tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post4208541573530672157..comments2024-02-28T00:56:30.463-05:00Comments on Swahili Time: Marudio - Miaka Baada ya tukio kaniomba Msamaha!Chemi Che-Mpondahttp://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comBlogger30125tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-32725301904041488092012-07-22T02:52:40.206-04:002012-07-22T02:52:40.206-04:00http://udadisi.blogspot.com/2012/07/na-haya-ya-jkt...http://udadisi.blogspot.com/2012/07/na-haya-ya-jkt-tutayarudisha-pia.htmlChambi Chachagehttps://www.blogger.com/profile/00276865146983534298noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-4086516220562765742011-08-09T11:23:31.115-04:002011-08-09T11:23:31.115-04:00Mdau wa 1:52AM ni kweli kuna ile naivety ya kutoku...Mdau wa 1:52AM ni kweli kuna ile naivety ya kutokujua wala kufikiria ninia inaweza kutokea. Wasichana wengi wadogo wanajikutua kwenye situations za ajabu na hawajui wafanye nini.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-28913954956337455732011-08-09T04:52:01.215-04:002011-08-09T04:52:01.215-04:00Pole sana Dada Chemi kwa manyanyaso na hongera san...Pole sana Dada Chemi kwa manyanyaso na hongera sana tena sana kwa ujasiri wa kuweza kusema.

Naomba kuwaliza nyie watu mnaomsema Dada Chemi kajitakia, mnafikiri hichi kitu kimetokea jana??? ingekuwa jana wala hata asingeingia kula soda na biskuti, lkn alikuwa mdogo...with no experience!! Kuna mambo mangapi ambayo ilipokuwa mdogo uliyafanya kwa kutokuwa na uelewa!! Acheni kuwa judgemetals!!!! Mmenikera kuliko hata huyo askari aliyebaka (Sorry dada Chemi, lkn mimi hawa wanaosema umejitakia ndio wameniudhi zaidi!!)Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-7240265522426992792011-08-08T11:39:31.495-04:002011-08-08T11:39:31.495-04:00Asante Esie Mae kwa kushare habari zako! Wanawake ...Asante Esie Mae kwa kushare habari zako! Wanawake wengi wana stori za kubakwa jeshini. Yaani, waseme iwe siku ambayo wanawake watakuwa huru kutoa habari zao bila hofu Bungeni, utaona msururu wa wanawake wakijazanza huko! Story za mimba za maafande acha tu! Story za kuwa mboga ya viongozi na maafande!Chemi Che-Mpondahttps://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-44361736080941225802011-08-06T17:26:37.323-04:002011-08-06T17:26:37.323-04:00JKT irudishwe lakini iwe kwa wavulana peke yao. Wa...JKT irudishwe lakini iwe kwa wavulana peke yao. Wasichana wasipelekwe JKT.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-72069142895452575942011-08-06T13:37:18.179-04:002011-08-06T13:37:18.179-04:00Lakini huko JKT jamani wasichana waliteseka sana, ...Lakini huko JKT jamani wasichana waliteseka sana, wengine walitoka na ulemavu wa kudumu. Mimi nakumbuka kuwa tulipofika tu Matron wa kambi alituita wasichana wote akatwambia kuwa tusikubali hata kama wakitutisha namna gani kwani sheria zinatulinda. Lakini pamoja na kulindwa kote na sheria za mdomoni mimi nakumbuka niliteseka sana kisa ni msichana sitaki kulala na afande. Na sio mimi tu maana niliwatesa hata wenzangu niliokuwa nao kombania moja, kisa nimekataa kulala na afande. Kila siku push up mpaka magoti yanachunika, kila siku kuviziana na kutafutiana makosa na hao wavulana waliokuwa marafiki zangu wa kawaida walipata adha na tabu kubwa lakini kila siku walikuwa wananiambia sisi tunapata tabu na shuruba kwa ajili yako ni bora uendelee na msimamo wako huo huo na tuko tayari kuteseka. Tunaadhibiwa kombania nzima kisha platuni nyingine wanachujwa, mpaka inabaki platuni yetu, na hapo anahakikisha mpaka inabaki section yetu ndio anatusulubu tani yake.

Kwa kweli nawashukuru sana marafiki zangu ambao nilikuwa nao section moja Mungu awabariki huko waliko maana sijui wako wapi hivi sasa nitaweka jina langu walokuwa wakiniita huko.

