tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post1449196716420725195..comments2024-03-22T03:02:53.585-04:00Comments on Swahili Time: Futeni Tuition!Chemi Che-Mpondahttp://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-76246823649201177142011-10-10T08:36:47.739-04:002011-10-10T08:36:47.739-04:00Da Chemi usemayo ni kweli lakini itkuwa vigumu san...Da Chemi usemayo ni kweli lakini itkuwa vigumu sana kuua tuition kwa sababu mfumo mzima wa nhi yetu umeharibika kuanzia Elimu hadi Hospitali. Kama ulivyosema enzi zetu unatoka shule na unafanya shughuli za nyumbani na pia kama sikosei hizi shule za serikali sasa hivi zinaongoza kwa divIV nazero lakini enzi zetu shule za serikali zilikuwa first class. Hii ni kwa sababu hata mwalimu alikuwa na hadhi na serikali ili weka pese nyingi kwenye budget ya Education hata Uni watu walisoma bure bila matatizo.Ukianza na shule za serikali wote tulisoma shule moja kuanzia mtoto wa rais mawaziri hadi wa mlala hoi na kama sikosei hata hali zetu ilikuwa siyo rahisi kujua kama huyu ni mtoto wa mkubwa au wa kabwela lakini sasa kuna mabadiliko makubwa sana huwezi kumuona mtoto wa kiongozi yeyote au hata mfanyabiashara ana soma Zanaki, Jangwani au Azania n.k watoto wao wote wanasoma shule kama Maian n.k kwa hiyo hawawezi kuzijali au kuwajali walimu wa shule zetu za serikali, Na walimu nao hawana cha kujisaidia kimfaacho mtu ni chake kwa hiyo wanatumia elimu tao kujisaidia kwani idara husika imeshindwa kuwasaidia ndiyo wakabuni tuition kama Madaktari wanavyofanya part time kwenye Private Hospilals na daktari huyohuyo ukikutana naye Muhimbili au Mwananyamala anakuwa tofauti na ukikutana naye Hindu MandalAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-67861369569849992742011-10-09T19:16:37.795-04:002011-10-09T19:16:37.795-04:00Mmmmh!Mmmmh!Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.com