tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post3779057296511358122..comments2024-03-22T03:02:53.585-04:00Comments on Swahili Time: Mkapa Ahusushwa na Kifo Cha Utata cha Mwalimu Nyerere!Chemi Che-Mpondahttp://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comBlogger10125tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-9816460946261723462012-03-20T09:42:18.990-04:002012-03-20T09:42:18.990-04:00Huyu jamaa jiona lake ni Vincent Kiboko. Huu &quo...Huyu jamaa jiona lake ni Vincent Kiboko. Huu "uNyerere" amechipachiuka tu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-18402586390513145012012-03-16T07:48:59.418-04:002012-03-16T07:48:59.418-04:00Jamani siasa za Tanzania zimekuwa very complex kat...Jamani siasa za Tanzania zimekuwa very complex katika miaka ya karibuni. Vincent Nyerere amemshambulia vibaya sana Benjamin Mkapa na by extension CCM. Lakini asichoelewa Vincent ni ukweli kwamba baadhi ya viongozi wa ngazi za juu Chadema wamepakatwa na mafisadi ndani ya CCM na ndio maana huwezi kuwasikia hata siku moja wakiwasema vibaya watu hawa hadharani.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-38346259041630266312012-03-15T06:25:29.143-04:002012-03-15T06:25:29.143-04:00Mdau wa Mchuzi Usiofaa umepitwa nawakati,maovu ya ...Mdau wa Mchuzi Usiofaa umepitwa nawakati,maovu ya Mkapa ulimwengu mzima unajua.Kukusanya kodi Mamilioni na kuzitumia[kuzifisadi]hesabu hiyo haina kichwa wala miguu.Mashirika aliyoyauza,mashamba,mabemki na mauaji ya Mgodi wa Geita nk ni Ufisadi ni kwa vile Bongo kuna kulindana ukweli Mkapa anastahiki Kushitakiwa kama vile Chiluba wa Zambia.Kumbuka hakuna mtu aliye juu ya Sheria.Wakati umefika wa kubadilisha Katiba Mbovu iliyopitwa na Wakati.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-9034067280699347902012-03-14T21:44:36.115-04:002012-03-14T21:44:36.115-04:00Mara nyingi hawa vijana wananishangaza sana. Mshan...Mara nyingi hawa vijana wananishangaza sana. Mshangao mkubwa hasa unakuja unapoona wale ambao kihalisia wamefaidi matunda ya nchi hii, walioona jinsi ndugu zao walisaidiwa kwa jasho la watanzania, wale waliolelewa katika misingi ya Uzalendo na Utaifa wanaanza kukengeuka. Mtizamo wangu ni kwamba hawafai (kwa lugha ya kiungwana tu). Tuhuma kama hii ni nzito kwa kijana aliyelelewa katika misingi ya kitaifa hangestahili kuyasema haya. Ni kwa vile alikuwa huenda mtoto mchanga hakujua kilichokuwa kikiendelea. Kwake tukio la kifo Baba wa Taifa ilikuwa kama hadithi ya mtoto mmoja aliyekwenda kwenye msiba wa jirani yao, alimkuta mtoto wa marehemu akiwa na wali, alipomuomba naye apatiwe wali yule mtoto wa marehemu akakataa ndipo yule mtoto akamwambia hivi " Na mimi baba yangu akifa nitakunyima wali".

Mtoto katika mfano huu kimsingi hakujua maana ya tukio lile alichoona ni wali tu. Huyu kaona Ubunge tu wa ARUMERU wala hakujua kilichotokea na sidhani kama kwa matamshi haya ana haja ya kujua kilichoendelea.

Kwetu kuna methali kwamba "Mchuzi usiofaa kulia viazi haufai hata kumpa mbwa".Kama watu wenyewe ni wa aina hii hii tu, hapana hata uongozi wa nyumba kumi hawafai. Mkapa aliyeweka juhudi kubwa za kukusanya kodi wakati anashika uongozi tulikuwa tunakusanya Shs: 28.00 Bil kwa mwezi hadi wakati anang'atuka kwenye uongozi tulikuwa tunakusanya zaidi ya shs: 180.00 Bil.

