tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post3283040451269793219..comments2024-03-22T03:02:53.585-04:00Comments on Swahili Time: Morgan Freeman na Mke Wake Waachana RasmiChemi Che-Mpondahttp://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-38101218031055933122010-09-20T04:03:25.507-04:002010-09-20T04:03:25.507-04:00Mhhh labda cha ajabu hapa ni kuoa `mjukuu' Mhh...Mhhh labda cha ajabu hapa ni kuoa `mjukuu' Mhhh, mimi nashindwa kuelewa kidogo, kuhusu haya mapenzi!<br /> Hivi mapenzi yana mpaka `wa umri' kuwa ukiwa mzee huwezi kumpenda `mjukuu'...aaah, haya mapenzi ni ya ajabu eeeh, umpende saizi yako, umri sawa au mpishane kidooogo!<br /> Basi kumbe mapenzi yana `masharti' sio kama nilivyojua mimi, kuwa mapenzi yanatoka moyoooni.<br /> Kweli nahitaji shule ya mapenzi...nitakwenda kuisomea!emu-threehttp://miram3.blogspot.com/noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-80633215450417341182010-09-19T06:06:53.913-04:002010-09-19T06:06:53.913-04:00Hakuna cha aibu wala nini,malipo ni hapa hapa duni...Hakuna cha aibu wala nini,malipo ni hapa hapa duniani yeye alimtoa mwenzie na sasa ni zamu yake.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-49038433468487630162010-09-18T09:29:29.749-04:002010-09-18T09:29:29.749-04:00Huyo mjukuu si mjukuu wa damu lakini bado ni mjuku...Huyo mjukuu si mjukuu wa damu lakini bado ni mjukuu. Kwa kweli ni jambo la aibu.Anonymousnoreply@blogger.com