tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post2933930679962411..comments2024-03-22T03:02:53.585-04:00Comments on Swahili Time: Oprah Asikitika Matron wa Shule Yake Ameachiwa Huru!Chemi Che-Mpondahttp://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-11412179902429107272010-10-15T09:15:36.164-04:002010-10-15T09:15:36.164-04:00hela mwenzio matumizi ulalamikie wewe,Kweli ukista...hela mwenzio matumizi ulalamikie wewe,Kweli ukistaajabu yaq Musa utayaona ya firauni.AAAAAAAAAAAAAArghAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-85590054365951939312010-10-14T15:11:37.806-04:002010-10-14T15:11:37.806-04:00Kweli hela ya Oprah lakini anazitumia vibaya. KWel...Kweli hela ya Oprah lakini anazitumia vibaya. KWeli wengi zaidi wangeweza kufaidi.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-19593584350904342602010-10-14T08:43:36.685-04:002010-10-14T08:43:36.685-04:00hizo pesa anony za OPRAH sio zako,hivi unampangia ...hizo pesa anony za OPRAH sio zako,hivi unampangia vp mtu kuspend pesa yake.Kwani Oproh hajui kama Tanzania maskini.Haya ndo matatizo yetu wabongo tunajibweteka tu,na wajuzi wa kulalamika wageni hawajatufanyia this and that.shame upon us.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-74448550633951616962010-10-12T19:57:22.492-04:002010-10-12T19:57:22.492-04:00Hizo pesa alizomwaga huko SA zingejenga shule za m...Hizo pesa alizomwaga huko SA zingejenga shule za maana 20 Bongo! Kweli angesomesha watoto milioni moja na hizo pesa. Halafu anaona kwa vile ni OPrah basi akikuchukia anawea kuharibu maisha yako.Anonymousnoreply@blogger.com