tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post6306732714362551063..comments2024-03-22T03:02:53.585-04:00Comments on Swahili Time: Mzee wa miaka 86 Ambaka Msichana mdogo Dar!Chemi Che-Mpondahttp://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-91905879893349802852009-11-28T01:05:01.922-05:002009-11-28T01:05:01.922-05:00huyu mzee anatakiwa aadhibiwe vikali bila ya kuang...huyu mzee anatakiwa aadhibiwe vikali bila ya kuangalia umri wake. Inawezekana huyu atakuwa amebaka watu wengine wengi tuu isipokuwa arubaini zake zimemkutia uzeeni. Wanawake wengi sana hubakwa, na kubakwa mara nyingi unabakwa na ndugu wa karibu. Hii husababisha wanawake kuogopa kutoka mbele na kusema kwamba "fulani amenibaka". Mbakaji huendelea na tabia yake ya ubakaji kwa sababu anajua kwamba wanawake huwa hawasemi wanapobakwa kwa kuogopa aibu na fedheha ya kubakwa.

Kumbukeni kina dada; kama kuna yoyote kani yenu amewahi kubakwa na mtu mmoja, basi uwezekano mkubwa ni kwamba huyo mtu ni ndugu yako ambaye ulimuamini na kukaa naye katika mazingira ya hatari.

Kama umewahi kubakwa na kundi la watu; basi mara nyingi watu hawa huwa siyo ndugu zako na wanakuwa wamechukua nafasi kwa sababu labda umelewa, au umejiweka katika mazingira ya hatari.

Nini cha kufanya baada ya kubakwa?

Kwanza, akili ya kawaida inakutuma kujisafisha, labda kwa kuoga au kunawa. Hili ni kosa kubwa sana wanawake hufanya. Ukibakwa usijisafishe, kwa sababu kwa kufanya hivyo unaondoa ushahidi wote wa vinasaba vya wabakaji.
(Do not wash away their DNA)

Pili, usione aibu na wataarifu polisi haraka iwezekanavyo. Usiporipoti polisi basi unakuwa umempa ushindi mbakaji/wabakaji na wataenda kumbaka mtu mwingine.

Kina dada, hakikisheni ukibakwa mbakaji lazima aadhibiwe.

MatangaluMatangalunoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-89226438060644966142009-11-27T13:31:40.128-05:002009-11-27T13:31:40.128-05:00Miaka 86! Huyo ni wakuondoka wakati wowote lakini ...Miaka 86! Huyo ni wakuondoka wakati wowote lakini keshapat raha yake kwa huyo mtoto. Mungu ampe nguvu huyu mtoto.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-46622192945698497382009-11-27T12:43:33.822-05:002009-11-27T12:43:33.822-05:00Hii kali! Mzee wa umri hiyo kubaka! DUH! Yaani ali...Hii kali! Mzee wa umri hiyo kubaka! DUH! Yaani alishindwa kupata mwanamke hata kibibi kizee mwenzake?Anonymousnoreply@blogger.com