tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post474794216677500494..comments2024-03-22T03:02:53.585-04:00Comments on Swahili Time: Maoni ya Mdau Kuhusu Mjengwa Blog na Dawa za BabuChemi Che-Mpondahttp://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comBlogger17125tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-7011785110869971562011-03-31T15:38:54.278-04:002011-03-31T15:38:54.278-04:00da chem hao wanaosema babu ni tapeli naomba ukipat...da chem hao wanaosema babu ni tapeli naomba ukipata mda ingia kwenye blog ya frola saloon usome huyo dada kaenda mwenyewe loliondo anaelezea safari yote na jinsi sasa kapona pum iliyokuwa inamsumbuaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-50620518955128487182011-03-29T23:32:20.829-04:002011-03-29T23:32:20.829-04:00ANAYESEMA KUWA "BABU" NI TAPELI, KAFILIS...ANAYESEMA KUWA "BABU" NI TAPELI, KAFILISIKA KIUTU, - KIIMANI,- KIHEKIMA, NA HATA HANA HESHIMA YEYE MWENYEWE - Apuuzwe.
SWALI LA KUJIULIZA NI; JE WOTE WANAOKWENDA KWA "BABU" ANAWASHINDA AKILI NA UELEWA? NASHAURI TUNAPOTOA MANENO TUYAPIME. HUYU ANAMTUKANA MZEE WA WATU, MTUMISHI WA MUNGU KAMKOSEA NINI. KAMA ANGETAKA KUWATAHADHARISHA WATU KUHUSU MATIBABU YA "BABU" BASI ANGETUMIA MANENEO YA HEKIMA. "ASHINDWE NA ALEGEE KABISA" MUNGU ATAFANYA KAZI JUU YA WATU WANAOBEZA UWEZO WAKE.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-30395915622288660602011-03-29T16:52:06.004-04:002011-03-29T16:52:06.004-04:00Ndugu zangu kule Loliondo tumesikia baadhi ya watu...Ndugu zangu kule Loliondo tumesikia baadhi ya watu kulalama
kupoteza ndugu zao na jamaa zao walioenda huko kwa ajili ya matibabu ya dawa hiyo , leo hii huku mtaani kwetu kuna mtu mmoja tunaenda kumzika dakika chache zijazo baada ya kunywa ile dawa na kufariki - hivi ni vifo ambavyo havitangazwi na hata watu hawataki kusikia habari hizi lakini ukweli ni kwamba suala la loliondo limesababisha vifo na kupoteza nguvu kazi nyingi -- ipo siku ndugu jamaa na watu wa karibu wa waliofariki kutokana na suala la babu huyo kupeleka suala hili
katika vyombo vya sheria ichukuweAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-72806724470003032762011-03-29T16:45:05.167-04:002011-03-29T16:45:05.167-04:00Hivi ndugu zangu wale wanaokwenda na Helcopter ama...Hivi ndugu zangu wale wanaokwenda na Helcopter ama Ndege pale kwa Babu Loliondo wanapitia mlango wa Fast track pale kwa Babu au wakifika wanaingia kwenye foleni kama walahoi wengine??Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-51442138469354899282011-03-29T15:24:07.140-04:002011-03-29T15:24:07.140-04:00Babu hana kipimo cha ugonjwa wa mtu.Kuna watu wana...Babu hana kipimo cha ugonjwa wa mtu.Kuna watu wanaenda na magonjwa ambayo dawa yake haitibu, na wakitoka huko hawaponi wanaanza zao.Hata mahospitalini kwani wote wanapona licha ya kuwa wanapelekwa kwa madaktari bingwa?

Hata kama ulimpeleka mgonjwa wako huko na hakupona hiyo si sample ya kama dawa inaponyesha u vipi.Kuna wengine mmetoa mfano wa madaktari wa Arusha ambao wamekana kuponya kwa dawa hiyo, mbona kuna daktari hukohuko Arusha amekiri kuwa dawa ya Babu imemponya ugonjwa ambao aligunduliwa kuwa nao akiwa Ujerumani?

Nadhani tuache mlolongo wa matusi na kebehi tuwaachie wenye shida zao wakatatuliwe na wasiyo na shida wakae wakila na kufurahi kwa sababu hawaugui.

