tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post5336466530480431868..comments2024-03-22T03:02:53.585-04:00Comments on Swahili Time: Wanafunzi Wamwua Mwalimu Wao Iringa!!Chemi Che-Mpondahttp://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comBlogger7125tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-80408665167921073782011-06-30T18:54:29.743-04:002011-06-30T18:54:29.743-04:00UKIJIHESHIMU NA WEWE UTAHESHIMIWA, SAA MBILI USIKU...UKIJIHESHIMU NA WEWE UTAHESHIMIWA, SAA MBILI USIKU UNAAGIZA BARUA ILETWE NYUMBANI?????Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-65941961741410657132011-06-30T18:51:25.564-04:002011-06-30T18:51:25.564-04:00Big up Jean! wanawake simameni imara, hivi visa vy...Big up Jean! wanawake simameni imara, hivi visa vya aina hii kila aliesoma shule za Bongo anavijua wakuu wanatumia nyadhfa zao kunyanyasa kijinsia wanawake, imefikia mahala wanawake nao wamesimama imara, iwe mfano kwa nyie wengine, FUNGENI ZIPUAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-78666819220822005132011-06-10T08:26:03.425-04:002011-06-10T08:26:03.425-04:00maelezo hayaleti maana. Kwakweli kumtoa mtu roho i...maelezo hayaleti maana. Kwakweli kumtoa mtu roho inakatazwa katika misahafu na vitabu vya dini zote.

Huyo dada amakatumiliwa au kuna jingine ndani ya saga hii yote.

Maskini familia ya huyo marehemu, kwanza wanauguza donda la kupotolewa na mpenzi ndugu yaho na tena kazi ya kusafisha jina na sifa yake, kwani jamii itamhukumu hata kabla wahusika kufanya kazi yao ya kubaini ukweli.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-71178620735346870112011-06-02T07:53:19.155-04:002011-06-02T07:53:19.155-04:00Mhhh. Huyo mdada anamatatizo makubwa nanin alimwam...Mhhh. Huyo mdada anamatatizo makubwa nanin alimwambia apeleke hizo taarifa nyumbani tena usiku? hakuiona ofisi? kwa mtizamo wangu, huyu mdada alikuwa amepanga kummuua Dr.Kama taarifa inavyosema kwamba Dr aligongwa na kitu kizito, huyu mdada alipofuguliwa mlango alimshushia marehemu nondo ukizingatia Dr alikuwa hakujiandaa kwa lolote. Mdada alipomaliza kazi yake alipiga kelele kwamba anabakwa ili kufuta ushahidi.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-73842830886905533592011-05-31T17:06:25.616-04:002011-05-31T17:06:25.616-04:00Ni hao wanne tu waliosikia kelele za huyo dada?Ni hao wanne tu waliosikia kelele za huyo dada?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-21422290262208191472011-05-31T02:34:35.012-04:002011-05-31T02:34:35.012-04:00Mmmh! kwa kweli sasa wanafunzi wa kike mnaharibu s...Mmmh! kwa kweli sasa wanafunzi wa kike mnaharibu sana tena sana! hapo ni kifungo cha maisha tu tena watatoa huduma gerezani kwa shule waliyoisoma.Kwanza kwenda usiku kwa mwl ulitarajia nini hasa kutoka kwake kama sio kumtia majaribuni mwl wako!Na waliohusika huenda walijua mipango yote kabla ya tukio,wafuatiliwe na wapewe adhabu kali sana ili iwe fundisho kwa wengine.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-11294927825867976512011-05-30T12:28:05.874-04:002011-05-30T12:28:05.874-04:00Haya maelezo ya wanafunzi naona hayajitoshelezi ya...Haya maelezo ya wanafunzi naona hayajitoshelezi yanaacha maswali mengi kuliko majibu, sasa huyu binti kilichomfanya kupeleka barua usiku nyumbani kwa Mwl wake ni nini? siku mzima alikuwa wapi? Pili hayo makelele walisikia hao wanafunzi wanne tu? halafu anapoishi mwl hakuna nyumba ya jirani yaani majirani yake hawakusikia hayo makelele ni hao wanafunzi wanne tena wakiwa mabwenini!! Ubakaji ni mbaya ila kuua mtu ni kubaya zaid.
BAnonymousnoreply@blogger.com