Na hata nilipokimbia porini huko Mgambo na kupelekwa Mgulani kujiunga na jeshi kuwa afsa kadet bado tabu hazikuniisha, nakumbumbuka kupangwa guard usiku tena geti lile la kubwa la kuingilia Mgulani karibu kila siku mpaka watu wakajua kuna kitu tu, lakini nililinda guard wee, mpaka nikamaliza jeshi!

Na kama sio guard basi Afande Kitomari atupeleke Quatter Guard karibu kila siku kula extra drill mpaka wale MP wakawa rafiki zetu tukifika wanatupa mifagio tunafagia kisha wanatwambia jimwagieni maji, kisha mkimbie na lile vumbi la kufagia na maji tukirudi jamaa anaona katukomesha. Huyu Kitomari alikuwa na ugonjwa na wasichana wadogo wadogo.

Nikimbuka tabu za huko, kujificha maporini, kufanyishwa kazi kama punda, kukimbia marathoni kila siku, kufyatua matofali, kubeba zege, kulima, kukata kuni, nakubali kuwa mengi yalinijenga na unyanyasaji wao ulinifanya niwe mgumu zaidi na mjeuri, mpaka siku moja nikamwagiwa maji usoni kisa ninaringa. Hiyo siku ndio niliamua kuwa sasa basi nitakwenda Monduli nirudi na nyota yangu niwakomeshe, lakini sikwenda badala yake nikaenda zangu Mlimani. Aagh sitaki kabisa binti yangu aende jeshini.Esie Maenoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-76561031914940120832011-08-06T13:29:19.798-04:002011-08-06T13:29:19.798-04:00Nyie mnaomlaumu Chemi kuwa alijipeleka mwenyewe mn...Nyie mnaomlaumu Chemi kuwa alijipeleka mwenyewe mnasahau kuwa huyo afande alitengeneza mazingira ya kujiaminisha kwake kabla hajaamua kumtenda. Na ndivyo ilivyo hata watoto wetu majumbani wako hatarini kubakwa na watu wanaowatrust na sio strangers.

Tena umenikumbusha kisa changu, mimi huyo afande alikuwa rafiki ya kaka yangu, na akisoma hapa atajijua manina zake. Kipindi hicho mwaka 1989 nilipangiwa kwenda kambi ya Mgambo Tanga, basi kaka yangu akasema huko ni mbali na pagumu sana utateseka na haitakuwa rahisi kukuona. Alinionea huruma kutokana na matatizo yangu ya kiafya tangu utotoni. Basi akanikokota asubuhi moja hao mpaka makao makuu ya jkt pale Mlalakuwa, akamtafuta huyo rafiki yake akampata lakini hakutusaidia lolote ikabidi niende tu huko Mgambo karibu na Kabuku.

Huyo afande alikuwa Kapteni kipindi hicho, basi akaja kikazi huko Mgambo, nikasikia ninaitwa officers mess, nikaenda, akanambia nina mzigo wako kutoka kwa kaka yako twende ukachukue na kwa kuwa ni rafiki ya kaka yangu wala sikumtilia mashaka. Tutakota hapo mess kwenda rest house na ni mbali unapita mashamba na vichaka ingawa ni ndani ya kambi. Njiani si jamaa akanigeuzia kibao, akaanza kuniongoza na kunambia maneno ya kipuuzi. Nikasema mungu niokoe tuko wawili tu si atanibaka huy? Basi bahati akatokea kuruta kama mimi nikaona ndio hapa hapa nikamwambia mie narudi zangu kombania huo mzigo nitakuja uchukua kesho. Sikurudi na wala sikumuona tena nahisi kesho yake ndio aliondoka.

