tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post2551906609864849209..comments2024-03-22T03:02:53.585-04:00Comments on Swahili Time: Rais Kikwete Asaini Kitabu cha Rambirambi -IGP Guido MahundiChemi Che-Mpondahttp://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-69641873597511516142012-04-09T23:04:20.823-04:002012-04-09T23:04:20.823-04:00Ahsante Kiongozi JK kwa kutushika mkono na kutupa ...Ahsante Kiongozi JK kwa kutushika mkono na kutupa mkono wa pole,,,Ndivyo ilivyo, yanapotokea, inachukua muda kuzoea na kuelewa kuwa Kanumba hayupo nasi tena, kifo cha Huyu Kijana Msanii wa Sinema kiwegusa wanachi wengi sana !Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-47921176922133689772012-04-08T21:51:25.963-04:002012-04-08T21:51:25.963-04:00oh! Kifo cha Kanumba ni changamoto kwetu tuliobaki...oh! Kifo cha Kanumba ni changamoto kwetu tuliobaki hai kwani hatujui siku wala saa ya kufa kwetu.Yafaa kukaa tayari tumejiweka wakfu kwa MUNGU wetu na sio tulemewe na hanasa za Dunia japo tuwe na uwezo!Anonymousnoreply@blogger.com