tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post3389897783288365393..comments2024-02-28T00:56:30.463-05:00Comments on Swahili Time: LULU: That Girl! Kasichana Kale!Chemi Che-Mpondahttp://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comBlogger7125tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-35251133999517524192012-04-16T19:06:11.931-04:002012-04-16T19:06:11.931-04:00mh....... r.i.p kanumba ila. mungu anajua mengi na...mh....... r.i.p kanumba ila. mungu anajua mengi na ana siri za watu wengi saana. nakumbuka kanumba aliojiwa kama ana gf akasema hapana bado hajazaliwa. na mwanamke atakae kuwa nae yeye ni lazima awe na hofu na mungu sasa mungu kaamua kuonyesha siri nzito na kuonyesha kuwa hatupaswi kumchezea na kutamka jina lake kwenye mambo ya uongo na uasherati.. angalia kilichotokea kanumba mauti yamemkuta katika hali ya aibu. na mtoto mdogo yule alie dai kuwa amemlea na amekuwa akimfundisha maadili sasa jamni maadili gani tena chumbani saa 8 za usiku.
inatia abiu. jamani nyie sta wa muvi liwe fundisho. mjifunze jamani hawa watoto mnapokabidhiwa na wazazi wao haina maana mkalale nao. ni huzuni kwa taifa na niaibu pia

lulu maskini ya mungu kabinti ka watu wamekakatisha masomo kwa starehe za mda mfupi. wamakafundisha kuigiza na kulala nacho. ni wasanii wengi watu wazima wamelala na haka ka toto leo hii kamepatwa na matatizo kila m2 anamyooshea kidole hakuna hata mmoja wa ku msapoti. mmepa mama yake lulu mzigo mzitoAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-10237438415049572242012-04-16T19:02:55.710-04:002012-04-16T19:02:55.710-04:00duh,maskini kanumba!umemfundisha huyu mtoto usanii...duh,maskini kanumba!umemfundisha huyu mtoto usanii na ukamfundisha na mapenzi akajua na umalaya,zawadi aliyokupa ni moja tu KIFO!
pole sana ndugu yangu,ajali kazini hiyoAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-73251913984994129882012-04-13T08:46:41.624-04:002012-04-13T08:46:41.624-04:00Is better to being pro-active as others are propos...Is better to being pro-active as others are proposing than being reactive as Mdee at el wants to practice.
Wanaweza kuambulia manyoya tu na aibu ikawa yao, they are trying to being reactive,waanzishe mipango ya muda mrefu itakuwa msaada na jamii tutawaona wamepevuka kiuongozi na kifikra, but kwa huyu Lulu wameshachelewa.
Maji yameshamwagika na juhudi zao za kuyazoa watazoa matope na yatawachafua.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-2806829882441207552012-04-12T17:17:39.545-04:002012-04-12T17:17:39.545-04:00Hadithi yetu ya leo inatufundisha kuwa ....asiye f...Hadithi yetu ya leo inatufundisha kuwa ....asiye funzwa na mamaye/babaye hufunzwa na .......ulimwenguuuuuuuuuu, piga makofi tafadhali.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-70230263957774997562012-04-12T11:34:46.258-04:002012-04-12T11:34:46.258-04:00Walimfanyia bethdei ya kusherekea miaka 18! Leo an...Walimfanyia bethdei ya kusherekea miaka 18! Leo anadai ana miaka 17! Lulu umri mdogo lakini umalaya na uhuni ulimzidi. Ulitak kukua haraka mno wakati wenzako wako shule. Hakuna msamaha kutoka kwangu!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-5838872585816194502012-04-12T10:53:30.600-04:002012-04-12T10:53:30.600-04:00Halima Mdee na Ester Bulaya,
Ni bora mngeanzisha P...Halima Mdee na Ester Bulaya,
Ni bora mngeanzisha Programu maalumu ya vijana kuwasaidia kutunza ujana (usichana na uvulana) wao na maadili ya taifa letu na uafrika wetu kwa faida yao , kizazi kijacho, na dunia kwa ujumla. Hilo ndilo liwe jambo la msingi.

Tuache siasa na cheap ways to ourselves popular. Tuangalie serious issues na jinsi ya kupambana nazo.

Zaidi sana tuache vyombo vya sheria vifanye kazi zake kwa uhuru na mtuhumiwa anahitaji haki ya kulindwa asitumike kuendeleza ajenda zisizo na msingi za wanasiasa.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-11285488155418725982012-04-12T10:49:56.518-04:002012-04-12T10:49:56.518-04:00Wasiwasi wangu mkubwa ni maadili ya vijana wetu. T...Wasiwasi wangu mkubwa ni maadili ya vijana wetu. Tusipokuwa wa kweli katika kubadilisha maadili na utamaduni unaukua kila kukicha, kwa kisingizio cha “feminism”, taifa letu tunaliangamiza.

TGNP mpo hapoooo!! Pokeeni ushauri huu... Anzisheni idara ya kutunza na kulinda maadili ya Taifa la Tanzania muwasaidie, pamoja na wengine hao akina dada kabla hawajawa sababu au kufikiliwa kuwa sababu jambo lolote. Hiyo iwe moja ya ajenda yenu kubwa.. short of which HATUWAELEWI na HATUTAWAELEWA. Msisubili kukulupuka na kudandia mambo ili kutekeleza ajenda zenu tu. Hapana!Anonymousnoreply@blogger.com