Kam wataalamu na watafiti wamefanya tafiti zao na kukiri kuwa dawa haina madhara kwa binadamu wewe una hofu nini waache watu wanywe maji ya mti huo anajua Mungu alieyeotesha neno lake humo kama babu asemavyo wapone.

Hata Yesu hakuwaponya wote aliokutana nao huku dunianni wengine waliwakataa live sembuse kikombe cha Babu.Watu hawaelewi, babu amesema alipewa huduma hiyo na Mungu, Mungu ameotesha "neno" katika mti huo.sasa wewe unaenda kizegezege tu bila imani unategemea nini> Eti labda na huyo mgonjwa wa kansa atapona!!Tayari una wasiwasi.hata hospitalini waganga wanaanza na kuwatia moyo wagonjwa ili waiamini dawa au vodonge wanavyopewa ndiyo maana kuna counseling kwa mgonjwa mabayo inafanywa na daktari kabala ya kumpa dawa au kumtibu mgonjwa ili aamini huduma anayopewa itamsaidia.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-31292879465958781222011-03-29T13:53:58.375-04:002011-03-29T13:53:58.375-04:00Nimesikia kuna mkakati wa waganga wa kienyeji wote...Nimesikia kuna mkakati wa waganga wa kienyeji wote pamoja na wachawi waliokubaliana wote wajitokeze nchi nzima kudai kuwa wameoteshwa kutoa tiba.

Ndio maana wote wanaigiza mtindo wa kutumia kikombe wakati waganga wote walikuwa wanatoa dozi mbali mbali. Na wote wamekubaliana watoze sh. 500 tu kumuigiza mchungaji.

Lengo lao ni kuishinikiza serikali iwafungie wote wanaotoa tiba ikiwemo mchungaji kwa kuwa mchungaji ameharibu soko lao.

Kawaida waganga walikuwa wanaomba kuku, mbuzi na walikuwa wanatoza pesa nyingi lakini ili kupambana na mchungaji wameamua kutoza sh. 500Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-1758559277182629252011-03-28T16:20:58.973-04:002011-03-28T16:20:58.973-04:00NINAMUUNGA mkono kabisa yule mwandishi wa Mwananch...NINAMUUNGA mkono kabisa yule mwandishi wa Mwananchi aliyethubutu kusema kwamba ajabu ya nchi hii ni kuwa viongozi wetu ni wepesi kutuma majeshi au polisi au FFU kwenda kuzima maandamano ya wapinzani kuliko kutuma majeshi hayo kwenda kufanya jambo jema litakalopunguza matatizo ya wananchi au kuwaondolea shida au dhiki fulani.
Kinachoshangaza ni kuwa kweli viongozi wetu wamekuwa wagumu au wameshindwa kutupatia tiba ya bure-sawa; nyumba au vifaa vya ujenzi vya bei nafuu-sawa; elimu au mikopo ya elimu ya gharama nafuu-sawa; lakini hivi kweli ndio hao hao wanashindwa kutupatia 'easy access' kwa babu baada ya kuwa wao weshaenda na kunywa kikombe chao na kila siku tunaona picha zao kwenye magazeti na TV wakinywa vikombe kabla yetu bila aibu. Huu ni ubinafsi wa kupindukia, na ni aibu viongozi wa nchi kuwa na ubinafsi wa namna hii!!!
Ninaamini kwamba kama tuna serikali ambayo inashindwa kutekeleza mawazo ya mwandishi huyu, yaani, kuifanya Loliondo ikapitika kwa urahisi, vyakula, maji, vyoo na huduma zote muhimu zikapatikana bila shida basi ni vigumu kuona ni jinsi gani serikali inayoshindwa kuendeleza tena kwa faida yake na watu wake eneo dogo kama hili litaweza kuendeleza nchi yetu nzima ?
Loliondo imetufungua wengi macho. Tumeuona ubinafsi wa viongozi wetu uchiuchi. Na hakuna siri tena. Nchi hii ina viongozi wabinafsi. Wanataka kila kitu wapate wao kwanza. Na kwa muktadha huu tusahau kabisa kwamba tuna aina ya viongozi ambao wanaweza wakawatoa watu toka kwenye umaskini wakati viongozi hao wametawaliwa na umimi na ubinafsi. Tuna viongozi wa siasa na wa dini, lakini ona fedheha na vichekesho hii leo ya viongozi hao. Huku baadhi redio zao zikimponda babu wao ndio wamekuwa wakwanza kwenda kupata kikombe.
Niwaambie ahlili-kitabu kwamba mwenyezi Mungu hawezi kuwa mjinga hivyo kumpa fisadi, mwizi, mabarakala wa wanasiasa, mla mrushwa, mbinafsi karama zake. Na ndio maana kampa babu akijua fika kuwa sio mchafu kama hao wenye majoho ya sufi na vilemba vya hariri lakini ni wachafu kupindukia.