Sasa huyo fedhuli baradhuli aliponikosa Mgambo JKT akataka kunibaka Mlimani kwenye chumba chake. Yaani dunia ni ya ajabu hii wakati mimi naanza Mlimani mwaka wa kwanza na yeye akaja kuanza kusoma degree yake ya kwanza vile vile. Sasa kuna wakati tukawa tunashea darasa anakuja kusoma kozi kwenye department yetu. Tunaazimana vitabu, madesa (hii nayo ina kisa chake cha wanaume wa Mlimani kutumia madesa kutaka kulala na wasichana). Basi siku moja akaazima docs zangum kila nikimwambia nirudishie anatoa jibu la ntakupa kesho kesho. Sasa siku hiyo akasema nimeyasahau chumbani kwangu tukitoka darasani twende nikakupe. Tukaenda, mpaka chumbani kwake, jamaa akataka kufunga mlango anibake. Uzuri wakati tunaenda mie nikapitia floor nyingine jengo hilo hilo nikamwambia boyfriend wangu wakati huo (mume wangu sasa hivi) kuwa nakwenda chumba cha fulani kuchukua docs zangu nikitoka huko ninakuja huku. Basi jamaa akaanza tena ujinga wake loo nikamwambia ukirogwa kufunga mlango tu nitapiga kelele watu wajae! Ikabidi aniachie niende zangu.Esie Maenoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-66362311333930027532011-08-06T12:25:21.174-04:002011-08-06T12:25:21.174-04:00Mmmmmhhhhhhhh kisa chako kimenichekesha kwa kweli....Mmmmmhhhhhhhh kisa chako kimenichekesha kwa kweli.Lakini wewe kweli ulikuwa mgumu sana pamoja na ukame wote wa jeshini muda mrefu ukawa ngangari kiasi hicho CHem? Angalau unemuonjesha tu jamaa basi yaishe,hahahahahaaaaa

Mmmmh funzo kubwa sana kwa akina dada jamani kwani mnanyanyaswa sana mahali pengi.nanyi mnajitia udhaifu hata wakati mna ujasiri wote.Fumbukeni jamani mtawapa wangapi kama hali ndiyo hiyo?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-37359500603612065582011-08-05T11:58:41.282-04:002011-08-05T11:58:41.282-04:00Tatizo la wasichana na sasa wavulana kunnyanyaswa ...Tatizo la wasichana na sasa wavulana kunnyanyaswa kijinsia nikutokubali hali halisi na kutaka wasivyoviweza Nimeshuhudia ayo nikiwa JKT 1977 kuna wasichana waliokuwa wakakamavu na ambao walijrahisi Hali ni hiyo pia vyuoni sasa Cha maana ni kugangamala tu gumegume. ndoano uliokula illiwaponza wengi wakiwa naive au kwa kutaka PoleAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-91494385879147810692011-08-05T11:28:23.525-04:002011-08-05T11:28:23.525-04:00dada Chem, tukirudi nyuma dada ni kwamba na wewe i...dada Chem, tukirudi nyuma dada ni kwamba na wewe ilibweteka sana kusema ukweli.Ulikuwa unajua hakika jinsi maafande hao wanavyokula mbuzi pale jeshini,halafu wewe mtu anakukaribisha hadi chumbani unaenda,unapewa soda na biskuti unakula kwa kwenda mbele,hahahahaaa ulidhani wewe ni mwanaume mwenye maziwa tu au?Lazima pale ungejua kuna kulipa dada?

Kwanza zile dalili za mwanzo ulizoelezea kuwa jamaa alianza kukutomasatosamasa zilitosha kabisa kukuondoa maeneo yale, lakini ukazidi kugiribiwa kuendelea na soda na biskuti dada,bila kujijua na kujibaini uko mikononi mwa kinywa cha simba ukakaa hapo zaidi?mmmmhhhhhh hapo sijui ulikuwa unagoja nini dada Chem?

Dada Chem, tangu lini mbuzi ajitupe mikononi mwa simba halafu atoke salama bila majeruhi.La sivyo iwe huyo simba katoka kula kashiba hapo atakusitiri bila hiana.

Lakini tu nisema kisa chako kimeleta changamoto nzuri hapa ili watu wafumbuke macho kwa mengi yanayowatokea wadada mahali pengi hasa maofisini, vyuoni, mashuleni na sehemu yoyote ya kazi.Mimi mwenyewe nimeshuhudia manyanyaso ya wadada sehemu nyingi nilizofanya kazi, na vyuoni utakuta kuna wadada wasiojiweza kimasomo na ni wazuri basi Maprofesa wanachukua loophole hizo kuwatandika na mihogo yao halafu wanawaongezea vialama kwenye mitihani.

