tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post5168906145404508640..comments2024-03-22T03:02:53.585-04:00Comments on Swahili Time: Acheni Tabia Mbovu!!!Chemi Che-Mpondahttp://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comBlogger11125tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-56159952076831951862008-04-09T09:43:00.000-04:002008-04-09T09:43:00.000-04:00Huo si mkojo ni sehemu ya mmea! Keshamaliza umebak...Huo si mkojo ni sehemu ya mmea! Keshamaliza umebakia wa kudondoka dondoka!

Huku kwetu vijijini, kama huko kwenu vijijini, hatukuwa na vyoo! Na kama kuna kitu kizuri kuhusu Vijiji vya Ujamaa, mbali na kulinda usalama wa raia, ni kule kuwalazimisha watu wachimbe vyoo na wavitumie!

Vijiji raised the level of environmental sanitation kwa kiasi kikubwa!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-15187673098576107542008-04-09T07:41:00.000-04:002008-04-09T07:41:00.000-04:00Kukojoa au kunya njiani au kwenye kuta za nyumba h...Kukojoa au kunya njiani au kwenye kuta za nyumba huo ni uchafu, tabia hiyo ikomeshwe kwani ina hatarisha afya za watu hasa watoto.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-38233017255133162062008-04-09T07:05:00.000-04:002008-04-09T07:05:00.000-04:00Mikojo na Vinyesi ya binadamu inaunguza mimea! Heb...Mikojo na Vinyesi ya binadamu inaunguza mimea! Hebu tazama shemeu ambazo watu wanatumia ovyo. Mimea imekufa!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-51541526237722604402008-04-09T05:29:00.000-04:002008-04-09T05:29:00.000-04:00Si wasifii wafanyao hivyo hapa !Ila ukweli ni rahi...Si wasifii wafanyao hivyo hapa !

Ila ukweli ni rahisi kwa wanaume kujisitiri popote haja ndogo kuliko wanawake, labda ndio maana wanaonekana zaidi.

Na vyoo vingine ukiingia, labda uwe umebeba Perfume yako, la sivyo unaanza kunukia choo.
Cha kusikitisha ni kwamba watu hujisaidia mpaka kwenye vyanzo vya maji kitu kisababishacho uchafuzi wa maji hat ya kupikia dagaa nyumbani.Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-64533166157916484512008-04-09T05:16:00.000-04:002008-04-09T05:16:00.000-04:00Wee chemi kaa kimya,sababu inayowafanya wanawake w...Wee chemi kaa kimya,sababu inayowafanya wanawake wasikojoe mahala kama hapo ni kwamba hawawezi kukojoa wima, wao mpaka wachuchumae.
Mwagilia shamba hilo kamanda juu hapo.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-61617434486280191272008-04-09T05:04:00.000-04:002008-04-09T05:04:00.000-04:00sitetei tabia hiyo mbaya, lakini ukosefu mkubwa wa...sitetei tabia hiyo mbaya, lakini ukosefu mkubwa wa vyoo hasa maeneo ya mjini nao unachangia kwa kiasi kubwa kwa watu kujisaidia maeneo yasiyohusika. na wanawake wengi wanashindwa kujisaidia hadharani kwa sababu za kimaumbile.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-4094964939019692142008-04-09T04:00:00.000-04:002008-04-09T04:00:00.000-04:00Inasemekana hii global warming imezidi, kwa sababu...Inasemekana hii global warming imezidi, kwa sababu moja kwamba watu hawafanyi haja zao vichakani kama hapo zamani, kuwezesha hii mimea kupata rutuba, e.g. mbolea inayotokana na mkojo kama sulphur, na rutuba nyingi inayopatikana na kinyesi vya watu na wanyama.

Kwa hiyo mimea inakufa kama tunavyoona hivi sasa, na hivyo kusababisha global warming.

LOLAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-48383936145740827452008-04-09T00:29:00.000-04:002008-04-09T00:29:00.000-04:00Wewe anony 719, Sasa kama ni shamba ndo ruksa kuko...Wewe anony 719, Sasa kama ni shamba ndo ruksa kukojoa ovyo! Watu si wanakula matunda ya shambani? AU wewe unapenda kula vinyesi na mikojo?

Sema Da Chemi! Usiogope Sema!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-74860066190094544672008-04-09T00:02:00.000-04:002008-04-09T00:02:00.000-04:00Yaani wanaume wamezidi. Wanatoa dudu lao popote na...Yaani wanaume wamezidi. Wanatoa dudu lao popote na kukojoa bila hata haya!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-62291008596417750172008-04-08T22:19:00.000-04:002008-04-08T22:19:00.000-04:00tuliza mpira uwanja uwanja mkubwa tena mpira wenye...tuliza mpira uwanja uwanja mkubwa tena mpira wenyewe hata hautangazwi redioni
we unaona yuko mashambani hata kama anakojoa kwa akili yako unadhani kutakuwa na choo hapo?
be realistic onyesha picha yenye choo hapo halafu mtu anakojoa pembeni kwenye majani halafu ndo ukoromeAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-15653808125841999182008-04-08T17:45:00.000-04:002008-04-08T17:45:00.000-04:00Loh Da Chemi utasutwa! Acha umbea, alokwambia huyo...Loh Da Chemi utasutwa! Acha umbea, alokwambia huyo anakojoa nani? Unaushahidi gani kwamba huo ni mkojo? umeona uume unaotoa mkojo hapo? Kama anakichupa cha maji jee anakikamua? Dont judge a book by its cover...Anonymousnoreply@blogger.com