tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post6148023331911338899..comments2024-03-22T03:02:53.585-04:00Comments on Swahili Time: Ndoa ya Star Jones na Al Reynolds yavunjika!Chemi Che-Mpondahttp://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comBlogger9125tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-36772115273376390072008-04-26T06:27:00.000-04:002008-04-26T06:27:00.000-04:00Now Al Reynolds married a beautiful heavyset sista...Now Al Reynolds married a beautiful heavyset sista. Then she turned into a skinny and ugly hag. No wonder he lost interest.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-82161581443261523062008-04-25T12:36:00.000-04:002008-04-25T12:36:00.000-04:00Dada Chemi you are beautiful! Achana na hao wapuuz...Dada Chemi you are beautiful! Achana na hao wapuuzi.<BR/><BR/>Kuhusu Star Jones alivyokonda kawa mbayaaa!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-32455749089504900432008-04-25T10:38:00.000-04:002008-04-25T10:38:00.000-04:00SASA NA WEWE PUNGUZA UZITO SIO UNASEMA ANATISHA KW...SASA NA WEWE PUNGUZA UZITO SIO UNASEMA ANATISHA KWASABABU YA KUCOVER UZITO WAKO FANYA HIMA UTAPENDAZA SANAAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-29901290978701620532008-04-25T04:28:00.000-04:002008-04-25T04:28:00.000-04:00kwahiyo nawewe hutaki kukonda ehhhkwahiyo nawewe hutaki kukonda ehhhAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-42515369900066292332008-04-25T03:12:00.000-04:002008-04-25T03:12:00.000-04:00kwa kweli shela nyeupe huwa inapendeza haswa kweny...kwa kweli shela nyeupe huwa inapendeza haswa kwenye harusi,walipendeza kweli ingawa ndo hivyo tena.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-36037253711136284512008-04-25T03:05:00.000-04:002008-04-25T03:05:00.000-04:00WOOW MI NIMEPENDA SHELA LAKE LIPO BOMBA SANA,NDO F...WOOW MI NIMEPENDA SHELA LAKE LIPO BOMBA SANA,NDO FASHION YA MASHELA YA SIKU HIZI BONGO DARESALAMA.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-7119199464627977122008-04-25T02:37:00.000-04:002008-04-25T02:37:00.000-04:00ndoa za kifahari na simple zote zina matatizo,hata...ndoa za kifahari na simple zote zina matatizo,hata hapa TZ ila tofauti kubwa ipo kwa mataifa ya wenzetu,mwanandoa akifanya ndivyo sivyo mwenzake anaomba talaka fasta.dada chemi mfano hapa bongo tatizo la wanaume wanandoa kuwa na nyumba ndogo a.k.a vimada ni kama fashion siku hizi,yani mfano msichana anaolewa utasikia watu wanasema asubiri kuibiwa na mume wake yani mumewe kuwa na mwanamke wa pembeni.hii imekuwa common sana hapa bongo,utakuta hata kama mke wa jamaa akishtukia lijamaa linafanya kuomba msamaha kwa kusema shetani alimpitia,na anaweza rudia hivyo hata mara 5basi mwanamke anasamehe tu story imekwisha na hamna mambo ya talaka hapo.<BR/>by mkereketwaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-54069480034755768772008-04-25T02:28:00.000-04:002008-04-25T02:28:00.000-04:00mimi nadhani mila zetu na tamaduni zinatufanya has...mimi nadhani mila zetu na tamaduni zinatufanya hasa waafrika tuwe na uvumilivu na sio kwamba watu wanafurahia ndoa,ukilinganisha na wenzetu wa mataifa ya magharibi mtu akileta za kuleta anaomba divorce mfano kama hapa kwetu Tanzania mwanamke wa kikurya akipigwa na mumewe anaona ndo anapendwa na wala hashitaki hata kuomba talaka.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-53956827599594579212008-04-25T02:09:00.000-04:002008-04-25T02:09:00.000-04:00dada chemi hamna cha ndoa za kifahari au ndoa simp...dada chemi hamna cha ndoa za kifahari au ndoa simple,matatizo ya kutoelewana na kuachana yapo haijalishi ilikuwa ndoa simple au ya kifahari.kwa upande fani naweza sema kwa upande waafrika tunaweza ona ndoa zina muda mrefu lkn watu wanaona moto kwenye hizo ndoa,na wanaamua kuvumilia hasa wanawake,ukizingatia akifikiria kuachika anaona kama anaiabisha familia yake etc,dada chemi wenzetu waliodunia ya kwanza huwa hawapendi kuona wananyanyasika kwenye mahusiano na kwenye ndoa zao.sisi huku tunaodumisha mila kwa kuona aibu hasa mwanamke kuachika.Anonymousnoreply@blogger.com