tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post4532130836115446767..comments2024-03-22T03:02:53.585-04:00Comments on Swahili Time: Kuna Nini Igunga? Chadema Wakamata Mkuu wa Wilaya Igunga!Chemi Che-Mpondahttp://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-65187303567021753582011-09-20T11:33:06.227-04:002011-09-20T11:33:06.227-04:00Tukiwa wenye utashi wa kutambua na ufukiri, ni vem...Tukiwa wenye utashi wa kutambua na ufukiri, ni vema tuache kufikiri sana kiitikadi bali kihalisia kama watanzania wa kweli, kuwa watu leo hii hawawezi kuamini ya kuwa eti gadafi amegeukwa na walibya, hata kama kuna mkono wa NATO lakini walibya wengi wako against yeye kwani kama wote wangemuunga mkono NATO isingaliweza kitu, je ya Igunga tunajifunza nini? Najua wengine watasema eti waliomshika mkuu wa wilaya si wanaigunga lakini je wanaigunga wangesema hapa wale ambao tuanawaita wageni wangaliweza? mbona hili alikutokea kipindi cha uchaguzi 2010? Si la kudharau hata kidogo, watanzania wameanza kutubutu katika nyanja mbalimbali hivyo wenye madaraka/mamlaka yabidi waangalie mwenendo wao kwani lolote linaweza kutokea na leo hii ni mkuu wa wilaya lakini kesho ni nani? Je nani aliyejuwa au kufikiri ya kuwa D-Jairo angelipuliwa kada wa ccm? si ilizoeleka tu ya kuwa wale wanaoitwa wapinzani ndio kazi yao? hili nalo si la kudharau hata kidogo, Igunga wamethubutu naamini watanzania wanaweza kuthubutu. tufikiri na kuchukua hatua kwani kesho ya weza kuwa wewe kukamatwa na wananchi.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-21589331073338215302011-09-17T17:17:09.276-04:002011-09-17T17:17:09.276-04:00Kampeini ya huku kwetu inahitaji urafiki na upendo...Kampeini ya huku kwetu inahitaji urafiki na upendo na watu na wala siyo matusi, vurugu na kudhalilishana! Hivi nyie CDM hamjiulizi kwa nini sisi hatuwatukani, hatuwapigi? Mnadhani tunawaogopa siyo? Tungetaka kuwatandika mngeishakimbia, maana mko wachache sana ukilinganisha na sisi!<br /><br />Sasa tulivyo wazoefu wa mikakati ya kampeni tunaitumia picha ya DC akisulubiwa na Mzee Kasulumbai, Mhe. Suzane Kiwanga, yule Mama wa Kikenya na etc ili kuwamaliza kabisa.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-11831688538305012982011-09-17T10:45:14.871-04:002011-09-17T10:45:14.871-04:00Hii haikuwa mkutano wa serikali huo tumeambiwa wal...Hii haikuwa mkutano wa serikali huo tumeambiwa walikuwemo wazee maarufu, wajumbe wa nyumba zenu kumi, hiyo si serikali. Lakini na mama mwenyewe si alikiri kufanya makusa kwa kudai kuwa hakujua kuwa pale ulikuwapo mkutano wa chadema maana hakuwa na ratiba zilikuwa halmashauri. Sasa hapa unataka kutetea nini ndugu yako kifungu si kupi sema sijui wewe ni mtunga sheria, tueleze kama jukumu la kukamata waalifu kama huyu mkuu wa wilaya ni la polisi peke yao.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-35494355916268166432011-09-17T10:42:45.634-04:002011-09-17T10:42:45.634-04:00Ndani yetu hapa kuna watu ni civil servant na weng...Ndani yetu hapa kuna watu ni civil servant na wengine waajiriwa wa taasisi na mashirika na wanatumia muda mwingi kusaidia kwenye vyama vyao na wengine wamechukua hadi likizo mwezi huu na wako Igunga kwa kujificha ingawa wanaonekana. Hiyo unaitafsiri vipi kwa ulinganisho na DC ambaye ni mwanachama wa ccm na pia anao wajibu kuona ushindi wa chama chake unapatikana. Kosa lipo wapi hapo? Kama ni kosa wote ni wakosa kwa viwango tofauti tu.Anonymousnoreply@blogger.com