tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post6002511419366056407..comments2024-03-22T03:02:53.585-04:00Comments on Swahili Time: Missing Tanzanians in Norway - Julieta na RajabuChemi Che-Mpondahttp://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comBlogger32125tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-29190768139528515632008-05-27T14:51:00.000-04:002008-05-27T14:51:00.000-04:00Kweli wabongo wakati mwingine tunajiabisha. Mmemsh...Kweli wabongo wakati mwingine tunajiabisha. Mmemshambulia Da Chemi wakati wako wengi walioandika hii habari tayari. Inawauma nini?

Hao Julieta na Rajabu ni WAHUNI! Ndiyo ni WAHUNI! Walienda Airport, alifanya check-in halafu wanapotea! Walijificha chooni mpaka wenyeji wao walivyoondoka airport. Kweli ni aibu waliofanya. Ni bora hata wasingeenda airport ila wangegtoroka kutoka bwenini. Wametuabisha sana hao washenzi. Na ni kwa sababu ya Uhuni wao naomba warudishwe Tanzania wakikamatwa!

Pole sana Da Chemi uliuliza swali zuri na hao hao wanakutukana.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-61810639882318355782008-05-13T11:22:00.000-04:002008-05-13T11:22:00.000-04:00Hii inasababishwa na imani kua ni bora kubeba mabo...Hii inasababishwa na imani kua ni bora kubeba maboksi kuliko kurudi bongo na kufanya kazi yoyote ile..

Very shameful.... Ila ndo hali ilivyo...

Naona kijana kashapata na mke tayariAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-43723099411876028662008-05-12T16:06:00.000-04:002008-05-12T16:06:00.000-04:00Julieta mwenyewe ameshaa zaa huko Norway. Hakuna k...Julieta mwenyewe ameshaa zaa huko Norway. Hakuna kurudi Unguja.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-73345129518205911602008-05-12T15:27:00.000-04:002008-05-12T15:27:00.000-04:00THANKKKKKKKKKKKK YOU UMEWAPA UKWELI WATU TAFUTENI ...THANKKKKKKKKKKKK YOU UMEWAPA UKWELI WATU TAFUTENI MAISHA ACHENI KUFUATILIA MAMBO YA WATU ETI WAMEWATIA AIBU.EBU NASEMA TENA YOU GUSY GET LIFEEEEEEEEEEEEE WACHENI MAISHA YA WATU WENGINE KAMA WAMEJILIPUA AU LA SI KAZI YENU.RAJAB NA MWENZIO NYIE NI WATU WAZIMA KAMA MLIONA HIO NJIA YA KUKOMBOKA UMASIKINI WA UFISADI WA BONGO POA TU ENDELEENI NA MAISHA YENU MBONA SISI VIONGOZI WETU WANATUTIA AIBU

MDAU NA NDUGU WA JAMAAAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-8234582508336467712008-05-12T10:25:00.000-04:002008-05-12T10:25:00.000-04:00Julieta na Rajabu wameaibisha taifa letu. Wameaib...Julieta na Rajabu wameaibisha taifa letu. Wameaibisha zaidi Unguja! Waumbuliwe tu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-84261900730778859292008-05-12T02:24:00.000-04:002008-05-12T02:24:00.000-04:00Na hao wanaosema wamefanya vibaya ni lazima wanaco...Na hao wanaosema wamefanya vibaya ni lazima wanaconnection na chama tawala, either wako co-sponsored na watawala, au vingunge ndani ya serikali au both.

Hilo lazima lisemwe, kupeana kazi, schorlaships, connection ya haina hii au ile, rushwa, na mabaya mengi ya ufedhuli kuzulumu roho changa za watu kama Rajabu.

Jiangalieni kwenye vioo, halafu museme otherwise hapa, YES ni mafisadi wa aina yake, too true to deny it.

Lakini mutajirusha huku au kule, hamtokubali tu. Swala la kuongelea hapa hawa watu wana ndugu, jamaa, na kadhalika, na inaonyesha wazi ni watu wa kawaida, ambao wanatafuta kwa hali na mali, lakini serikali ya mafisadi na WAJINGA hoi, ndio kama hivyo, haina mwanzo mwisho wala tamamu, ni ovyo kupindikia, ni vichwa vya maongezi mengi bila vitendo asilia.

