tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post229977763382411099..comments2024-03-22T03:02:53.585-04:00Comments on Swahili Time: Ugomvi za Wasanii Bongo "Asha Baraka Asije Kunizika" - Ally ChokiChemi Che-Mpondahttp://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-30212437751772930282013-06-23T03:07:28.919-04:002013-06-23T03:07:28.919-04:00Hawa ni kuwatazama tu bila kuingilia ugomvi wao. ...Hawa ni kuwatazama tu bila kuingilia ugomvi wao. Pamoja na matusi yote haya sitashangaa Ali Choki leo akirejea Twanga Pepeta.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-1805008786577102442013-06-12T01:35:22.923-04:002013-06-12T01:35:22.923-04:00Msigombane hadi kuwekeana uadui wa kiasi hicho,......Msigombane hadi kuwekeana uadui wa kiasi hicho,...tukumbuke kila binadamu ana uzaifu wake, ana makosa yake, na haya yote tunaweza kuayasahau kwa kusameheana, kwani utakosa nn ukimsamehe aliyekukosea.<br /> Ujue ukifa kama ulikuwa umekosana na mwenzako na mukawa hamjamsameana, pepo mnaikosa..utauizwa...wewe kumbuka umemkosea mangapi mola wako na bado anakusamehe.emuthreehttps://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-40960249291253513162013-06-12T01:32:34.285-04:002013-06-12T01:32:34.285-04:00Msigombane hadi kuwekeana uadui wa kiasi hicho,......Msigombane hadi kuwekeana uadui wa kiasi hicho,...tukumbuke kila binadamu ana uzaifu wake, ana makosa yake, na haya yote tunaweza kuayasahau kwa kusameheana, kwani utakosa nn ukimsamehe aliyekukosea.emuthreehttps://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-63594078754040042952013-06-11T23:16:41.989-04:002013-06-11T23:16:41.989-04:00Wivu tu! Wivu tu! Anonymousnoreply@blogger.com