tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post4986054110509149448..comments2024-02-28T00:56:30.463-05:00Comments on Swahili Time: Bibi Titi Alivyotutembelea Mwaka 1965Chemi Che-Mpondahttp://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comBlogger13125tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-61149038270338595272011-03-01T07:19:50.535-05:002011-03-01T07:19:50.535-05:00DU! picha nzuri hii . wakati Baba yako anatangaza ...DU! picha nzuri hii . wakati Baba yako anatangaza VOA na kusoma ,baba yangu alikuwa bado anacheza kombelela temeke. NICE MEMORYmgeninoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-42785533403209608332010-12-25T12:58:29.293-05:002010-12-25T12:58:29.293-05:00cha maana hapa at least bibi titi kapata mtaa weny...cha maana hapa at least bibi titi kapata mtaa wenye jina lake dsm!!! alipigania uhuru wetu lakini baadae nyerere alimsingizia kutaka kupindua sirikali yake, ukitazama nyerere alikuwa waziri mkuu, walivunja katiba ya kidemokrasi ili awe rais bila upinzani kama alivyofanya mugabe, kaunda alitumia formula hiyo pia na kumtia ndani simon kapwepwe, obote alijaribu matokeo yake akatokea jamaa anaeitwa idd amin dada ,the rest is history, jamani viongozi wengine walikuwa wajinga, kenyatta, moi wote wamepitia njia hiyo, AFRIKA NAKUPENDA SANA!!!!zitto kiaratunoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-51221072612516394312010-02-01T14:51:45.461-05:002010-02-01T14:51:45.461-05:00Mimi nilisikia alisema, "We want fire in Mago...Mimi nilisikia alisema, "We want fire in Magomeni...Fire in Small bottles." Ni kweli ukitcheki vizuri ni moto ndani ya vichupa.

Na ndo baada ya hapo Mwalimu alisema kuwa watumie Kiswahili Bungeni.Chemi Che-Mpondahttps://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-87795001610609928222010-02-01T14:09:28.985-05:002010-02-01T14:09:28.985-05:00Miaka hiyo alipokuwa m-Bunge wa Dres Salaam, Mama ...Miaka hiyo alipokuwa m-Bunge wa Dres Salaam, Mama Titi, mbali na umahiri wa lugha ya Kiingereza, hakusiota kuipiganuia magomeni wawekewe taa mabarabarani:

Alisimama akadai, "We want fire in the bottles in Magomeni..."

Wa-Bunge wenzxake wakacheka ikiwa ni pamoja na Waziri Mkuu Nyerere, ambaye baadaye alisimama na kuzidi kutetea hoja hiyo kwamba ni lazima Magomeni wawekewe taa za barabarani!

Kwa Mama Titi electric bulbs ni moto ndani ya chupa. What a metaphor....si umeme unawaka ndani ya chupa (bulbs)!

BAPAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-32889417179661988512010-01-29T06:41:49.345-05:002010-01-29T06:41:49.345-05:00You have your beautiful face from your mother!You have your beautiful face from your mother!Baba Sangaranoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-29827217209864352172010-01-28T17:11:45.391-05:002010-01-28T17:11:45.391-05:00Wewe Anony wa 2:58pm, I never thought of that! LOL...Wewe Anony wa 2:58pm, I never thought of that! LOL!

Anyway, maskini ya Mungu nilikutana na Bibi Titi kwenye mwaka 1990 nikiwa Daily News. Aliniomba sana nitafute hizo picha na nimpatie copy, lakini bahati mbaya sikuziona. Ndo juzi kwenye search ya picha za marehemu Rev. nikaona hii.Chemi Che-Mpondahttps://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-5409670456687192042010-01-28T15:45:20.785-05:002010-01-28T15:45:20.785-05:00Dah! Bibi TITI alivyokubeba akakuambukiza mwili! m...Dah! Bibi TITI alivyokubeba akakuambukiza mwili! maana naona wazazi wote englishi figa!
(samahani lakini najua tuko kwenye msiba lakini kutabasamu kidogo rukhsa kupunguza mawazo)Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-66015186210884283202010-01-28T14:20:28.379-05:002010-01-28T14:20:28.379-05:00Mzee kumbe alikuwa mrefu zamani au ni picha?Mzee kumbe alikuwa mrefu zamani au ni picha?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-61103707498318493362010-01-28T11:45:39.044-05:002010-01-28T11:45:39.044-05:00mama yako alikuwa bomba kinoma.mama yako alikuwa bomba kinoma.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-20537679670139091792010-01-28T10:33:02.773-05:002010-01-28T10:33:02.773-05:00Nice memory and nice photo tooNice memory and nice photo tooKaka Trionoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-31603362033811574002010-01-28T10:29:46.685-05:002010-01-28T10:29:46.685-05:00Wamama wa zamani walikua wanapendeza sana, That...Wamama wa zamani walikua wanapendeza sana, That's totally awesomeAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-61812112005509258822010-01-28T05:12:05.889-05:002010-01-28T05:12:05.889-05:00Taswira / Picha ni kitu chema saana. Imagine sasa ...Taswira / Picha ni kitu chema saana. Imagine sasa hivi ukiiangalia hiyo picha ama wazazi wakiiona wanakumbuka mangapi? Pengine hata watoto an wajukuu wa Bibi Titi nao wakiiona wanapata mengi ambayo hakuna ambaye angeweza kuyaeleza.
Hongera kwa wazazi kwa kutunza kumbukumbu namna hii
BlessingsMzee wa Changamotohttps://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-11610687727593344992010-01-27T23:16:17.109-05:002010-01-27T23:16:17.109-05:00Hii ni kumbukumbu nzuri sana. Unafanana sana na wa...Hii ni kumbukumbu nzuri sana. Unafanana sana na wazazi wako Chemi.Anonymousnoreply@blogger.com