Viongozi wa serikali nao walivyokwenda na kupata dawa ndio ikawa wamemaliza kazi yao. Wakati kiungwana na kistaarabu kwa miiko ya uongozi wao wangelistahili kuwa wa mwisho kabisa baada ya wagonjwa wa kikwelikweli kwenda kutibiwa kwa urahisi na bila matatizo yanayojitokeza sasa.
Je, amiri jeshi wetu na majeshi yake wanatafsiri neno VITA kuimanisha nini? Na je, mahala panapohitaji akili, vifaa na mijiguvu ya kijeshi hivi unaweza kuwatuma wakuu wa mikoa ambao hata kama wana historia ya kuwa wanajeshi akili zao sasa hazifanyi kazi tena kijeshi na wamekuwa hana tofauti na raia wa kawaida?
Vita sio tu pande mbili zenye silaha kupambana au kuuana. Vita ni hali yoyote ile ambayo inaweza ikasababisha ugumu, dhiki, maradhi, ulemavu na hata kifo kwa wananchi. Hali kama hii ikijitokeza kama tulivyoona kwa wenzetu Wajapani na majeshi yao huwa ni sawa na hali ya kivita.
Wananchi wanaoingia Loliondo hivi leo ni sawa na wale wanaoingia Uwanja wa Taifa kutazama mpira wa miguu kwa mwaka mzima. Na mapato ambayo yanaweza kutokana na dawa ya babu kwa serikali na wananchi yanaweza kuwa mara 10 ya yale yanayopatikana toka uwanja huo wa taifa. Lakini serikali na viongozi wake kwa akili yao wameona ni bora kusaidia mabilioni mpira uendelee na hauendelei lakini serikali hiyo hiyo na viongozi wake wanaona uchungu kutoa bilioni chache ili barabara Loliondo ipitike na huduma bora na nzuri zipatikane wakati wote na kuliondolea taifa hili aibu ya kukutwa watu wake hukoNgorongoro wanakwenda kujisaidia vichakani na takataka zinatupwa ovyo kama viongozi hao hawakwenda kwenye mkutano wa mazingira huko Rio, Brazili na kwingineko duniani.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-81640750751673818622011-03-28T12:44:02.109-04:002011-03-28T12:44:02.109-04:00Nimeona hiyo dawa ya babu ikiwa na rangi mbalimbal...Nimeona hiyo dawa ya babu ikiwa na rangi mbalimbali. Je zote zina nguvu sawa?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-89617931299437171062011-03-28T12:17:21.917-04:002011-03-28T12:17:21.917-04:00Naomba kutoa ushuhuda kuwa nilimpeleka mgonjwa wan...Naomba kutoa ushuhuda kuwa nilimpeleka mgonjwa wangu mke wa rafiki yangu mpenzi kwa Babu wiki mbili zilizopita ili kupata dawa kutokana na maradhi ya Breast cancer ambayo yamekuwa yakimsumbua kwa muda mrefu. Kama sote tunavyojua hakuna dawa ya kutibu kansa, lakini baada ya kusikia habari za Babu tulijenga imani kuwa huenda akapona. Tulimpeleka huko, na baada ya kukaa siku mbili kwenye foleni alibahatika kupata dawa na kuinywa. Lakini toka anywe hiyo dawa hali yake imekuwa sio nzuri na kudhoofu siku hadi siku hadi hii leo saa nne asubuhi amefariki dunia. Ninatoa ushuhuda huu si kwa kuwakatisha tamaa watu la hasha bali ni kutaka kuweka vitu hadharani ili watu wajue kuwa pamoja na kuwa huenda dawa hiyo ikawatibu baadhi ya watu lakini watu tujue pia hakuna dawa ya kuponya kifo. Huenda kweli babu anatibu kwa imani, lakini sidhani kama wale wote wanaoenda huko hawana imani. Namalizia kwa kuzidi kuwaomba waliotibiwa na kupona kweli wajitokeze watuthibitishie kwa ushahidi wa kitabibu.Mfiwanoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-31834919864212894122011-03-28T12:05:34.644-04:002011-03-28T12:05:34.644-04:00Mtoa maada maada yako ni nzuri lakini ningependa k...Mtoa maada maada yako ni nzuri lakini ningependa kuongelea kuhusu bei Tsh.500 na $1 nafikiri kwa watu wa nchi zisizo tumia Tsh.wao watatumia $ watabadilisha pesa zao kwa $ na kama vile sisi tukienda nchi zingine hatutumii Tsh. ila tunabadilisha $au au pese yoyote ya kimataifa. Nafikiri hapo hakuna utata.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-22408840380931475992011-03-28T05:51:49.626-04:002011-03-28T05:51:49.626-04:00Yah! Mdau wa ughaibuni. It's obvious you have ...Yah! Mdau wa ughaibuni. It's obvious you have gone to school. Lakini kama wewe ni msomaji biblia, unakumbuka kile kisima ambacho watu walikuwa wanawahi kujitumbukiza ili wapone wakati wa enzi ya Mfalme wetu Yesu Kristo? Hapo utazungumzia vipi. Please the ground is open. Jackson, Kigoma Tanzania.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-34627052878095598812011-03-27T22:33:04.057-04:002011-03-27T22:33:04.057-04:00Kaibuka mwingine mbeya sasa sijui hili ni dili au ...Kaibuka mwingine mbeya sasa sijui hili ni dili au kweli.Na kwakua kila mtu anazingatia shida alizo nazo mjadala haupo bali ni kwenda kupata hio dawa.NTV ya kenya imehoji baadhi ya madaktari Arusha wamesema hawaamini kama inaponya kwani kuna wagonjwa wamerudi wodini hali zao zikiwa mbaya baada ya kuacha kutumia dawa walizo pewa.