Hata wanafunzi kwa wanafunzi ni hivyohivyo wadada wanaopenda kudesa wanaliwa kishenzi kwa kuandikiwa materm paper. Kwa hiyo changamoto hii umeleta hapa kuwamulika kina dada ili waweze kujichunga na kujithamini zaidi kuliko kuuza utu wao kwa vitu kama hivyo.
Mwisho dada Chem,ulikuwa ngangali sana ukamshinda jamaa ndani ya chumba,licha ya kuwa hadi chupi ilivuliwa tena ilichanwa,na jamaa likuwa na mbinu za kijeshi zote.Mmmmhh hapo ilikuwa noma,inaelekea lijamaa lilikojoa mapema kutokana na kuhemka muda mrefu likisaka namna ya kukutrape. Na lilipokupanua miguu likawa tayari sasa halina nguvu maana mhogo ukiishatema basi gemu kwisha,hahahahaaaaa pole sana dada yangu.Nimekuaminia!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-36199435613430552132011-08-05T10:40:03.106-04:002011-08-05T10:40:03.106-04:00Yaani nimesoma maneno ya watu hapa mpaka nimelia m...Yaani nimesoma maneno ya watu hapa mpaka nimelia machozi. Mimi nilishuhudia dada zangu wakinyanyaswa na maafande lakini nilishindwa kusema kitu kwa kuhofu Extra Drill. Naona haya, lakini ndo woga niliyokuwa nayo wakati ule. Kwa waliopita JKT wanajua kuna maneno ya Kuruta haina maana! You are nothing hivyo they can do anything to you! Umwambie matron, umwambie afande hawatakutetea hata kidogo! Afande mwenye anamwogopa ule afande juu yake!

Kama JKT itarudishwa basi kuwe na sehemu ambao vijana wataweza kupeleka malalamiko yao bila hofu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-30311979177778948222011-08-05T10:09:31.125-04:002011-08-05T10:09:31.125-04:00Mdau wa 1:52PM, kijiji cha Mbola naikumbuka. Unad...Mdau wa 1:52PM, kijiji cha Mbola naikumbuka. Unadhani ni hao to waliokuwa wanakwenda huko! Duh, wengine walikuwa wanafanya porini! Yule accountant wa kikosi alikuwa na mchezo huo wa kuwafanya wasichana kwenye kilekichaka nyuma ya Officer's Mess!

Halafu mimi nilisulubiwa vibaya baada ya kumsema dada fulani aliyekuwa antembea na yule Deputy CO Mzanzibari! Mrefuuu, unamkumbuka? Nililamika kwa sababu tulikuwa tunapewa miraba yake tulime wakati yule binti anapelelekwa kushugulikwa na afande. Afanda kusikia hivyo wacha anipe adhabu ya kulima miraba kama kumi pekee yangu! Nilishinda shambani siku nzima ya jumapili peke yangu! Na kama unakumbuka miraba ya Masange ilikuwa mirefu kweli!

Ningenyamaza na kujidai sikuona kitu nisingepewa adhabu! Huyo afande aliniita na kuniuliza kama ni kweli nililamika kuhusu huyo binti! Wala sikukataa nilimwambia NDIYO! Yaani kwa mdomo nilikuwa out of place maana nilikuwa nawasema watu!Chemi Che-Mpondahttps://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-67462351870673024722011-08-05T08:41:24.095-04:002011-08-05T08:41:24.095-04:00Mmh pole, inauma wewe acha tu watu hawajui inavoku...Mmh pole, inauma wewe acha tu watu hawajui inavokua wanazani ni masiharaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-37272558220976152312011-08-05T04:43:48.467-04:002011-08-05T04:43:48.467-04:00Yani we dada hujijui jinsi ulivyo shupavu. Bahati ...Yani we dada hujijui jinsi ulivyo shupavu. Bahati mbaya umezaliwa Tanzania nchi yenye upuuzi kuanzia level ya rais mpaka mjumbe wa nyumba kumi. Hafadhali sikuenda huko JKT maana hasira zangu hizi mbona wanajeshi wangeniua. Anayetaka kurudisha JKT ni mpuuzi tu maana hii nchi inamatatizo ya kutosha na wala haiitaji matatizo mapya muda huu. Big up dada. Heshima tele kwako kwa kuwa muwazi.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-27849378299690534382011-08-05T03:39:28.068-04:002011-08-05T03:39:28.068-04:00Pole sana dada lakini Soma comment(s) zangu hapaPole sana dada lakini Soma comment(s) zangu hapaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-63589563048616569722011-08-05T02:29:28.707-04:002011-08-05T02:29:28.707-04:00Chemi, POLE SANA/HONGERA SANA.
Hakika, habari yako...Chemi, POLE SANA/HONGERA SANA.
Hakika, habari yako inagusa moyo wa mtu yeyote yule mwenye imani na mwenye kumwogopa Mungu.
Hapa sasa, kwa faida ya wengine wa sasa na wajao, tuangalie pande zote mbili, kwako na kwa Kapteni.

