tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post3367827587143749606..comments2024-03-22T03:02:53.585-04:00Comments on Swahili Time: Kibonde wa Clouds FM Akamatwa na Polisi LeoChemi Che-Mpondahttp://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-43396302829842744502014-08-11T04:13:39.143-04:002014-08-11T04:13:39.143-04:00I dont believe this, Huyu ni kibonde yule ninayemj...I dont believe this, Huyu ni kibonde yule ninayemjua anayehasisha watu wabaki njia kuu au ni kibonde mwingine???Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-72206911516426785892014-08-09T11:10:07.212-04:002014-08-09T11:10:07.212-04:00Samahani suala la kulalamikia wawekezaji mimi lina...Samahani suala la kulalamikia wawekezaji mimi linanikera kwa kuwa ninajiuliza-nani amekataza matajiri wetu wanaovuma nchini na Africa kuungana na kuwekeza wakatoa na ajira kwa vijana? Au-tajiri kufanya hivyo kama alivyofanya Dangote Mtwara au hao makaburu nchini? nani anakuambia wewe uuze mitumba ya chupi, viatu barabarani halafu utumie hela kwa ulevi, bangi? nani kakukataza usiende kulima nyanya au usilime kijijini ulipo ukaungana na wenzako, mkapata kagari ka kubeba mizigo mkaleta nyanya na matikiti dar, mkanunua lori baadae na kusafirisha vitu nchi jirani na mkakua kibiashara kama Shigongo? mbona matajiri wa zamani watu wazima sasa hawana elimu kubwa? Wasomi wa sasa vipi na benki hutangaza mikopo?

>Prof Muhongo alisema-watanzania kuwekeza hamuwezi labda katika soda za rangi tu!! Umeona huu ni uongo? Angalia sera na sheria ya uwekezaji. Google Tanzania National Investment Centre (TIC). Angalia pia mashamba makubwa ya kazati ambayo yana beacons, surveyed wakati wa ukoloni na ni ya GVT baada ya ukoloni. angalia ya Katani tu kuanzia Ubena Zomoni kwenda Kingolwira Morogoro au kuelekea Tanga na kuelekea Korogwe-Same-Mwanga-Moshi.Waliochukua mashamba hawajawekeza mikopo wamejenga magorofa wanapangisha kwa dola DSM na miji mingine. wengine wametoroka nchini (kesi ya Mhindi mtanzania Hale). Ni mishamba hiyo hadi Tongoni-Pangani Tanga. Maeneo yaliyopewa wanakijiji kulima mfano-Vijiji vya ukitoka Segera hadi unamaliza Sisi kwa sisi kuelekea mabwawa ya umeme hale-Pangani 1 and 2 wanalima? wamejenga lodging. nani anamkataza tajiri Mzawa asiwekeze katika ardhi productively akatoa na ajira sio mpaka aje Dangote kutona Nigeria aweke kiwanda cha cement? Si
> wangeungana mfano Hood, Abood, manji, Mengi etc kuunda a multinational company, wakachukua maekari ya former GVT plantation zinazovamiwa na kujengwa majumba kiholela, au mifugo mamilioni kufanya degradation wakaiomba NHC kujenga houses za aina mbali mbali na kujengesha processing industries na kuhamishia omba omba wa mitaani, walio na ulemavu hawana matunzo lakini wanaweza kufanyakazi wakawa wanafanya kazi za uzalishaji. mashamba hayo yakawa yanazalisha vyakula vya kuuza ndani na nje ya nchi, mapambo na vifaa vya katani, maembo na matunda mengine ya muda mfupi. wanaweza wakaanzisha hata fish ponds (nchi kavu na za mikokoni baharini); mifugo ya kisasa kwa kuwapa uwezo wafugaji kufanya hivyo badala ya kuzurura mwaka hadi mwaka kusababisha mapigano vijijini, kuathiri kilimo na food security na kuleta vifo na vilema.

Unawawapa uwezo kwa elimu, kuweka extension services wafugaji wajenge maboma na kupanda majani ya malisho; livestock multiplication centres zipo TZ kimkoa zingetumika kutoa elimu hao matajiri wanalipia hizo extension na ufuatiliaji kisha wao wananunua products na kuzichakachua kiwandani. Nyama, maziwa, ngozi bora etc. Mbona hata Tv zao wengine zinaonyesha sineam familia za mashamba na ufugaji? Akija mchina, Mcanada kuchukua mashamba hayo ya former GVt institutions (kahawa, Minazi, katani, Mikorosho, mahindi, Ngano etc) manawavamia na kudai unavyodai hapa. Mbunge au Diwani anadiriki kuwashauri wananchi wasihame mabondeni, wafugaji wahamaji wasibugudhiwe kwani hiyo ndio mila yao (karne hii ya structural adjustment na ya liberal competitive economy kurudi); kiongozi mjinga na mpumbavu anasema hivi wakati tax payers wa ulaya hawataki tena kutupa grants za huduma za maisha yetu wakati kwetu kuna kila kitu ila tumebweteka. Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-47515206125974975832014-08-09T11:02:38.297-04:002014-08-09T11:02:38.297-04:00Hana maana huyo acha wa mdake, wamemtumia sasa kon...Hana maana huyo acha wa mdake, wamemtumia sasa kondomu tupa hukoAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-62043774828823794402014-08-09T11:00:41.509-04:002014-08-09T11:00:41.509-04:00DAH! Mpanda viazi huvuna viazi ndivyo nilivyofundw...DAH! Mpanda viazi huvuna viazi ndivyo nilivyofundwa!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-579550571218308542014-08-09T11:00:12.730-04:002014-08-09T11:00:12.730-04:00Sheria msumeno!Sheria msumeno!Anonymousnoreply@blogger.com