SASA SWALI LA KUJIULIZA, HIVI KWELI DA CHEMI UMAPATA VIPI KAZI YA KUWA MWANDISHI WA DAILY NEWS TZ, KAMA SIYO KWA CONNECTION FULANI ?? GO ON ADMIT IT. UFEDHELU UMEFANYIKA HALAFU UNAJIITA SENIOR, NA MPAKA SASA HIVI SIONI UANDISHI WAKO AU KAZI YAKO YA MAANA, MJENGWA NI MWANDISHI NA TUNAIONA KAZI NA SHUGHULI ZAKE NA ARCHIVE ZAKE. WEWE UMEBEBWA TU...PUMBA NYINGI, UMEKIMBIA KAZI KWA SABABU HIVI SASA MAMBO KIDOGO DOGO YANA UWAZI NA KAZI HUIWEZI TENA, KWA SABABU NI AIBU KWAKO.

JENGINE SWALI ? NA NYINYI MUNAOMTETEA NI LAZIMA MUNA CONNECTION ZENU, NAJUA HAMUTO ADMIT, LAKINI HIVYO NDIVYO, AND DONT TRY TO LIP LYING TO ME.

OPINIONS ZENU HAZIMATI SANA, WATU HAO NDIO WAPO HUKO WALIKO NA WANAENDELEA NA SHUGHULI ZAO NA MIPANGO YAO YA KUJIENDELEZA KIMAISHA, HOWEVER HARD IT MAY BE, IF THAT YOUR CONCERN??? GO ON TO INTERPOL, WATAKUONENI WAJINGA TU, HILO NI LOW LOW LEVEL ISSUE.

GO ON KEEP POSTING YOUR NONSENSE, LAKINI HII NI NON ISSUE, NI FIHI TU HIZO.

KILA MTU ANABEBA MSALABA WAKE AT THE END OF THE DAY. MAFISADI, THEY DO THAT IN OWN EXPENSE, NA NYINYI NI MASURROGATE WA MAFISADI, MUNAONGEA ON THEY ARE BEHALF, THE GLOBAL IS OPEN FOR EXPLORATION FOR THE GOOD OF INDIVIDUALS AND TANZANIAN ALIKE, TELL YOUR FELLOW UNCLES AND DADYS AND MUMMYS IN GOVERNMENT, THATS THE BOTTOM LINE AND THATS REALITY.

MWISHO WA WOTE HAWA SI WATOTO WADOGO, HUNA HAKI YA KUSEMA WAKO WAPI, WANGAPI WANATOWEKA NA UCHAWI, NA MARADHI TANZANIA NENDENI HUKO TZ, MUKAYAONGELEE NA SIYO HAYO NON ISSUE IN EUROPE, MUNAJIFANYA WATU WA KUTETEA HAKI ZA BINADAMU.

NYOOOO!!

CHOIR !Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-15829007356127385992008-05-11T20:20:00.000-04:002008-05-11T20:20:00.000-04:00Mimi namsifu Da Chemi kwa kufufua hii issue. Hong...Mimi namsifu Da Chemi kwa kufufua hii issue. Hongera sana, huo ndo uandishi wa habari hasa unafuatilia habari mpaka mwisho siyo inaisha hewani na watu wanasahau issue.

Mimi nataka kujua Julieta na Rajabu wako wapi. Kama kuna mtu anayejua si aseme basi. Wakisema si issue itaisha. Au siyo wandugu? Hakuna haja ya kutukana kama punguani.