KWAKO:-
* Japo ulikuwa na uhusiano wa karibu na wa heshima na Kapteni kama kaka, ulikosea kukubali kualikwa chumbani kwake.

* Hilo la kula biskuti na kunywa juice, sijaliona kama tatizo sana, kwa sbb kwa muda mrefu mlikuwa na mazoea ya kaka na dada, na hata vyakula huenda alikuwa anakupatia kwa kukuhurumia unapika na mara nyingine unakosa.

Kwa hiyo wakina dada wajifunze kutokana na makosa.

KWA KAPTENI:
* Amekulipa ubaya kwa wema uliokuwa unamtendea.
* Alidhani labda unampenda kimahaba, ila kwa kawaida mwanamke huwa sio rahisi kumtongoza mwanaume moja kwa moja. Hivyo alivyokualika ukakubali kwenda CHUMBANI KWAKE, alijua tayari umekubali kiaina, hisia zake na kila kitu chake kikawa kimeamka.

Mwanaume rijali, akishaamka ki hivyo, unapomkatalia anakuwa kama kichaa. Laiti kama angekuwa mstaarabu, akagundua kuwa hukwenda kwake ki hivyo, angeuambia MOYO WAKE utulie, atulie, akuache. Lakini huenda alikuwa pia hajapata huduma kama hizo kwa muda mrefu!! Ulitegemea nini natayari upo ndani???

Wanaume, muwe na ufikirio kwa wenzenu. Hata Mungu hapendi mambo ya nguvu na ukatili. Ngono za kupita (Hit and run) zinatesa maisha YOTE kwa mtendewa. Mwisho wa yote mnapata kitu gani???(Kwa wanaume wenye tabia kama hizi). Tendo la ndoa linataka maelewano. Vinginevyo unakuwa kama umekwenda chooni kujisaidia!!!!!

Mhusika akisoma makala hizi, inafaa amwombe Mungu msamaha, na amwombe Chemi hata kupitia mtandao huu. Na kama atakuwa na toba ya kweli, KUTOKA MOYONI, Mungu atamsamehe. Kama hana, hukumu ya Mungu inamngojea.

Atakayependa, asome Mathayo 7:12. Kanuni hii ya Biblia, kama wote tukiitumia maishani, hakutakuwa na ubakaji KAMWE.Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/00418010518947727248noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-33831795329090609882011-08-04T16:52:51.807-04:002011-08-04T16:52:51.807-04:00Dada Chem,Pole sana!! yaani nimesoma kisa chako hu...Dada Chem,Pole sana!! yaani nimesoma kisa chako huku nikicheka lakini moyoni nikisikitika jinsi ulivyokuwa unatendewa.

Mimi ni mwanaume na mimi nilikuwa Jeshini Masange tena naamini tulikuwa hapo wakati mmoja huo.Kuna wakati dada wawili fulani hivi walikuwa wanatoroshwa na afande mmoja anawapeleka kijiji cha Mbola kunywa pombe.Nadhani unaweza kukumbuka kijiji cha Mbola kipo kama km 15 magharibi ya Masange JKT unakatiza kale kamsitu ndo unafika hapo.Yaani wale wadada walimaliza Jeshi bila shuruba zozote kwa sababu walikuwa wanagawa uroda kwa huyo jamaa na rafikiye hadi mwaka ukaisha wanapeta kabisaaaaa?

Kama kuna huo mtaji tena kwa vijana wa kidato cha sita kwa kweli nawahurumia mno.Bahati nzuri wanangu ninao ughaibuni tena mwingine ndo angeingia jeshini mwaka huu kma angekuwa bongo.

Kina dada unyanyasaji kijinsia uko kila mahali,hasa maofisini huko bongo ndo usiseme.Na kwa sasa hivi watoto wa kike wananyanyasika sana wanaomaliza vyuo wanapotafuta kazi,yaani suipime rushwa ya kwanza ni ngono kwe kwenda mbele. Wakipewa kazi basi ni difu ya boss kila wakati wengine wakitoka lazima binti abaki kumhudumia mzee kabla hajarudi kwa mke wake.

