tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post2749237162999664897..comments2024-03-22T03:02:53.585-04:00Comments on Swahili Time: Republicans Wazidi Kuonyesha Ubaguzi Wao - Kesi ya Trayvon MartinChemi Che-Mpondahttp://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-58672122489732863282012-03-29T22:19:17.983-04:002012-03-29T22:19:17.983-04:00Tahira siyo mtu wa kuvua nguo tuu,yeyote anaye tha...Tahira siyo mtu wa kuvua nguo tuu,yeyote anaye thamini RANGI ni TAHIRA PUNGUANI.Mwenyezi Mungu ameumba Binaadamu wote sawa hakuna aliye Bora dhidi ya mwingine na ndiyo MAANA KIFO,MARADHI,SHIDA nk hazichagui RANGI hupiga hodi kwa kila Binaadamu.Kichekesho Republican wengi ni Mathira una Utumbo wanao ongea.Mfano Gingritch aliposema anataka OPEN MARRIAGE,swali jee na MKEWE afanye hivyo anavyotaka yeye?.Ndugu zangu WEUSI hii isiwatie hofu wala kujisikia duni sisi ni bianadamu kama wao na uzuri zaidi tuna AKILI timamu siyo wao MATAHIRA.Zimmerman Mweyezi Mungu atamlipa kwa yote aliyo yafanya hapa duniani na akhera.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-2650204448389627982012-03-29T14:03:17.736-04:002012-03-29T14:03:17.736-04:00Republicans ni chama cha wazungu. Kuna weusi wacha...Republicans ni chama cha wazungu. Kuna weusi wachache lakini ni tokens/puppets! Hawapendi weusi acha tu. Wanaohudhuria mikutano yao ni wazungu watupu. Ukiona mweusi ni mhudumu!Anonymousnoreply@blogger.com