Keep it up Chemi!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-46155712989855262008-05-11T20:08:00.000-04:002008-05-11T20:08:00.000-04:00Hao vijana kweli ni wahuni. Na hao wanaowatetea ha...Hao vijana kweli ni wahuni. Na hao wanaowatetea hapa ni wahuni pia. Walifanya vibaya na hakuna dhambi kusema kuwa walifanya mabaya. Nachoshangaa, mwenye blogu hajasema kuwa wamefanya vibaya. Ni watu hapa kwenye comments ndo mmesema kuwa vijana walifanya mabaya hata wanaowatetea wanasema walifanya mabaya lakini eti wlikuwa na haki kwa vile ndugu zao wana kansa. Wabongo wanachekesha kweli.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-7795322479530336482008-05-11T09:07:00.000-04:002008-05-11T09:07:00.000-04:00Ni kweli hao wanotukana na krudia rudia maneno na ...Ni kweli hao wanotukana na krudia rudia maneno na kuafiki mambo yasiyo faa si watu wenye busara. Kimsingi wameharibu sifa ya nchi yetu na kwa ubinafsi wao wamewazuia watu wengi ambao nao wangepata nafasi ya kusaidia ndugu zao kwa kuwasomesha na kuwatibu kwa njia ya halali kwa muangalie kwa upande huo. Pili mnaosema wange kwa ndugu za Da chemi imagine kina lowassa na chenge wangekuwa ndugu zenu na wanazuia watu wengine maisha bora mange fanyaje. mlioweza kuwa illegal mkawa legal pia sio sifa ukweli utabakia pale pale mmefunja sheria. Msitukane bial kufikiria na kujudge bila kutafakari. Simtetei Da chemi wala siwaungi mkono wanaosema get a life ndio maana Watanzania tuna ficha maovu mpaka mambo yanapokuwa makubwa mnaanza kujidai kufungua mdomo. Sasa hivi nchi yetu imejijengea jina zuri hivyo watanzania wote tujaribu kumaintain sifa hiyo. Ukimowna Jambazi anaiba unyamaze eti kisa anasaidia ndugu zake are you guys real?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-47262624550995488132008-05-11T07:20:00.000-04:002008-05-11T07:20:00.000-04:00INGEKUWA ISSUE NDUGU WA HAWA JAMAA WANGEENDELEA KU...INGEKUWA ISSUE NDUGU WA HAWA JAMAA WANGEENDELEA KUWA TAFUTA ILA WANAJUA WENYEWE KWA HIYO I GUESS NYIE WOTE GET A LIFE WAACHENI KUWAANIKA WENZENU HADHARANI SIJUI CHEMI KAMA WANGEKUWA NDUGU ZAKO UNGEFURAHI UKIONA WANAWEKWA HADHARANI KIMYA UJUE KUNA JAMBO WABONGO BLAH BLAH KIBAO MIND YOUR OWN DAMN BUSS WOMEN NENDA HUKO KUOMBA KAZI ZA KWENYE SCENE

MDAU NA NDUGU WA JAMAAAAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-19611058066657024692008-05-10T22:14:00.000-04:002008-05-10T22:14:00.000-04:00Hao ni Mr & Mrs.? Wanaonekana na nyuso za furaha h...Hao ni Mr & Mrs.? Wanaonekana na nyuso za furaha hapo. Nawatakia maisha mema ya ndoa huko walipo.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-59307073648096039522008-05-10T16:54:00.000-04:002008-05-10T16:54:00.000-04:00wandugu sikizeni ,mi nachoshangaa hivi nchi zote z...wandugu sikizeni ,mi nachoshangaa hivi nchi zote za kuzamia mtu ukazamie norway.Hawa jamaa(norwegian) washenzi sana.Mi nawashauri ndugu zangu Norway pagumu sio mahali pa kuzamia,ukiwa legal shida kibao ukizamia si ndo kasheshe.sasa wakina Rajabu wenzenu mmetuacha katika wakati mgumu na deal kama hilo ,kwa nini msiondokee Sweden.si mnawajua wanorwegian walivyo na noma! Du tutahenya na wabongo na UDI.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-35135109388065997942008-05-10T16:17:00.000-04:002008-05-10T16:17:00.000-04:00wewe unaesema wamewaharibia, una uninferiority com...wewe unaesema wamewaharibia, una uninferiority complex, vipi VISA au kusoma wasikupatia kwa sababu ya illegal, naona wamexico wangekua wamekewa wingu na la chuma na on border bombs, na still wapo kibao wamezamia na wanazidi kuzamia na wanazidi kupata visa na masomo

Visa na masomo ni juhudi yako, wacha wehu.