Sasa ukweli sijui uko wapi na kwanini wengine wapone wengine wasipone? ndio kusema hio dawa inachagua watu wa kupona? Watu wana hoji sijui huyu mzee anatumia mgongo wa dini je na huyo kijana wa miaka 17 wa mbeya je? ila ukweli naamini utakuja julikana siku 1.waliopona hongera zao na ambao hawajapona wazidi kuwa na imani hakuna mtu anapenda awe na tatizo ila likikufika kwenda kwahuyo babu mtu hujiulizi mara mbili.Rik Kilasihttps://www.blogger.com/profile/08513657756984189999noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-53374703433507518312011-03-27T19:37:35.046-04:002011-03-27T19:37:35.046-04:00wamesitisha huduma kwa babu loliondo angalia tbc n...wamesitisha huduma kwa babu loliondo angalia tbc news kwenye subi wavutiAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-90790174883895894432011-03-27T13:10:42.473-04:002011-03-27T13:10:42.473-04:00Watanzania sisi yaani sijui, sisi tunapenda maneno...Watanzania sisi yaani sijui, sisi tunapenda maneno marefu, theory ndefuu, lakini anything practical hatutaki kusikia: hayo maoni nimeshindwa hata kuyasoma yote jinsi yalivyo mengi...

Kwa nini tusiwapime wanaoenda halafu tuwapime wakishakunywa majibu yajionyeshe practically yenyewe?

Mara dawa haifai kwa sababu bei ya dawa mara dola 1 na mara miatano kwa wenyeji, bei inahusika nini hapo... wewe wapime je virusi vya ukimwi havionekani? there are only two possible results either negative au positive no discussion sijui shilingi ngapi bei hiyo haina tija hata ingekuwa milioni issue ni kuwa je dawa inaponesha?

