tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post7150353291921123344..comments2024-03-22T03:02:53.585-04:00Comments on Swahili Time: Weusi, Mashoga waongoza kwa UKIMWI MarekaniChemi Che-Mpondahttp://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-52955142410801359852008-09-16T09:07:00.000-04:002008-09-16T09:07:00.000-04:00Ongezeko la maambukizi ya ukimwi kati ya wanaume w...Ongezeko la maambukizi ya ukimwi kati ya wanaume wanaojamiiana wao kwa wao zinaonyesha mwelekeo (trend) sawa sehemu zote za nchi za magharibi, na si swala la race. Waathirika wakubwa ni wale wenye umri mdogo. Katika ripoti ya mwaka jana nchini Belgium imeonyesha moja ya sababu ya ongezeko ni kuogopa kuonekana kutomwamini mwenza wako unapotaka kutumia mipira ya kinga. Wale wanaokazania race wanasera zao binafsi kwani nchi nyingine pia kuna wasenge na mabasha weupe kwa weusi. <BR/>Kwa weusi kama kunaimani ya conspiracy ya kuwamalizeni, basi mmeijua. Dawa yake ni kuacha ngono nzembe kama huwzi kuwa muaminifu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-40017753207800653912008-09-14T12:46:00.000-04:002008-09-14T12:46:00.000-04:00Duuh! Manakae hata ule shoga la ATL aka Nyani McCa...Duuh! Manakae hata ule shoga la ATL aka Nyani McCain nasikia naye keshayakwaa mawaya...Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-1039203939891603482008-09-12T16:28:00.000-04:002008-09-12T16:28:00.000-04:00hio ni kweli hawa makaburu hawalali wanajitaidi ku...hio ni kweli hawa makaburu hawalali wanajitaidi kumaliza muesi katika dunia hii.mimi kuna dogo wakizungu nasomanae tukawa tunadiscuss kuhusu hilo .kasema eti nyinyi waswaili mwajua kwamba HIV virus imetengenezwa na mzungu ili awamalize dunia hii.na huo ndo ukweli wake maana virus imetengenezwa mahabara so nikamuuliza antidoti yake yiko wapi??kakosa lakujibu.hii ngozi sijuii imelaniwaa au laaa.nawakilisha mdau holland kwa wakolini wakuu dunia hiiAnonymousnoreply@blogger.com