tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post3640366136830538996..comments2024-03-22T03:02:53.585-04:00Comments on Swahili Time: Tahadhari kwa Waegeshao Magari Jijini DarChemi Che-Mpondahttp://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comBlogger6125tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-26408672649491224712014-07-05T12:46:40.494-04:002014-07-05T12:46:40.494-04:00jana nilinusuruka mitaa ya mori...ni hatari sana n...jana nilinusuruka mitaa ya mori...ni hatari sana na sijui kwanini operation kama hizi zinakuja hadi mtaani Wamekosa za mjini au hazijawatosha.
Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-30462619149303562092014-06-28T18:11:09.106-04:002014-06-28T18:11:09.106-04:00
Sisi si watoto yatima bali tulisha kata tamaa na ...
Sisi si watoto yatima bali tulisha kata tamaa na mfumo wetu wa sheria na mahakama na ndio maana tunaona bora kutoa rushwa yaishe.

Hivi iweje nikamatwe kwa kosa la kupark mahali ambapo hakuna alama ya kunizuia kupark pale halafu nikubali kulipa faini?

Maana ukiamua mpelekane mahakamani sidhani kama mshitaki wako watapata ushahidi wa kukutia hatiani.

Hili ni taifa la waoga, wanaojua kuongea sana, na wasio tayari kutoa jasho kuleta mabadiliko - HAPO TU!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-60201562159236945362014-06-28T08:46:43.323-04:002014-06-28T08:46:43.323-04:00Hii ya kuwasha taa na triangle ni kali kuliko zote...Hii ya kuwasha taa na triangle ni kali kuliko zote mwaka. Sasa kama watoza ushuru wamegeuka walimu wa alama za barabarani walimu watafanya kazi gani?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-27909682285189831262014-06-28T08:45:00.678-04:002014-06-28T08:45:00.678-04:00Sijawahi kusikia duniani kwamba mtu anayeegesha ga...Sijawahi kusikia duniani kwamba mtu anayeegesha gari kandokando ya barabara mahali ambapo haijakatazwa rasmi anatakiwa kuwasha taa za tahadhari na kuweka pembetatu. Naamini hii ni kinyume cha sheria. Naomba wanasheria watoe ufafanuzi.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-72744461693579513502014-06-28T08:43:56.925-04:002014-06-28T08:43:56.925-04:00 Naomba wanajamii tushirikishane uzoefu wa kuchach... Naomba wanajamii tushirikishane uzoefu wa kuchachamaa na uelewa wa sheria. Tukifanya hivyo tutarekebisha uonevu unaotokea kila siku, asilimia kubwa ikiwa ni woga tu, au eti siwezi kupoteza muda. Hili ndilo linalotuponza. kumbuka, muda utakaopeteza kupigania haki, ni Muda unaowakoa watanzania wengi, wanyonge, ambao sauti zao zimedidimizwa. Ni sisi ndio tutakobadilisha au kukomesha uovu tunaofanyiwa kwa kinga ya pesa. Pesa uliyovuna kwa jadsho ni tamu, ni kwa ajili ya familia. kwa nini tuendelee kuwajazia vibaba visivyojaa hata ukiwahamishia utajiri wote wa Tanzania. Asante!! Naomba Tupambane, ila tufuate sheria!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-58952618093272998842014-06-28T08:42:48.531-04:002014-06-28T08:42:48.531-04:00Ninasikitika sana kwa vitendo hivyo. Siyo watoe ta...Ninasikitika sana kwa vitendo hivyo. Siyo watoe taarifa, bali wabandike mandiko ya NO Parking sehemu wanazoona hazistahili kuegesha magari. Ni kwa vile watanzania pia hatujui sheria. Akishika gari ambapo hapajawekwa hiyo alama wanatakiwa kushtakiwa. Amkeni Watanzania. Pili,wanapokataza kupaki gari, waonyeshe ni wapi wametenga parking ya magari yaliyoongezeka. Hii ndiyo adha iliyo katika jiji hili. Mfano, makusanyo ya Parking ambayo yamekuwa yakikusanywa kila siku, yamefanya kazi gani, yameboresha nini, yameongeza vipi sehemu za kupaki magari. Watanzania tuko kimya.Tunashindana na wale wanaokusanya, lakini halifiki panapohusika.Lakini panapohusika ni wapi!!! Tanzania inayokwenda bila sheria. Leo utampeleka wapi mtu. Kila mtu akiamua anaanzisha mradi na kuwachomoa watanzania. Watanzania tudai sehemu za kupaki, watuonyeshe. Mbona gari za serikali hazitiliwi kashkash!! Je! Ni sheria gani inayosema wasifuate sheria. Hii inanikumbusha tukio la askari aliyeiweka gari pembeni kule karibu na makumbusho kwa kutanua. Akaingia matatani.Jamani!! Vyombo vya utekelezaji wa majukumu kuweni na roho za kibinadamu!!!!Anonymousnoreply@blogger.com