Any way opinions are like assholes, everyone got one.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-69559865087854679952008-05-10T15:45:00.000-04:002008-05-10T15:45:00.000-04:00Mmmh! Comments zingine. Inaelekea zinatoka kwa wen...Mmmh! Comments zingine. Inaelekea zinatoka kwa wenyewe Julieta na Rajabu. Mbona hii habari haiko kwenye blogu ya Da Chemi tu. Tena imetangazwa tangu Januari. Hakuna demonising hapa. Wao Julieta na Rajabu ndo wahalifu law breakers. Nawatakia maisha huko walipo. Wakae wakijua kuwa wamewaharibia nafasi za waunguja wengine kwenda huko. Asante ni hayo tu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-51878861169732307962008-05-10T13:39:00.000-04:002008-05-10T13:39:00.000-04:00Unachamesha, unajiona comment zako hazina kichwa n...Unachamesha, unajiona comment zako hazina kichwa nani kwakwambia wamepakia ndege, hata kama wamepakia ndege na kuripuka si ungesikie.

Kwani hao wote wanaozamia wanapakia nini bandama, dont be stupid, wamepakia ndege au hawakupakia sio yako hiyo.

Mimi ni illegal, nashukuru sana kwa nchi iliyonipa sheria hivi sasa, I have done many beautiful things to my relatives and countries kuliko wewe.

nimeajiri hundreds of people back home, on my own business na ninachangia kwa kiasi kikubwa kwa uwezo wangu katika kujenga nchi yetu, and I AM PROUD, of my residing/nationalised country na Tanzania kwa ujumla.

nanawaambia story yangu over and over, na kamwe hawajaniambia tutakurudisha au otherwise, in matter of fact they are proud of having me in their country, and they dont care.

sasa wewe kinakurusha rusha nini..
Nitajujilisha wakati tutakapogrow out of this nonsense nonissue.

You think you are helping you are demonizing them,

JE ulijaribu kuwapigia familia yao kama wako hai, au ni mbwembwe za blog tu hizi..

Je ulipokwenda kupiga filamu ya Bongo land Tz, uliwahi kuwakumbuka, na kwenda kuulizia katika hiyo sehemu ya muziki.

Blog yako haina maana kazi kutoa madrag queen, watu wanaokojoa, kwenda uchi, na cheap stories

Grow up Girl(woman).

PROUD FORMER ILLEGALAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-78017028625096422972008-05-10T11:41:00.000-04:002008-05-10T11:41:00.000-04:00Asanteni wote mliotoa maoni kwa upande zote. Kama...Asanteni wote mliotoa maoni kwa upande zote. Kama ni wazima huko tunamshukuru Mungu. Bado sijapata confirmation lakini. Na kama wameweza kusaidia gharama za matibabu nyumbani Bongo ni vizuri.

Ni kweli watu wanazamia ng'ambo. Sikatai hata kidogo. Hata hapa USA wako wabongo kibao na wa nchi zingine kibao ambao wanazamia. Wengi waliopo na hali nzuri tu ya maisha sasa walizamia. Tunawaona sana. Ila tunajua wako salama.

Issue hasa ni kuwa watu walienda kupanda kwenye ndege na hawakushuka kwenye ndege hiyo. Ina maana walipotea hewani? Je, walikuwa kidnapped?Chemi Che-Mpondahttps://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-52641145730451282962008-05-10T11:34:00.000-04:002008-05-10T11:34:00.000-04:00Dada Chemi unaona Michuzi alivyochambwa na issue h...Dada Chemi unaona Michuzi alivyochambwa na issue hii:

http://issamichuzi.blogspot.com/2008/01/julieta-na-rajabu.html#comments

Asante kwa kutukumbusha maana kwenye uandishi wa habari unaitwa follow-up.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-40176673758974002312008-05-10T11:28:00.000-04:002008-05-10T11:28:00.000-04:00Rajabu na Julietha mnachemsha kweli! Tumekasirika ...Rajabu na Julietha mnachemsha kweli! Tumekasirika hapa nyumbani sana mana hatupati scholaship tena shauri ya ushenzi wenu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-63006973386174037222008-05-10T10:45:00.000-04:002008-05-10T10:45:00.000-04:00Sasa ukiulizia kwenye blog ndio iwe nini? Kama kwe...Sasa ukiulizia kwenye blog ndio iwe nini? Kama kweli unajali sana na huo ni uandishi wahabari nenda kafanye uchunguzi huko kwenye ubalozi au nchi ya norway au nenda bongo kafuatilie sio kuwaweka kwenye free blogs huku.