Jinamizi hili inabidi kina dada mjiweke kidete kuonyesha kuwa mnaweza maisha bila misaada ya hao waheshimiwa.Lakini kitu njaa kibaya sana jamani,maana kinachowafanya mabinti wengi waingie mitego hiyo ni kukosa namna ya kujikimu kimaisha.

Asante Chem, Tuombe Mungu awanusuru mabinti zetu jamani maana kama mwingine alivyosema ukimwi utawamaliza kizazi kijacho.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-47474312911195392712011-08-04T16:07:06.031-04:002011-08-04T16:07:06.031-04:00unayosema ni ukweli mtupu hata me nimepitia jkt ni...unayosema ni ukweli mtupu hata me nimepitia jkt ni op jiajiri 833kj Arusha na sasa nimeajiriwa jeshini ebwana sio siri dada zetu wametombwa sn hasa wale wanaopendekezwa kufanya usafi ofisazi mess ndio balaa maana huwa ndio wazuri wanaangalia wenye mvuto kwa hili sio siri na mambo mengi huwa yanatokea ya kuzalilishana ila kwa huku jeshini yote haya ni sawa hakika nimeapa hakuna dada yangu yoyote atakaeenda jeshini nimeyaona mwenyewe na pia nawaonea huruma sn hao form six wanaokuja wakusanye nguvu maana wanawasubiri kwa hamu wakufunzi kuna msemo wetu huo jeshini huwa binti hatemi dawa na hivi wadogo wadogo we acha tuAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-73212723230743940692011-08-04T16:04:35.115-04:002011-08-04T16:04:35.115-04:00Hebu checki huyo Afande anayetembea nyuma ya huyo ...Hebu checki huyo Afande anayetembea nyuma ya huyo mama anavyomtazama kwa macho ya kumtamani! Hata haya hana! Kweli wanajeshi ni sex maniacs! UKIMWI umepita huko JKT na JWTZ pia!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-13070157570225147522011-08-04T14:20:59.513-04:002011-08-04T14:20:59.513-04:00Hivi ni kwa nini wanajeshi wanakuwa na nyege kulik...Hivi ni kwa nini wanajeshi wanakuwa na nyege kuliko watu wengine? Yaani vitombi sana hawatosheki hata wakiwa na wake wazuri kiasi! Pole sana Da ChemiAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-69024289111017618032011-08-04T14:16:12.148-04:002011-08-04T14:16:12.148-04:00Kuna kaka amenichekesha hapo juu!! Duh! kweli kuna...Kuna kaka amenichekesha hapo juu!! Duh! kweli kuna watu wana hasira mbaya hadi wakamfira afande wa watu! Sasa huyo afande akijiona humu si atajisikia vibaya sanaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-31722423667184310352011-08-04T07:05:44.072-04:002011-08-04T07:05:44.072-04:00Mfungulie mashtaka Umoja wa mataifa wa haki za Bin...Mfungulie mashtaka Umoja wa mataifa wa haki za Binadamu.
Alafu mi najiuliza kwa nini kuna mijitu michache ina roho mbaya sanaaaaa kule Tz,tuifanyaje?Wizi ,kunyanyasa wanyonge n.kAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-73098121304534920322011-08-03T17:08:34.548-04:002011-08-03T17:08:34.548-04:00Pole sana Da Chemi kwa mkasa wako! Nayajua matukio...Pole sana Da Chemi kwa mkasa wako! Nayajua matukio ya jeshini yalivyo na hasa kama u service.
Kuna afande pale Makutupola alikuwa anaitwa Zacharia nadhani, aliwahi kumnyanyasa sana dadaangu lakini tulipoelezwa na kumfahamu huyo afande tukamwekea mtego na kwa vile alikuwa anapenda pombe akaingia kiulaini..
unajua kilichotokea? Kwa hasira nilizokuwa nazo kwa yule afande mie na rafiki zangu watatu tukamfira!! Nilikuwa sijawahi kuwaza hata siku moja kama nitakuja kufanya hicho kitu! tena kwa mwanaume mwenzangu!

