tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post6865961523624170223..comments2024-03-22T03:02:53.585-04:00Comments on Swahili Time: Dr. Harrison Mwakyembe apata Ajali ya Gari!Chemi Che-Mpondahttp://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-22685947449705343022009-05-22T01:08:22.743-04:002009-05-22T01:08:22.743-04:00Si ndio hao hao wanaofunga macho katika kukarabati...Si ndio hao hao wanaofunga macho katika kukarabati mabarabara? Good lesson!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-84948904313169866502009-05-21T15:35:05.377-04:002009-05-21T15:35:05.377-04:00Tunashukuru kwa taarifa ila mmedanganya kuhusu p...Tunashukuru kwa taarifa ila mmedanganya kuhusu picha ni vyema mkawa wawazi badala ya kutafuta sifa ,hizi picha tumeanza kuzitazama mapema sana katika blog ya WWW.francisgodwin.blogspot wewe wasema zako huo ni wizi tena ni dhambi kubwa<br /><br />Salum Chuo kikuu cha Tumaini IringaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-29812623447701195632009-05-21T15:33:57.264-04:002009-05-21T15:33:57.264-04:00Tunashukuru kwa taarifa ila mmedanganya kuhusu p...Tunashukuru kwa taarifa ila mmedanganya kuhusu picha ni vyema mkawa wawazi badala ya kutafuta sifa ,hizi picha tumeanza kuzitazama mapema sana katika blog ya WWW.francisgodwin.blogspot wewe wasema zako huo ni wizi tena ni dhambi kubwa<br /><br />Salum Chuo kikuu cha Tumaini IringaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-10288295920523440452009-05-21T14:43:38.969-04:002009-05-21T14:43:38.969-04:00Yaap, tunajua nani kachimba hilo shimo!Yaap, tunajua nani kachimba hilo shimo!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-20467458534516963582009-05-21T13:12:20.646-04:002009-05-21T13:12:20.646-04:00Msiwe na wasiwasi. Dr Mwakyembe ameruka kama dk. 1...Msiwe na wasiwasi. Dr Mwakyembe ameruka kama dk. 15 hivi zilizopita kuelekea Dar. Nilikuwa Uwanja wa Ndege wa Iringa maarufu kama Nduli Airport. Ni mwendo wa saa 1.00 hivi kwa ndege kutoka Iringa kwenda Dar. Hivyo wana JF wa DSM mnaweza kupiga jicho pale airport wakitua. Kutoka huku amesindikizwa na Dr. aitwae Nyabusani ambaye tangu alipoingia hospitali alikuwa akimhudumia. Tuna imani atafika salama na atapona haraka.Anonymousnoreply@blogger.com