tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post1494957451699579827..comments2024-03-22T03:02:53.585-04:00Comments on Swahili Time: TANESCO Mwogopeni Mungu!!!!Chemi Che-Mpondahttp://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comBlogger7125tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-32510822214595684042010-01-08T11:31:08.114-05:002010-01-08T11:31:08.114-05:00Makao Makuu ya TANESCO itapigwa na radi. OHOOOO!Makao Makuu ya TANESCO itapigwa na radi. OHOOOO!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-17476278332739800732010-01-07T11:37:34.028-05:002010-01-07T11:37:34.028-05:00Ingawa mimi siyo mwumini wa Askofu Kakobe namuunga...Ingawa mimi siyo mwumini wa Askofu Kakobe namuunga mkono kabisa katika sula hii! TANESCO washenzi sana! Na kweli wamwogope Mungu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-17405241128296320492010-01-07T09:30:24.139-05:002010-01-07T09:30:24.139-05:00tanesco wangekuwa wanatoa huduma kama wanavyohanga...tanesco wangekuwa wanatoa huduma kama wanavyohangaika kwa kakobe ningewapa big up. dar es salaam haina mipango miji ni usanii tu ili waonekane nao wapo. kama kuna hiyo mipango miji walikuwa wapi wakati anajenga kanisa.au pia walikuwa wapi kupitisha huo umeme (ambao ni wa mgao) waya unatoka wapi unaenda wapi leo hii, which means kuna watu wamekuwa hawapewi umeme miaka yote hii. leo ndio wanataka kuwapelekea kwa kumdhuru kakobe kisa uchaguzi. mkaianzishe hiyo mipango miji yenu manzese kwa mfuga umbwa na tandale kwa mtogole na kiwalani. mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. tumbafu kabisaJohn Mwaipopohttps://www.blogger.com/profile/11708584279197669683noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-20143199022416215442010-01-07T06:48:17.107-05:002010-01-07T06:48:17.107-05:00hawakeri wala nini ni kuwaletea maendeleo wananchi...hawakeri wala nini ni kuwaletea maendeleo wananchi. ingekuwa waislamu wangekwisha letewa ffu wakapigwa virungu na maneno mengi ya kejeli kama hawakusoma, wapinga maendeleo, siasa kali, mujahidina, magaidi na maneno kama hayo.<br /><br />lakini kwa kuwa ni kanisa kila mtu yupo kimya eti aogopwe mungu. kwani nani asiemuogopa mungu?<br /><br />umeme lazima upite hapo kama hawataki waende mahakamani kupinga sio kufanya uchochezi.Unknownhttps://www.blogger.com/profile/17761205332568912294noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-33375100880123844982010-01-07T02:06:48.147-05:002010-01-07T02:06:48.147-05:00wewe unayesema wakomeshwekwa na jina la bwana wew...wewe unayesema wakomeshwekwa na jina la bwana wewe ni mahakama hacha hizo kama anaonewa aende kwenye vyombo vya sheria apawe haki yake kwanza mipango miji majiji ipo tokea cku enzi hizo sasa kanisa la juzi juzi kalidinali Pengo aliposema Kakobe ni tapeli kwa sababu cheti cha uwasikofu wake ni kufoji watu hawakuelewa maana yake.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-57528362036188392962010-01-05T23:39:08.067-05:002010-01-05T23:39:08.067-05:00Tanesco wanakera sana.Tanesco wanakera sana.Fadhy Mtangahttps://www.blogger.com/profile/10322331153810581894noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-72378013991400853442010-01-05T16:19:46.831-05:002010-01-05T16:19:46.831-05:00Kweli TANESCO Imejaa mashetani! Wakomeshwe katika ...Kweli TANESCO Imejaa mashetani! Wakomeshwe katika jina la Bwana!Anonymousnoreply@blogger.com