tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post1940186296542558193..comments2024-03-22T03:02:53.585-04:00Comments on Swahili Time: Blogu Mpya - Tembea TanzaniaChemi Che-Mpondahttp://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-28503489469809170232011-03-12T11:58:25.459-05:002011-03-12T11:58:25.459-05:00kimsingi blogu ipo kitambo sana ila ni miongoni mw...kimsingi blogu ipo kitambo sana ila ni miongoni mwa zile low-profile blogs. kiukweli inajitahidi sana kuitangaza nchi yetu katika uwanda wa utalii. ndugu yetu anafanya vema na anastahili kuungwa mkono.<br /><br />ila ningemshauri pengine ajikite kwenye umombo zaidi maana wanaoelewa umbombo ndio mifuko yao imesheheni hela za kutalii. ushauri tu.John Mwaipopohttps://www.blogger.com/profile/11708584279197669683noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-49254997990389082011-03-12T11:25:23.897-05:002011-03-12T11:25:23.897-05:00Nimekuwa nikiitembelea blogu hii mara kadhaa. Inal...Nimekuwa nikiitembelea blogu hii mara kadhaa. Inaleta picha za maeneo mengi ya Tanzania ambayo wengi wetu hatujawahi kuyaona na huenda tusipate fursa ya kuyaona. Ni kivutio kikubwa.Mbelehttps://www.blogger.com/profile/16077261126944002622noreply@blogger.com