tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post1311441805912492934..comments2024-03-22T03:02:53.585-04:00Comments on Swahili Time: Vazi la Nusu Uchi Lazuia Ndoa Kufungwa Kanisani St. Peter Dar!Chemi Che-Mpondahttp://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comBlogger17125tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-57324825559536766632013-08-04T12:43:13.508-04:002013-08-04T12:43:13.508-04:00Unafiki mtupu!Unafiki mtupu!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-71625562642504809952013-07-28T09:47:35.358-04:002013-07-28T09:47:35.358-04:00Karne za mawe zinarudi. Amri za Hitler au, amri za...Karne za mawe zinarudi. Amri za Hitler au, amri za 'fundamentalism' zinakuja. Jamani Jamani! Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-14050034902266504792013-07-28T08:17:01.195-04:002013-07-28T08:17:01.195-04:00Labda padri alitaka huyu dada avae kama mtawa.Labda padri alitaka huyu dada avae kama mtawa.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-33020639742405930492013-07-27T18:13:51.153-04:002013-07-27T18:13:51.153-04:00Jamani~ tangu lini mabega yakawa uchi wa kule chin...Jamani~ tangu lini mabega yakawa uchi wa kule chini? Tunazisikia habari za mapadri ambao ni wanafiki~ wanatembea na watoto wadogo, na pia wake za watu. Halafu wanajidai watakatifu!!

Siku moja hao mapadri wataanza kuwaambia wanawake wavae BUIBUI au HIJAB wakienda kanisani... eti imeandidwa kwenye biblia! Aiiiiii karamba!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-87366388333589566482013-07-27T16:11:43.263-04:002013-07-27T16:11:43.263-04:00Over-zealous, HYPOCRITICAL padres!
Mabega SIO uc...Over-zealous, HYPOCRITICAL padres!

Mabega SIO uchi! Damn!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-29075436614664527282013-07-26T11:57:09.927-04:002013-07-26T11:57:09.927-04:00Tatizo ni nguo gani uvae wapi
Vaa chupi tu club h...Tatizo ni nguo gani uvae wapi
Vaa chupi tu club hakuna wa kukuuliza
Vaa chupi beach hakuna wa kukuuliza
Vaa chupi hiyo hiyo na uende sokoni au ofisini au baa uone kitatokea nini kama hautaitwa chizi jiandae kulala lupango labda ahueni ya bar utaitwa kahaba tuwe wa kweli kwenye matumizi sahihi ya nguo
Prince Georgenoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-25707261950267061682013-07-26T11:56:24.078-04:002013-07-26T11:56:24.078-04:00hilo ndio kanisa katoliki la roma bwana. anayelipi...hilo ndio kanisa katoliki la roma bwana. anayelipinga atafute la kwake. shida nini. kuna sheria za Mungu na za Kanisa. huyo dada anazijua. kama hazijui kwa umri huo, inatia shaka. kama hawezi kuzifuata, atafute kanisa lingine. juzi juzi Padre we Parokia yetu alikumbushia wanawake kutia lipstiki. akasema hawawezi kuvumilia hata saa 2 tu za kwenda kanisani. wanamkwaza, mkate unabaki na lipstiki kisha anamlisha mwingine. si vyema. kwa nini tukwazane hadi kanisani. Namsifu Katekista yule. alionesha ukomavu, alizuia hasira. picha zimemwonesha alivyocontain hasira. ingekuwa balaa.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-26925988186641993772013-07-26T11:00:55.047-04:002013-07-26T11:00:55.047-04:00Khaa! Nyoko! Ndo maana Tanzania haitaendelea! Sasa...Khaa! Nyoko! Ndo maana Tanzania haitaendelea! Sasa huyo Padri ana mamlaka kuliko Bwana Yesu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-47005650319578912772013-07-26T02:08:56.983-04:002013-07-26T02:08:56.983-04:00Mbona mimi sioni kama hilo ni tatizo, maana kuhesa...Mbona mimi sioni kama hilo ni tatizo, maana kuhesabiwa dhambi au mema hakutegemei mavazi,.
Mimi nionavyo Katekista aliingilia uhuru wa mtu na maamuzi ya Mungu ,Katekista au padre walienda mbali mno kiasi , hata kama nisheria za kanisa mtu hutakiwa kujifunza mwenyewe, sio shuruti ya namna hiyo, Tutajuaje mwanadada huyu huenda alikuwa anakubalika kwa Mungu kuliko waliokuwa wanampinga .?, kwa hiyo mimi naona kanisa ni kimbilio la kila mtu bila kujali amejisitiri vipi.? Maana Mungu huchunguza nafsi ya mtu si sura au kujipamba.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-28900192652320584052013-07-26T02:07:16.495-04:002013-07-26T02:07:16.495-04:00Mbona hawakuonyesha chini, maana hayao mabega sio ...Mbona hawakuonyesha chini, maana hayao mabega sio tatizo zana, sensitive area zote hazionekani. siwezi kumuhukumu mdada wa watuAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-60538474386098374692013-07-26T02:06:22.773-04:002013-07-26T02:06:22.773-04:00Wanaume Bwana! Wadhaiiiiiifu .... sasa hata wakio...Wanaume Bwana! Wadhaiiiiiifu .... sasa hata wakiona bega wamekwisha.

