tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post2683754362537402940..comments2024-03-22T03:02:53.585-04:00Comments on Swahili Time: Morogoro HotelChemi Che-Mpondahttp://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-28237942563291627882008-05-15T05:45:00.000-04:002008-05-15T05:45:00.000-04:00Da Chemi, Asante sana kwa hii post. Nafikiri utaun...Da Chemi, Asante sana kwa hii post. Nafikiri utaungana nami ya kuwa biashara ya siku hizi ni matangazo, bila matangazo vitu haviendi ipasavyo. Hoteli kama hizi kama zingekuwa na websites na kutangaza huduma zinazopatikana huko ingekuwa ni vizuri zaidi hasa kwa watu wanaopenda kutembelea sehemu mbalimbali nchini Tanzania. Tatizo ni kwamba utakuta hoteli zile maarufu za Arusha, Mwanza na Dar ndo zinajitangaza na utakuta kuna hoteli nyingi na nzuri tu na zenye hadhi na gharama nafuu tu ambazo hazijulikani kabisa. Hivyo wito wangu ni kwa wale wote wenye biashara hizi za hoteli, guesthouses, na restaurants kutangaza biashara zao kwa manufaa ya wengi. Asante.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-89419459258382626712008-05-13T04:36:00.000-04:002008-05-13T04:36:00.000-04:00napachukia morogoro mimi jamaninapachukia morogoro mimi jamaniAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-66295383626211731452008-05-12T21:48:00.000-04:002008-05-12T21:48:00.000-04:00Du umenikumbusha Moro! asante sana keep it up!Du umenikumbusha Moro! asante sana keep it up!Anonymousnoreply@blogger.com