tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post1743998260248829529..comments2024-03-22T03:02:53.585-04:00Comments on Swahili Time: Mkutano wa Wake wa Marais wa Afrika MarekaniChemi Che-Mpondahttp://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comBlogger7125tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-39382283304327199702009-04-24T15:01:00.000-04:002009-04-24T15:01:00.000-04:00anony wa pili,
ndivyo waafrika walivyo. Mafisadi ...anony wa pili,<br /> ndivyo waafrika walivyo. Mafisadi kama waume zao. Wanajidai wanaenda kuongea maswala ya afrika halafu wanafanyia nje ya mazingira ya Afrika. Hawa mashangingi ndio wanawalazimisha waume zao kufanya ufisadi. Huko wameenda shoping tu hawana lolote. Hebu waandishi wa Bongo wambane huyo first lady wetu pale JK airprt kama ataweza kukumbuka kilichoongelewa kule.Masalakulangwanoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-78701022035696363512009-04-22T12:18:00.000-04:002009-04-22T12:18:00.000-04:00du wake za marais wamedata yaani huyo kama mdoli k...du wake za marais wamedata yaani huyo kama mdoli kwa kujichubua na mwingine boobs nje du noma.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-24629702417397199272009-04-22T08:25:00.000-04:002009-04-22T08:25:00.000-04:00Ingia Michuzi Dada Che umwone First Lady wetu alip...Ingia Michuzi Dada Che umwone First Lady wetu alipowakilisha uweke Pic zake sio zao wengine jamaniAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-10108839055406658302009-04-22T07:50:00.000-04:002009-04-22T07:50:00.000-04:00Hao wake wanaiga tabia ya wanaume wao. Si tunawaon...Hao wake wanaiga tabia ya wanaume wao. Si tunawaona marais wakilala kwenye mikutano muhimu abroad.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-17201422827114833692009-04-22T05:11:00.000-04:002009-04-22T05:11:00.000-04:00Mnaweka Ma first lady wengine mnashindwa kumnadi B...Mnaweka Ma first lady wengine mnashindwa kumnadi Beautifully wetu Mama Salma baby face wetu looh ingia Dada Subi katuangushaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-81371504077567158242009-04-22T02:26:00.000-04:002009-04-22T02:26:00.000-04:00nisaidieni wajaameni, kama mkutano wenyewe ni wa w...nisaidieni wajaameni, kama mkutano wenyewe ni wa wake wa marais wa Afrika; sasa kwanini wameenda kukutana marekani? Kwanini siyo Guinea, Lagos, Gaborone, Lusaka n.k?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-9071961515249464252009-04-21T23:55:00.000-04:002009-04-21T23:55:00.000-04:00Asante kushukuru!
Aidha ni 'jet lag' (tafsiri rasm...Asante kushukuru!<br />Aidha ni 'jet lag' (tafsiri rasmi ya KiSwahili siifahamu) ama joto ama walikuwa wakitafakari kwa makini ama waliboreka... nimengi ya kufikiri kuhusu hali hiyo.Subi Nuktahttps://www.blogger.com/profile/01076447163143596978noreply@blogger.com