tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post2531745773563086834..comments2024-03-22T03:02:53.585-04:00Comments on Swahili Time: Dr. Mbele Asifia Tiba Aliyopata DarChemi Che-Mpondahttp://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comBlogger7125tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-44446058541955089212012-04-05T09:18:25.601-04:002012-04-05T09:18:25.601-04:00Nami nakubaliana na Nizar Dr. Mbele angeenda mwana...Nami nakubaliana na Nizar Dr. Mbele angeenda mwananyamala au Hospitali ambazo watanzania wa ukweli wanatibiwa kwa kweli tungemuelewa kweli huduma zikoje? Hapo bado ni sawa na kwenda nje ya nchi.
Issue ni kuwa siyo madaktari wetu hawafanyi kazi bali wanazidiwa na kazi, hakuna dawa za kutosha na pia hospitali hziko kwenye viwango vinavyotakiwa na madaktari wapo wachache sana na la mwisho serikari haiwajali madaktari wake.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-73343893953370468122012-04-01T08:33:06.580-04:002012-04-01T08:33:06.580-04:00Nizar Dokta Mbele yuko wright kwenda magomeni na s...Nizar Dokta Mbele yuko wright kwenda magomeni na siyo mwananyamala anachosema yeye Tanzania kuna huduma nzuri haijalishi umeipata wapi hata kama umeipata private bado ni Tanzania kwani hata huko ulaya kuna hospitali za serikali na private.Kuhusu kumwambia aje agombee uongozi yeye mwenyewe labda anaona hiyo siyo fani yake ingekuwa fani yake angegombea. Kwanza akigombea si mtaanza oo mara ana tamaa wabongo maneno mengi vitendo haba. Kwa mtaji huu CCM itatawala na kufanya inavyotaka mpaka mwisho wa Dunia kwani asilimia kubwa ya wabongo ni watumwa wa fikra na hawataki kuusumbua ubongo wao ndiyo maana wanaishi maisha ya karne ya 17 na hawana wasiwasiAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-90293787425794934502012-03-28T18:16:40.356-04:002012-03-28T18:16:40.356-04:00Sawa bwana profesa mbele unayetushangaa sisi watan...Sawa bwana profesa mbele unayetushangaa sisi watanzania kuendelea kuwapigia kura wanasiasa wetu mbumbumbu. Jee, vipi wewe ambaye siyo mbumbumbu uachane na hiyo "pursuit of american dream" na uje ugombee uongozi hapa nyumbani ili ubadilishe hali halisi? Jee huoni kwamba mbumbumbu wanachaguliwa kwa sababu watu ambao siyo mbumbumbu kama wewe wanaogopa kushindana na mbumbumbu?

Na kama kweli unaridhika na huduma za afya za hapa nyumbani, kwanini umekwenda magomeni kwa dokta ole? kwanini hukwenda mwananyamala au amana hospitali kwenye hospitali zinamilikiwa na walipa kodi?

Nakuomba ukiumwa tena au mtoto wako akiumwa mpeleke hospitali za serikali, kisha uje hapa utueleze kwamba unaridhishwa na viwango vya huduma za afya.Nizarnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-6210590540522914182012-03-28T08:21:55.642-04:002012-03-28T08:21:55.642-04:00Hebu fikiria hizo za kwenda kuwatibia huko nje, na...Hebu fikiria hizo za kwenda kuwatibia huko nje, nafikiri zingesaidia hata kuongeza wodi za wajawazito huko hospitali za mikoani, lakini wapi, kila mtu anajijali yeye...haya katibiweni huko, lakini mjue hizo hela mnazotumia ni za walalahoi ambao hata tiba ndogo wanaambiwa dawa hakuna....lakini tunashukuru kuwa madocta wapo, ingawaje wanalipwa kiduchu ukilinganisha na wabunge wetu....emuthreehttps://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-21930318778220205142012-03-23T11:29:07.252-04:002012-03-23T11:29:07.252-04:00Bongo kuna huduma nzuri ya afya, kama una hela ya ...Bongo kuna huduma nzuri ya afya, kama una hela ya kwenda Private! Maskini walie tu. Na hao viongozi wantafuta shopping tu au hawataki tujue wanaumwa nini! Wengi wanaenda nje kutibiwa ugonjwa wa kisasa.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-49994387743640456372012-03-23T02:21:56.752-04:002012-03-23T02:21:56.752-04:00Ninakubaliana 100% na mtoa mada. Kwenye hotuba yak...Ninakubaliana 100% na mtoa mada. Kwenye hotuba yake na Wazee wa Dar es salaam, JK alisema fani ya udaktari ni muhimu sana kwani wakigoma mgonjwa anaweza akafa, na wanaporudi hawataweza kurudisha uhai wa marehemu. Hii ni kweli sasa Ilipaswa kwa kulijua hili serikali iwape madaktari kipaumbele kwa kuwapatia malipo mazuri,nyenzo na mazingira bora ya kazi.

Kwenye uchumi wa Soko Huria kila mtu anaangalia maslahi yake pia. Iweje Madaktari waachiwe jukumu la kubeba afya za wananchi wa kujitolea na kujiumiza wenyewe na familia zao.

If the government truly values the contribution from the Doctors as they claim to, then they (the government) must show their appreciation by paying them worthy salaries.

Mdau Dar es salaamAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-42049511848518189782012-03-22T17:24:25.072-04:002012-03-22T17:24:25.072-04:00Profesa Mbele umefanya vizuri kuelezea suala hili....Profesa Mbele umefanya vizuri kuelezea suala hili.Ukweli Wamasiasa wanadharau sana Wanataaluma Madaktari,Maeinjinia n.k.Kitendo cha wao kukimbilia nje kutibiwa ni dharau kwa Madakitari wetu ambao wamesomea hapa USA na Ulaya.Labda ni kwavile tuu pesa hizo hazitoki mifukoni mwao[kodi za wananchi].Nakuhusu suala la pesa Nchi inazo na Rasilimali zipo ila tuu zinatumiwa vibaya.Mfano tuna Wabunge karibuni 400 nawengi wao ni wakuteuliwa na viti maaluum,kwanini tusiwe na wabunge 200 tuu wamajimbo.Mawaziri na Makatibu karibuni 120,swali Nchi yenyewe ina ukubwa gani kuwa na idadi kubwa ya viongozi wote hao.Mwisho wachiba Madini walipishwe Kodi ya Kisawasawa.Ukweli Katiba na mfumo wa Uongozi uliopo wauna Faida na umepitwa na Wakati,Viongozi nawakumbusha kuwa tupo KARNE ya 21 punguzeni Matumizi kwa kuwa na SERIKALI NDOGO.Anonymousnoreply@blogger.com