Nyie mnaosema tunaoulizia ndio tumezamia true. Mimi ni mmoja wao nilizamia nikaolewa na sasa hivi mimi ni raia na nimeweza kuwasaidia ndugu na jamaa wengi tu baada ya kupata uraia. Ninaona uchungu sana mtu akiwachomea utambi wengine. Kama wewe ulipata kiurahisi uraia wako don't take it for granted. Kuna watu wamehangaika sana. You should know betterAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-73465159872583641722008-05-10T10:31:00.000-04:002008-05-10T10:31:00.000-04:00Umbea uachage yatakushinda. Ati unawaulizia do you...Umbea uachage yatakushinda. Ati unawaulizia do you really care about them au ni umbea wako tu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-6753512183717415372008-05-10T10:04:00.000-04:002008-05-10T10:04:00.000-04:00wew dada yatakushinda. Mbona unakua kama mtoto. We...wew dada yatakushinda. Mbona unakua kama mtoto. Wewe kwani hujui kuwa watu wanazamia au kwa vile mzungu aliwaulizia ndio maana kila siku rorho yako iko juu.

Wangapi wanazamia kila siku hapa marekani ... Waache watu wa watu..Ndugu zao wamekutuma hii? I wonder what kind of person are you?????? Real unachemsha. Uliona ndugu zake wanaendelea kuwatafuta. Kama wanacommunicate na ndugu zao unataka waje waakuanikie huko kwenye blog yako kuwa hawajambo ndio ufurahi....Nani alikua ambia wamekua sex slaves...Take care of yourlife acha ya wenzako...kama mtoto bwana....this is too much of you now...There is nothing good about this blog kila kukicha it is you again...The last time I was reading your blog ni wakati ulianika matako ya serena nje...sasa tena kila blog ukienda wanalink haya mambo yako narudi ni hii blog yako....

Please grow up na ufikiri kabla ya kuandika sio kutafuta traffic kupitia migongo ya watu...Kama wewe ulipata kuwa na makaratasi kiulani waachie wenzako nao wayasake kivyao vyao...Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-1691142537205062612008-05-10T07:38:00.000-04:002008-05-10T07:38:00.000-04:00Anony wa 10:40PM ni Rajabu! Kajichongea!Anony wa 10:40PM ni Rajabu! Kajichongea!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-75698500509401763202008-05-10T06:16:00.000-04:002008-05-10T06:16:00.000-04:00Kuzamia ni jambo la kawaida. Ila huwa tunajua kama...Kuzamia ni jambo la kawaida. Ila huwa tunajua kama watu wako salama au la. Hao wasije wakawa wamedanganywa na kuwa mules. Wale lords wanasema wakipoteza maisha yao hakuna anayewajua. Swali zuri Da Chemi. Wako salama? Je, serikali ya Tanzania ina chunguza raia wao wako wapi?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-38851191423292248982008-05-10T05:54:00.000-04:002008-05-10T05:54:00.000-04:00Chemi, waliokubwatukia ni hao vijana waliotoroka, ...Chemi, waliokubwatukia ni hao vijana waliotoroka, mwanahabari hatishwi, endelea mama. Sasa mnavyogomba, hamjui kwamba mnawaharibia wengine kwa kutoa picha mbaya, yaone!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-27129885126343396062008-05-10T05:05:00.000-04:002008-05-10T05:05:00.000-04:00Jamani Da Chemi ameuliza wako salama? Hajasema kuw...Jamani Da Chemi ameuliza wako salama? Hajasema kuwa wamezamia. Walipotea je, ubalozi wetu unasemaje? Wako hai?Anonymousnoreply@blogger.com