tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post6105155988110455892..comments2024-03-22T03:02:53.585-04:00Comments on Swahili Time: Waziri Mkuu wa Eithiopia Meles Zenawi Afariki?Chemi Che-Mpondahttp://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-39231789416654393552012-08-03T06:09:31.855-04:002012-08-03T06:09:31.855-04:00Jamani adha inayosababishwa na kiwanda cha Serenge...Jamani adha inayosababishwa na kiwanda cha Serengeti na Meles Zenawi wapi na wapi? Kuna comment moja hapo juu ipo completely out of place.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-57553946848591836712012-08-01T14:33:01.182-04:002012-08-01T14:33:01.182-04:00FR. KIDEVU NITAONGEA YALIYO MOYONI MWANGU. KIWANDA...FR. KIDEVU NITAONGEA YALIYO MOYONI MWANGU. KIWANDA CHA SERENGETI MJINI MOSHI KIMELETA ADHA KUBWA SANA KWA WANANCHI WA MAENEO MBALIMBALI KWANI HAWAKUJIANDAA VIZURI KATIKA UZALISHAJI WAO. WANATUMIA MAJI MENGI KIASI KWAMBA MAENEO MENGI TUNAPATA MGAO WA MAJI SIO SUALA LA MAZINGIRA KAMA NDIVYO MGAO UNGEZINGATIA MAENEO YOTE LAKINI CHA KUSHANGAZA KATA ZINGINE HAWAJUI MGAO LAKINI ZINGINE IKIWEMO KATA YA MAWENZI NI MASIKITIKO. <br /><br />KUTOA HIVYO VIMAPIPA NI UPUUZI MTUPU AJIPANGE NA WASITUTESE. HII NDIO RUSHWA KWA IDARA NA MASHIRIKA MBALIMBALI. UKIENDA MUWASA WANAKWAMBIA KUNA MGAO LAKINI SI KWELI KWA VILE HUKO MUWASA HAWAPENDANI KILA SIKU MAJUNGU NA ULAJI RUSHWA NA WIZI WA MALI ZA UMMA UMEKITHIRI BASI WAMEDIRIKI KUTUPA MATESO WANANCHI ILI HIZO BIA ZIZALISHWE. KWA NINI SBL WASIWE WABUNIFU KAMA BONITE? HII NI KERO NA NAOMBA USIIWEKE KAPUNI ULIZA HAO WATENDAJI WA SBL WAJIBU HIZI TUHUMA. BAHATI MBAYA SIKUJUA WAPO MJINI NINGEAANDAA MAANDAMANOAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-27063653367143983952012-08-01T12:32:15.740-04:002012-08-01T12:32:15.740-04:00Jamani kuna magazeti yanayoheshimika sana huku Bon...Jamani kuna magazeti yanayoheshimika sana huku Bongo, likiwamo Nipashe, yameandika uzushi huu wa kwenye Internet. Tuwe tuna-crosscheck information kwa sababu kuna kila aina ya uzushi katika mtandao. Meles Zenawi hajafa.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-1545089600713413652012-08-01T09:55:56.720-04:002012-08-01T09:55:56.720-04:00The man was still very much alive at the time of t...The man was still very much alive at the time of this posting.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-7730758759421444462012-08-01T08:15:38.910-04:002012-08-01T08:15:38.910-04:00R.I.PR.I.Pemuthreehttps://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.com