tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post6114904430425739225..comments2024-03-22T03:02:53.585-04:00Comments on Swahili Time: Wimbi la Ajali za barabarani Tanzania!Chemi Che-Mpondahttp://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comBlogger8125tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-82308016934850198802014-06-07T19:57:03.535-04:002014-06-07T19:57:03.535-04:00Greetings! Very usseful adice in this particular a...Greetings! Very usseful adice in this particular article!
It is the little changes which will make the largest changes.
Thanks for sharing!

Also visit my blog ... Regal trial kitAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-9159730129583285982007-11-25T21:34:00.000-05:002007-11-25T21:34:00.000-05:00ukiona ndefu acha kusoma. sidhani kama kuna mtu an...ukiona ndefu acha kusoma. sidhani kama kuna mtu analazimishwa kusoma. na ukiona inakuhusu au unajifundisha kitu fulani basi utafuatilia tu. wala isiwe tabu.

kuendesha gari ni jukumu. lakini wengi wanafanya holela holela.SimbaMkalihttps://www.blogger.com/profile/12986499119177442287noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-45796422665931810342007-11-02T16:26:00.000-04:002007-11-02T16:26:00.000-04:00Dada Chemi aliandika jina la dereva wa Mama Mbatia...Dada Chemi aliandika jina la dereva wa Mama Mbatia. Ni Anaclet Mongella. Majina ya dereva wa lori na utingo wake ndo hatukuzisikia kabisa.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-5226412874568015272007-11-02T16:25:00.000-04:002007-11-02T16:25:00.000-04:00BAPkaka maelezo mazuri, ila si unajua kuwa wabongo...BAP

kaka maelezo mazuri, ila si unajua kuwa wabongo hawana hoby ya kusoma sasa hapo watasona nusu, nusu wanaacha, huku wakisema aaaaaaaaaagh makala ndefu.Unknownhttps://www.blogger.com/profile/05259491330778793381noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-17504862422946149692007-11-02T16:11:00.000-04:002007-11-02T16:11:00.000-04:00Asante kwa mawaidha yenu. Nitayazingatia moyoni!Asante kwa mawaidha yenu. Nitayazingatia moyoni!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-36731616335093499772007-11-02T14:33:00.000-04:002007-11-02T14:33:00.000-04:00Born again, huwa una point nzuri, ila wengi wetu h...Born again, huwa una point nzuri, ila wengi wetu hatuna muda wa kusoma article ndefu namna hiyo-wakati mwingine fupisha bwana.

hilo swala la ajali mie nimeshatoa mawazo yangu huko nyuma-narudia tena. inabidi tuangalie pande zote iwezekanavyo:
-madereva
-barabara
-sheria
-elimu ya usalama mashuleni; n.k.

hili swala la kulaumu madereva tu halitoshi!!

na pia Viongozi wa siasa inabidi waache kutoa kauli za kuwa "ajali ni mpango a mungu"-
hapo ndio tunaweza kusonga mbele na kutatua hili tatizo.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-91950747145398425812007-11-02T09:59:00.000-04:002007-11-02T09:59:00.000-04:00Asante Born Again Pagan. Umetuelimisha. Next time ...Asante Born Again Pagan. Umetuelimisha. Next time jaribu kupunguza maana article ni ndefu mno. Na kwa nini usianzishe blogu yako mwenyewe?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-3563850967894773372007-11-02T07:16:00.000-04:002007-11-02T07:16:00.000-04:00Born Again, Nashukuru kwa maelezo mazuri na ya kuj...Born Again, Nashukuru kwa maelezo mazuri na ya kujenga taifa letu. Kuna mambo nimejifunza kutokana na maelezo yako. Ningeshauri ungetoa kwa awamu mawazo yako. Mawazo ni mazuri lakini ni marefu sana.

Kungekuwa na awamu tatu na ukaipa kila awamu siku tatu baada ya nyingine ili wanakijiji waweze kutoa maoni yao. Nionavyo mimi, napenda kuwakilisha

Kishimba255Anonymousnoreply@blogger.com