Basi jamaa alitushtukia lakini alikuwa nguvu hana na akashindwa cha kufanya halafu tukamwekea kijibarua mfukoni mwake kuwa aache kunyanyasa watoto wa kike kambini akirudia tutazisambaza picha zake (tulijifanya tumempiga picha pia) Haikupita muda nikasikia yule afande kahama ile kambiAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-72230419737263912972011-08-03T12:46:09.027-04:002011-08-03T12:46:09.027-04:00Duuuh kisa kinatia hasira hiki, pole sana Da Chemi...Duuuh kisa kinatia hasira hiki, pole sana Da Chemi na pia nikupe hongera kwa ustahimilivu wa kushinda huo unyama maana haikua kazi ndogo ati.Pia kama alivyosema mdau mwingine kama kuna mpango wa kurudisha ile system ya wahitimu kidato cha 6 kuingia JKT basi vema serikali itambue uwepo wa unyama huu na kuweka njia za kudhibiti.Hali ya sasa si nzuri kama kutakua na kutakana kimapenzi kinguvu na haya magonjwa yaliyo zagaa taifa litakua pabaya.Ukiachia mbali jeshini nina imani matumizi ya vyeo kuwataka mabinti yapo sehemu nyingi za kazi sasa ile ya Tanzania bila ukimwi naona itakua ngumu sana.

Mtazamo wangu Wanawake wakielimishwa vizuri juu ya haki zao,kutoa taarifa ya unyanyasaji bila kujali nani kafanya au cheo (japo hii ngumu sana kwa Tz yetu) na kujengewa mazingira ya ujasiri kwa maana yakupewa msaada wanapokumbana na dhahma kama hizi basi Tanzania bila ukimwi itawezekana vinginevyo tunapoteza muda na hio kauli mbiu Tanzania bila UkimwiRik Kilasihttps://www.blogger.com/profile/08513657756984189999noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-16211935036487549492011-08-03T11:44:44.102-04:002011-08-03T11:44:44.102-04:00Hongera kwa kwa kuonyesha ujasiri,na kusaidia jami...Hongera kwa kwa kuonyesha ujasiri,na kusaidia jamii,mimi naitwa LUGEYE ADOLPH MWANASELE,nilikuwa op miaka 40,ni hivi karibuni tu,mwaka 2002-2008,mimi pia ni mhanga wa tatizo kama lako ila mimi sikutaka kubakwa kama wewe ila nilifukuzwa jeshini pale katika kambi ya STONE QUARRY KUNDUCHI JKT kwa sababu kama ulizozitaja wewe kuwa Afande kutumia cheo chake kunyanyasa watu hasa sie ambao hatutoki familia za maafande,yule afande alikuwa anaitwa afande BAZICHA alikuwa na nyota 2 tu,akishirikiana na kibaraka wake afande MAHELA yeye alikuwa ni staff sajenti,kitu alichoamua kunifanyia mazingira ya kukatishiwa mkataba wangu ni baada ya mimi kua nakataa sera zake za unyonyaji hasa pale alipokuwa anataka sisi service man tukamfulie nguo zake mpaka mashuka yake,na wakati huo utaratibu haupo jeshini inatakiwa anitume kazi za kijeshi hapo kambinilakini sao kwenda nyumbani kwake kumfulia nguo,sasa mimi nilipokuwa nawaeleza vijana wenzangu kuwa mnaonewa yeye akaamua kuweka chuki na mimi akaniundia zengwe kwa CO wakaamua kunisitshia mkataba wangu mm peke yangu,na wakati tulikuwa tumebakisha miezi 2 tu tuajiriwe kweli wenzangu waliajiriwa kasoro mimi tu,ila namshukuru Mungu baada ya kurudi nyumbani nikapata mfadhili wa kunilipia ada ya chuo kwa sasa nasomea ACCOUNTANCY CBE, kitu ambacho napenda kuwashauri Serikali yangu sikivu ni kwamba kuanzia mwaka kesho nimesikia wanafunzi wanaomaliza form six wanaenda jeshini kwa mujibu wa sheria,serikali iwe makini sana na hao watoto wa watu dhidiya maafande wenye tamaa ya ngono,na tukizingatia 75%ya maafande ni waathirika wa HIV,naogopa badala ya kupata tulichokitarajia vijana wakakamavu tukajikuta tunatengeneza Taifa la waathirika wa ukimwi na kama tunavyojua watoto wa siku hizi wanaaanza hayo mambo ya ngono mapema!tuwe makini sana hata ukiangalia zamani waliokuwa wanamaliza form six walikua kidogo ni vijana wakubwa wameshakomaa kiakili lakini watoto wa siku hizi wanamaliza form six bado vitoto kabisa naomba serikali iandae mazingira mazuri kwa hao vijana wanaotegemewa kuingia jeshini mwaka kesho.Lugeyenoreply@blogger.com