tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post2619326024215644589..comments2024-03-22T03:02:53.585-04:00Comments on Swahili Time: Sinema Maangamizi the Ancient One Iko You Tube!Chemi Che-Mpondahttp://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-35100778998953804132011-05-21T17:47:43.504-04:002011-05-21T17:47:43.504-04:00Asante sana dada Chemi. Nimefurahi sana kumuona Pr...Asante sana dada Chemi. Nimefurahi sana kumuona Professor Amandina Lihamba akiwa kijana tena akiigiza. Nafurahi kuwa sasa ni professor wa fani hizo hapa udsm ninakofanya kazi pia.Pia wewe kumbe ulikuwa unaigiza. Nashukuru sana.<br />NimefurahiAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-19428018176280654702011-05-12T15:24:16.412-04:002011-05-12T15:24:16.412-04:00Nimewahi kusikia hiyo sinema, 'Mlevi' laki...Nimewahi kusikia hiyo sinema, 'Mlevi' lakini sijui unaweza kuipata wapi. Una habari sinema zetu nyibngi za zamani zimepotea? Zimeoza, haziwezi kuonyeshwa tena Ukifungua kopo ni uji mtupu. Sinema ambazo zimesalia ni zile ambazo zilipelekwa nje ya nchi.<br /><br />Kuna sinema, 'GUMU' ambayo ilitengenezwa mwaka 1934 na mkoloni. Nia ya hiyo sinema ilikuwa kuonyesha waafrika kuwa maisha ya mjini yalikuwa magumu hivyo ni bora wabaki kijijini. Sinema ilitengenezwa na Bantu Educational Kinema Experiment (BEKE) ambayo ilikuwa chini ya The International Missionary Council ya Waiingereza.Chemi Che-Mpondahttps://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-18238045360661439262011-05-12T13:32:48.828-04:002011-05-12T13:32:48.828-04:00Asante DaChemi, kuna sinema moja ya zamani ilikuwa...Asante DaChemi, kuna sinema moja ya zamani ilikuwa inaitwa Mlevi ilikuwa nzuri sana je inaweza kupatikana vipi na wapi najua wewe utakuwa unauwezo wa kufahamu hilo kwani iko kwenye tasnia yakoAnonymousnoreply@blogger.com