapo hapo nyuma ya pazia watu wanaendelea kula!

Halafu Mfaransa aligudua perfume si kwa ajili ya kuficha body odor tu, bali walikuwa wanatia kwenye handkerchief. Wakifika sehemu harufu ni mbaya wananus hiyo handkerchief enye perfume. Walikuwa wanatuma mavi na mikojo kwenye madirisha. Halahala wewe mpita njia!Toiletnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-84612137565544689362012-02-04T09:37:57.085-05:002012-02-04T09:37:57.085-05:00Kwa wanaowatukuza wazungu, hii story lazima itawau...Kwa wanaowatukuza wazungu, hii story lazima itawauma na kuwaudhi. Hivi mnajua mpaka karne hii mtu anaweza kukaa wiki nzima hajaoga? Anajifuta tu na handtowel mwilini anapaka perfume anaishia. Wakati mwingine unakutana na watoto wachafu utafikiri wako kijijini. Wengine humo ndani kuna makorokoro mpaka hujui analala wapi. Hii haimaanishi kuwa waafrika ni wasafi bali ni kuwa uchafu hauna rangi wala kabila. Mnaopenda kujisifia eti "mie mzungu bwana" mmekomajee!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-14991148650515365442012-02-04T08:57:08.747-05:002012-02-04T08:57:08.747-05:00Anonymous above! People in Africa are perfect; and...Anonymous above! People in Africa are perfect; and people in the West are evil and nasty through and through :)Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-57984898167437047242012-02-04T08:43:32.318-05:002012-02-04T08:43:32.318-05:00Uchafu hauna kabila,lakini hawa jamaa wa huku Magh...Uchafu hauna kabila,lakini hawa jamaa wa huku Maghaibuni[Ulaya na hapa Marekani]ambako nnaishi wamezidi.Kazi yangu niya kusafiri wakati wote nimeshitushwa na nnaendelea kushitushwa katika rest areas katika barabara kuu, nnapo shuhudia mtu mzima anatoka namba 2[kunya]anatoaka bila hata ya kuosha mikono.Hii karne ya 21 na maji marekani siyo adimu licha ya matangazo vyooni ya kuhimiza kuosha mikono.Wadau tupunguze biashara ya kushikana mikono na hawa jamaa kwa usalama wetu hasa wakati huu wa baridi.Vijini kwetu kila nyumba ina choo na mtungi wa maji na kata na watu hamli mpaka mikono imeoshwa.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-41466738107380358252012-02-04T06:55:16.724-05:002012-02-04T06:55:16.724-05:00Anonymous 6:30PM, okay they didn't take baths ...Anonymous 6:30PM, okay they didn't take baths because it was cold in the winter, but then why didn't they take baths during the warmer summer months? Nasty is nasty!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-87348787621654452012012-02-03T21:30:55.402-05:002012-02-03T21:30:55.402-05:00Interesting historical facts regarding influencing...Interesting historical facts regarding influencing 'sayings' / adages. Re the infrequency of baths in the 'West' in the old days, the main reason was the freezing cold winters, and lack of facilities for warming up water for baths, as well as non-existence of central heating / radiators and heaters.

In the present day, with all the facilities available and the ease of which people can afford these facilities; be they sophisticated or primitive- there are clean human beings, as well as dirty human beings all over the world. It's not a race thing. Wachafu ni wachafu, na wasafi ni wasafi- depending on people's individual personal habits.Anonymousnoreply@blogger.com