tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post655387049293358054..comments2024-03-22T03:02:53.585-04:00Comments on Swahili Time: Mlipuko wa Bomu Katika Kanisa Katoliki ArushaChemi Che-Mpondahttp://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comBlogger6125tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-24782355045602383952013-05-05T15:34:08.716-04:002013-05-05T15:34:08.716-04:00Ithink hiyo ni infiltration some people from out s...Ithink hiyo ni infiltration some people from out side the country wanajaribu kuiweka nchi katika hali tete for their future plan. ikuumbukwe tupo na hali ya utata na nchi ya malawi, pia tunapeleka majeshi Congo DRC kuwang'oa M23,who allied with them? matukio haya na yale ya kulipuliwa kwa maghala ya kijeshi mbagala na gongo la mboto pamoja na kualibika kwa Rada ni ishara mbaya kwa usalama wa nchi.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-4304121871181484452013-05-05T14:48:52.395-04:002013-05-05T14:48:52.395-04:00Serikali ya Tanzania inaonekana kuwapuuza hawa wah...Serikali ya Tanzania inaonekana kuwapuuza hawa wahalifu, inawajua na kuwaona wakitembeza CD na kufanya mikutano au hadhara zenye uchochezi tena kwa kibali halali, eti kwa kuhofia kupewa kura.......jamani Tanzania inaanza kuzama kama mnavyoona ya Zanzibar na Arusha.

Serikali ituambie kama uwezo wa kutulinda hautoshi ili tuanze kujilinda wenyewe. Mimi kama mlipa kodi.....nimechoka na ngonjera za serikali ambayo kila kukicha inakuwa inaonesha mianya ya udhaifu kede kede. Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-17769440959457449512013-05-05T14:22:13.697-04:002013-05-05T14:22:13.697-04:00Sio tetesi ni tukio halisi vyombo vya nje imiwemo ...Sio tetesi ni tukio halisi vyombo vya nje imiwemo BBC, wametangulia kuripoti kuwa Kuna mtu mmoja kafa na majeruhi 50! Mwakilishi wa Papa nchini alikuwa akiongoza misa! Wenye zaidi watujuze! Hali sass ni tete!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-698035649581430802013-05-05T14:19:15.576-04:002013-05-05T14:19:15.576-04:00Duh! Sasa mbona hatusikii tena habri za kintelejen...Duh! Sasa mbona hatusikii tena habri za kintelejensia kama tulivyokuwa
tunasikia Chadema wakitaka kufanya maandano? Au hizo habari huwa
zinahusu Chadema tu? It's as if we are lost!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-23417669950987677322013-05-05T11:02:01.991-04:002013-05-05T11:02:01.991-04:00Mlipuko ulipotokea Boston tukatoa maoni upesi kuwa...Mlipuko ulipotokea Boston tukatoa maoni upesi kuwa ni wale wale wanaofanyaga milipuko ndio wamelipua. Watu wakabisha.

Sasa na hapa ngoja tusiseme nani kalipua, lakini mwisho wa siku itaonekana ni wale wale wasiku zote. Sasa wasipokosolewa watabadilikaje?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-11207162694877967422013-05-05T10:23:16.040-04:002013-05-05T10:23:16.040-04:00Kwa sasa hali ya kawaida inaanza kurudi. Vyombo vy...Kwa sasa hali ya kawaida inaanza kurudi. Vyombo vya usalama vinaendelea kuchunguza ili kujua mlipuko huo ni nini hasa. Balozi wa papa nchini na viongozi wa juu wa jimbo wameondoka eneo la tukio salama na balozi hajadhurika kabisa ingawa mlipuko huo ulilipuka karibu nao.

Mkuu wa mkoa alikuja na sasa ameondoka. Wananchi wameanza kupungua eneo la tukio na wengi wanaelekea Mount Meru ili kuwatambua majeruhi. Hivyo idadi ya watu wanaondoka eneo la tukio na kwenda hospitali. Polisi wamekamata pikipiki ambayo inasadikiwa imetumika katika tukio hilo.
Shughuli ya uzinduzi wa kanisa hilo imeahirishwa hadi tarehe ambayo haijatajwa Mungu awajalie majeruhi wapate nafuu haraka.Anonymousnoreply@blogger.com