Wakati anachukua nchi ilikuwa haikopesheki lakini akarejesha heshima na tukaanza kukopesheka. Hata hivyo kwa busara ya kawaida sioni sababu ya Mkapa kujibu upuuzi huu. Mimi nawasamehe pia.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-41829190685799893522012-03-14T14:00:53.282-04:002012-03-14T14:00:53.282-04:00Hivi CCM ilikosa kabisa mtu wa kufungua Kampeni za...Hivi CCM ilikosa kabisa mtu wa kufungua Kampeni zao....?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-67047407480612533672012-03-14T11:55:28.247-04:002012-03-14T11:55:28.247-04:00Hivi kumhusisha Mkapa na kifo cha Nyerere au kutaj...Hivi kumhusisha Mkapa na kifo cha Nyerere au kutaja madhambi yake kutaisaidia vipi Chadema kushinda Arumeru? Naona Chadema wamemshupalia Mkapa bila kueleza watawafanyia nini watu wa Arumeru endapo mgombea wao atachaguliwa.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-72809730720210020692012-03-14T11:06:19.553-04:002012-03-14T11:06:19.553-04:00Kila jambo na wakati wake. Kuna wakati wa kunyamaz...Kila jambo na wakati wake. Kuna wakati wa kunyamaza na wakati wa kusema. Yule dada Mmarekani aliyefanya mapenzi na rais wa Marekani alikaa miaka yote hadi sasa wakati ulipofika na kuandika kitabu. Kuna wakati wa siri na wakati wa siri kutobolewa. Kusema sasa hakuondoi uhalali wa jambo. Hata watoto wanaolawitiwa na viongozi wa dini hunyamaza hadi wakati wa kufichua siri unapofika. Kwa hiyo mimi simlaumu kijana kuwa na hasira kwa jinsi alivyosemwa. Vita haichagui ndio maana wakati enzi za zamani mtu aliyeoa karibuni haruhisiwa kwenda vitani maana mshali hauchagui mtu. Vivyo hivyo nchi kama Marekani hawawezi kumpeleka mtoto mmoja kwenye famila kwenda vitani maana wanajua hiyo siri kwamba risasi haisemi kuwa huyo ni mwana wa pekee. Ndio wakasema vita havina macho!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-5731800907134160632012-03-14T10:52:49.093-04:002012-03-14T10:52:49.093-04:00Ina maana walim KOLIMBA Mwalimu?Ina maana walim KOLIMBA Mwalimu?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-20493251739820409692012-03-14T07:08:42.880-04:002012-03-14T07:08:42.880-04:00Kwa mwafrika, hakuna kifo kisichokuwa na mkono wa ...Kwa mwafrika, hakuna kifo kisichokuwa na mkono wa mtu! Hata Nyerere alisingiziwa kuwa alimuua Sokoine kuhofia nguvu zake na kuwaasa waTz kuamini kuwa Sokoine kafa kwa ajali!Msemakwelinoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-85249465934221874532012-03-14T07:08:08.225-04:002012-03-14T07:08:08.225-04:00jamani mnafanya makosa makubwa sana kwa kuhoji hoj...jamani mnafanya makosa makubwa sana kwa kuhoji hoja ya vincent nyerere.
kwanza jambo linaloibuliwa sasa si ukosefu wa adabu kwa mkapa. ipo hoja ya maana kuwa ilikuwaje mtu mwenye afya karibu na mzima kaondoka anatembea na ghafula katika kipindi cha siku nne au tano akawa mahututi na kurejeshwa kwenye jeneza?

pili ipo hoja ya yerere na mkapa kudiffer kuhusu ubinafsishaji siyo siri. nyerere aliquestion busara ya kubinafsisha mashirika na makampuni yaliyokuwa yanajiendesha na akahoji uuzwaji wa nbc na ghafla akapelekwa nje kutibiwa.

tatu hii ni mara ya kwanza mtu kutoka familia ya nyerere anahoji utaratibu uliofuatwa kwenye matibabu ya mwalimu - very interesting na hatupaswi kusema ni utovu wa nidhamu kwa sababu kuna hoja inaibuliwa kazi yetu ni kutafakari.

nne mkapa akiwa mwanasiasa anapaswa kujibu hoja zote zinazoelekezwa kwake siyo tu kuishia kusema "ni uongo, uongo na uongo mtupu" bila kusema ukweli ni upi. alijibinafsishia kiwira haipingiki hiyo, alipewa mkopo na nbc wakati inabinafsishwa na akarudisha ndani ya miezi bila kueleza alipataje fedha za kulipa au alifanya biashara gani ikulu ndipo akalipa kama si hongo ni nini?

hapa tusiseme kuna utovu wa nidhamu badala yake tumsifu aliyeibuwa hoja zinazojadilika. fulstop.Anonymousnoreply@blogger.com