tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post6026181363574097023..comments2024-03-22T03:02:53.585-04:00Comments on Swahili Time: Mwandishi wa kitabu ' The Obama Nation' akamatwa Kenya!Chemi Che-Mpondahttp://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-61833055212865870042008-10-10T12:28:00.000-04:002008-10-10T12:28:00.000-04:00Wala sijaona kama imekuwa habari kubwa hapa USA. N...Wala sijaona kama imekuwa habari kubwa hapa USA. Nadhani walijua alifanya maksudi. Pia kitabu chake kimejaa uongo mtupu.Chemi Che-Mpondahttps://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-90624840155646402922008-10-10T11:16:00.000-04:002008-10-10T11:16:00.000-04:00the guy is also looking for some cheap publicity, ...the guy is also looking for some cheap publicity, he knew this wd be news and thats what he wants!
kubwa jinga!
SubiraAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-73861290734163529212008-10-08T14:26:00.000-04:002008-10-08T14:26:00.000-04:00Hii ni mojawapo ya njia ya kujaribu kuharibu jina ...Hii ni mojawapo ya njia ya kujaribu kuharibu jina la Obama wakati siku ya uchaguzi inawadia punde. Ni majaribio ya kupurukusha nadhari ya umma kutoka sera na mwenendo ya uchumi ambayo yanajadiliwa sasa katika mdhahalo mkali.

Kwa hivyo ikiwa kuna wale ambao hawajaamua ni nani wataompigia debe, wanaompinga Obama watatumia story yeyote huenda iwezayo kuwavutia hao wapigaji kura.

(mbu kutoka ny a.k.a."mkenya fulani")Unknownhttps://www.blogger.com/profile/02496182706027916359noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-31240094711803437892008-10-08T12:50:00.000-04:002008-10-08T12:50:00.000-04:00Da Chemi umesikia haya ya Rush Limbaugh tena? It's...Da Chemi umesikia haya ya Rush Limbaugh tena? It's from a couple of weeks ago, but I'd missed it mpaka jana I was watching Leno and Bill Maher was on the show and he brought this up ikabidi nije kufanya utafiti katika mtandao...
http://undercoverblackman.blogspot.com/2008/09/rush-limbaugh-says-obama-is-arab-not.html

Anwyays... ukiachana na uongo ulio dhahiri wa mbaguzi Limbaugh... so what hata kama Obama angekuwa kweli ni Mwarabu and/or Muislamu? Wamarekani wanajifanya liberal na kuwapigia kelele wachina kuhusu uhuru wa kuabudu, lakini wao ndio adui namba 1 wa kubagua wote walio tofauti na wao.

For the love of me, nashindwa kuelewa why some people like Limaugh have radio showsNalitolela, P. S.https://www.blogger.com/profile/14963957729680495716noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-69112630185908358402008-10-08T04:53:00.000-04:002008-10-08T04:53:00.000-04:00Dada Chemi ur right. ujue wazungu ni wajanja sana ...Dada Chemi ur right. ujue wazungu ni wajanja sana katka kutegeshea.Huyo mwandishi amejipeleka makusudi ili akamatwe ili iwe kama kashifa.Na pia nahisi anataka atunge uongo kwamba alikuwa akinyanyaswa wakati alipokamatwa.Anonymousnoreply@blogger.com