tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post3821416504659231135..comments2024-03-22T03:02:53.585-04:00Comments on Swahili Time: Wahariri Waandamana DarChemi Che-Mpondahttp://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comBlogger6125tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-57034259511316128072008-10-30T18:41:00.000-04:002008-10-30T18:41:00.000-04:00LOL! Ni wewe mkongwe.LOL! Ni wewe mkongwe.Chemi Che-Mpondahttps://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-53680007769773275522008-10-30T18:36:00.000-04:002008-10-30T18:36:00.000-04:00Ndo maana wanadai unakurupuka.Mbona sioni 'anony w...Ndo maana wanadai unakurupuka.
Mbona sioni 'anony wa 5:58pm' unayemshukuru kwa mchango wake?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-84066435775560116292008-10-30T15:06:00.000-04:002008-10-30T15:06:00.000-04:00Mimi kama mwandis wa habari nakubaliana na Dada Ch...Mimi kama mwandis wa habari nakubaliana na Dada Chemi kwamba Dumb hapa linaweza kufasiriwa kama juinga.Neno Mute ndio neno muafaka kwenye hiyo headline kuonyesha kunyamazishwa.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-76269871122937782008-10-29T22:52:00.000-04:002008-10-29T22:52:00.000-04:00Da Chemi huyo aliyeweka hiyo neno 'dumb' alijua an...Da Chemi huyo aliyeweka hiyo neno 'dumb' alijua anafanya nini. Hebu uliza kwa nini hakwenda kuandamana na yeye.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-87519425242737118992008-10-29T21:44:00.000-04:002008-10-29T21:44:00.000-04:00Anony wa 5:58pm, asante kwa mchango wako. Ni kweli...Anony wa 5:58pm, asante kwa mchango wako. Ni kweli ulivyosema kuwa ni synonym na nilikuwa najua. Lakini kwa vile ina maana nyingi nadhani walitumia hiyo neno maksudi. Kwa nini wasitumie neno, 'mute, mum au silent'. Mtu akisikia neno dumb, hafikirii deaf and dumb anafikiria ujinga kwanza. Waandishi wa habari tunafundishwa 'the power of the pen' na hiyo kichwa cha habari ilisema mengi. Labda mimi ni old school na nilifanya kazi Daily News hapo zamani za kale lakini najua kuwa hiyo neno isingetumika kwenye headline hivyo. Na nina amini ilikuwa issue kwenye post mortem yao ippmedia.com.Chemi Che-Mpondahttps://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-86041928435632038772008-10-29T20:58:00.000-04:002008-10-29T20:58:00.000-04:00Da' Chemi, nina wasiwasi uandishi wa habari uliupa...Da' Chemi, nina wasiwasi uandishi wa habari uliupata 'kiusanii' manake haiingii akilini kwa mwandishi wa habari kutoweza kung'amua kuwa neno linaweza kuwa na maana zaidi ya moja kutegemea na matumizi yake. The word 'dumb' has several synonyms including inarticulate, mute, speechless, voiceless, mum, silent, dense, obtuse, thickheaded, asinine, dull, and foolish. Mwandishi wa makala uliyopost alikuwa akimaanisha kuwa waandishi walikuwa wakiigiza 'ububu', rejea sehemu ya makala hiyo - "The editors marched with sealed mouths, being a mark of silencing the media and suppressing its freedom".

Kwa kuwa wewe ni mvivu wa kuchambua habari umekurupuka na kudai eti waandishi wameitwa 'wajinga'.

USHAURI WA BURE: Kabla ya kupost soma kwa umakini unachopost!Anonymousnoreply@blogger.com