Yesu aliwafukuza wafanya biashara kwenye hekalu sio wanawake na nguo zao. Aliwafukuza maana kwa ufisadi na unyonyaji wao walinajisi sehemu takatifu. Sisi je? Siku hizi tunaendesha minada ndani ya kanisa? Sehemu za ibada tunawahusudu wenye pesa bila kujali pesa hizi zimetoka wapi. Tumekuwa Mafarisayo.

Sasa kuondoa strap ya gauni ndio nusu uchi? Ha ha ha ha Kastrap tu?Msemakwelinoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-89516480055711089262013-07-25T19:20:28.576-04:002013-07-25T19:20:28.576-04:00Wabongo tumezidi ushamba!!!!Wabongo tumezidi ushamba!!!!Friedanoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-12475414144022242152013-07-25T19:19:30.178-04:002013-07-25T19:19:30.178-04:00Sheria za wanawake wajihifadhi kwa nguo ndefu kazi...Sheria za wanawake wajihifadhi kwa nguo ndefu kaziweka MUNGU hapa duniani kupita maandiko yake
Sasa huko kukubalika kwa yule Dada mvaa nusu uchi mbele za MUNGU ni kupi huko ?
Au ndio umeanza kuwa kama Mtume Paulo anayesema Upumbavu wa MUNGU ni busara kwa Wanadamu ?
Subhanallah..Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-57678451751110960822013-07-25T16:01:32.074-04:002013-07-25T16:01:32.074-04:00Si wangemhonga padri bahasha anyamaze! Sh. 50,000/...Si wangemhonga padri bahasha anyamaze! Sh. 50,000/- angekuwa haioni!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-61770752196808323052013-07-25T15:53:47.883-04:002013-07-25T15:53:47.883-04:00Yesu alikuwa akiwahubiria makahaba, sasa tukiwafuk...
Yesu alikuwa akiwahubiria makahaba, sasa tukiwafukuza kanisani waliovaa 'kikahaba' ambao kama tunawachukulia kuwa watenda dhambi wakuu ni wapi watapata khabari njema maana Yesu anadai ya kuwa aliyemzima (asiyevaa kikahaba) hahitaji daktari kama huyu mgonjwa (aliyevaa kikahaba)
paadri naye hasiruhusiwe ukumbini maana ni kama anategeka kirahisi saaaaana!
Mfuasinoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-22749393073808941072013-07-25T15:52:44.834-04:002013-07-25T15:52:44.834-04:00bora Katekista kasaidiwa na padre yangekuwa mengin...bora Katekista kasaidiwa na padre yangekuwa mengine hapo. Duh mdada mwenyewe mnamwona hapo? utadhani anataka kupigana !!!! kweli wanawake wa kikristo uvaaji kwenye ibada umetutoka. hadi ngumi ndio tuvae vizuri? kunani? au Me ndio mkituona hivyo ndio mnavutiwa?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-54078250467092077692013-07-25T15:51:59.215-04:002013-07-25T15:51:59.215-04:00Wehu tu wa wadada na wamama sometimes, hakuna dheh...Wehu tu wa wadada na wamama sometimes, hakuna dhehebu linaruhusu kwenda kwa ibada bila kujisitiri. Western life inatuzuzua tukadhani ndio bora. Heri kurudi kwa majani ya migomba na ukili sijui? Anonymousnoreply@blogger.com