tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post3178867204215819084..comments2024-03-22T03:02:53.585-04:00Comments on Swahili Time: Mzee Ruksa Apigwa Kofi Jukwaani!Chemi Che-Mpondahttp://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comBlogger7125tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-27993284475569968242009-03-17T11:16:00.000-04:002009-03-17T11:16:00.000-04:00Pole sana Mzee Ruksa. Unapendwa na waislamu na wak...Pole sana Mzee Ruksa. Unapendwa na waislamu na wakristo. Hukustahili kutendewa hivyo Mzee wetu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-79545857691895122992009-03-17T09:03:00.000-04:002009-03-17T09:03:00.000-04:00"Mimi ni Mkristo lakini nilimpenda sana Mzee Ruksa..."Mimi ni Mkristo lakini nilimpenda sana Mzee Ruksa"<BR/><BR/>Sijui kuna uhusiano gani hapa wa "dini" na kumpenda mzee ruksa.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-54969016978599701602009-03-11T21:47:00.000-04:002009-03-11T21:47:00.000-04:00Jamaa apigwe lakini sioni sababu ya kumwua. Usalam...Jamaa apigwe lakini sioni sababu ya kumwua. Usalama watamdhabiti!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-18457820624687678702009-03-11T17:08:00.000-04:002009-03-11T17:08:00.000-04:00Piga ua!Piga ua!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-37609828220062308592009-03-11T16:36:00.000-04:002009-03-11T16:36:00.000-04:00Tanzania inaelekea wapi jamani? Mzee Ruksa anaende...Tanzania inaelekea wapi jamani? Mzee Ruksa anaendekeza amani halafu muone! Pole sana Mzee wetu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-10948721669643664872009-03-11T15:38:00.000-04:002009-03-11T15:38:00.000-04:00Nimelia kusikia habari hizi. Mimi ni Mkristo lakin...Nimelia kusikia habari hizi. Mimi ni Mkristo lakini nilimpenda sana Mzee Ruksa. Tulikuwa tunashinda njaa, Mzee Ruksa aliruhusu vyakula viagizwe nje ya nchi. Mafuta ya kupikia mchele na mengineo. Tulikuwa tunavaa viraka, Mzee Ruksa katuletea Mitumba. Friji enzi za Mwalimu ilikuwa anasa! Walioishi enzi zile wanajua Mzee Ruksa alivyotusaidia. POLE SANA MZEE WETU!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-45881967958822194252009-03-11T15:33:00.000-04:002009-03-11T15:33:00.000-04:00Aisee nimesikitika sana... Nampenda sana Ali Hassa...Aisee nimesikitika sana... Nampenda sana Ali Hassan Mwinyi. Ana mawaidha poa, kweli ukimwi unatumaliza... sio siri, na sio mara ya kwanza Mwinyi kuongelea janga la ukimwi alishasema haka kagonjwa kamekaa pabaya sana tangu enzi zileeee, tujikinge wananchi sio swala la uislamu wala ukristo hapa ni facts and reality. Alamsiki.Anonymousnoreply@blogger.com