tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post2536288181045908398..comments2024-03-22T03:02:53.585-04:00Comments on Swahili Time: Mafuta kuwa Suala la Muungano TulikoseaChemi Che-Mpondahttp://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-13997278263638520092012-05-31T19:01:55.100-04:002012-05-31T19:01:55.100-04:00Kwanza Zitto tatueni tatizo la MADINI Geita nk amb...Kwanza Zitto tatueni tatizo la MADINI Geita nk ambako BARRICKS wanavuna MADINI kama yao na WANANCHI hawajafaidika lolote na pia WANAKUFA kama KUKU kutokana na MAJI YAO kuwa na KEMIKALI,pia wanyama na mazao yanakufa.Kisha tuangalie hiyo LAANA ya MAFUTA kwa maana hayajapatikana watu wameshaanza kupigana je yakipatikana sijui itakuwaje.Kwa AFRICA NISHATI ni LAANA na SIO NEEMA mfano halisi ANGOLA,LIBYA na NIGERIA.Anonymousnoreply@blogger.com