Wino upo lakini wabongo sharti watumie mate.

Kawapimeni kabla hawajaenda, wakirudi wapimeni tena FULL STOP.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-31229885405450518032011-03-27T12:49:34.382-04:002011-03-27T12:49:34.382-04:00Read the following collection of scientific journa...Read the following collection of scientific journal articles on the said tree with respect to this quotation from Rose Shija (NPO-EDM,WHO) in regard to the first article below: "Please find herewith attached some information on the plant being used in Loliondo. Plants from this genus have been used traditionally in Africa and other parts of the world to treat a variety of disease conditions.

The genus has also already been studied and various chemicals extracted and tested for their medicinal properties. The plant in Tanzania is Carissa edulis. It is
also found in Kenya and KEMRI last year did a study and isolated some compounds which have antiviral properties.

NIMRI and the Traditional Medicine Institute are now working on it too. I hope that more African research institutions will be supported to do further studies especially on the identified compounds to make 'medicines'."Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-53685283333131622592011-03-27T12:25:34.006-04:002011-03-27T12:25:34.006-04:00Sisi tulio Wakristo tunaamini katika kuboresha mai...Sisi tulio Wakristo tunaamini katika kuboresha maisha ya wanadamu na kuifanya dunia kuwa mahali bora na pa amani zaidi. Taasisi za kikristo zimekuwa mstari wa mbele kujenga mahospitali, mashule na kila huduma za jamii ili kusaidia wanadamu. Pia Kanisa linahimiza maombi ya kila namna yote kwa lengo la kuleta uzima kwa mwanadamu. Focus yetu kama wa kristo ni kuleta ahueni kwa wanadamu walio katika mateso ya aina mbalimbali.

Mchungaji kwa nia njema ametumiwa na Mungu kusaidia walio kata tamaa na ushahili upo. Mchungaji hajasema anazuia kifo. Ni dhahiri watu wataendelea kufa kwani kifo kipo tu. Lakini ukifaulu kuleta uponyaji wa asilimia 70 ya watu wenye magonjwa yasiyo na tiba hayo ni mafanikio makubwa.

Hata Yesu mwenyewe hakuponya watu wote duniani alipokuwa hapa duniani miaka 2000 iliyopita.

Watu wanaugua kwa sababu mbalimbali. Sasa Mtu akipona ukimwi akaendelea na ngono unafikiri itakuwaje?

Hospitali zote duniani zimeshindwa kuzuia watu wasife hata zile hospitali bora zaidi ulaya na Marekani.

Watu wengi wanaompinga Mchungaji wanaoenekana kutoka dini za wenzetu wasio wakristo.

Lakini watu waliokwenda kunywa dawa wengi zaidi ni wa dini zingine wala siyo wakristo.

You need to give the Retired pastor some credit.

Hata kama baadhi yao hawatapona. Mchungaji ameshajitahidi kuwasaidia. Na ikumbukwe Aliwafanya waugue siyo mchungaji. mchungaji yuko upande wao kuwasaidia wao wapone.

Give the Pastor some Credit.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-21718101101828861032011-03-27T11:26:20.008-04:002011-03-27T11:26:20.008-04:00Maggid na wanabidii wote habarini za jumapil!!
Ka...Maggid na wanabidii wote habarini za jumapil!!
Kama nilivyokwisha kusema juu ya hili la babu, Binadamu tumefikia mahali tunafikiri kuwa Mungu anfikiria namana tunavyo fikiria. Mwaswali aliyouliza Maggid siyo retorical/ akunogesha story bali ni ya msingi ya kujiuliza. Mungu hakutupa utashi kwa bahati mbaya, ni kwa malengo mahsusi kama kuchunguza/research ili tupange njia ya kupitia/venture route.
Tumechoka sasa kufikiria kupitia njia halisi ambazo ni ngumu, tunaamua kuwa wavivu na kuchagua njia rahisi ya simply believe.
Naamini kuwa nafikiria na napitia njia sahihi kwani binafsi natamani iwe tiba na kama alivyosema paroko wa Dar basi itakuwa endelevu.
Pia naomba Mungu yasiwe kama yale ya Kibwetere kule Uganda.Anonymousnoreply@blogger.com