tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post1395593262349694879..comments2024-03-22T03:02:53.585-04:00Comments on Swahili Time: Hatimaye Mweusi Ashinda Poweball! Jackpot ilikuwa $336 Milioni!Chemi Che-Mpondahttp://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comBlogger6125tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-60004397483287165762012-03-13T11:49:15.168-04:002012-03-13T11:49:15.168-04:00Mara nyingi utasikia ni matajiri wa kizungu wanaos...Mara nyingi utasikia ni matajiri wa kizungu wanaoshinda! Bora kashinda mweusi! Hongera kwa hiyo familia!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-85900822485029036142012-03-12T08:39:16.487-04:002012-03-12T08:39:16.487-04:00Kwa nini hatimaye? kuna ubaguzi kwenye draw?????Kwa nini hatimaye? kuna ubaguzi kwenye draw?????Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-86684485123411353882012-03-07T11:57:17.494-05:002012-03-07T11:57:17.494-05:00Asingejitokeza. Angekaa kimya na hela zake. Watu h...Asingejitokeza. Angekaa kimya na hela zake. Watu hawataisha kumsumbua hatakuwa na amani tena.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-68837946345228249462012-03-07T05:29:32.701-05:002012-03-07T05:29:32.701-05:00Hizo ni sawa na shilingi BILIONI 538 za Bongo! Ha...Hizo ni sawa na shilingi BILIONI 538 za Bongo! Hata ukitumia shilingi bilioni 10 kwa mwaka bado itakuchukua zaidi ya miaka 50 kuimaliza pesa hiyo.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-49274411978049493562012-03-07T05:23:50.834-05:002012-03-07T05:23:50.834-05:00Bongo mtu ukishinda pesa kama hiyo ni lazima ufe b...Bongo mtu ukishinda pesa kama hiyo ni lazima ufe baada ya muda mfupi, hasa ukiwa ni mwanaume, maana kitakachofuata ni pombe, wanawake na anasa nyingine kwa fujo. Hii inanikumbusha jamaa yangu mmoja aliyepunguzwa kazi BoT na kulipwa shilingi 20 cash mwaka 1991. Hata mwaka haukuisha tukamzika.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-10754629061200766302012-03-06T19:42:44.637-05:002012-03-06T19:42:44.637-05:00Bibi yangu huyo! Atakuwa na ndugu wengi kweli sasa...Bibi yangu huyo! Atakuwa na ndugu wengi kweli sasa!Anonymousnoreply@blogger.com