tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post7294487664614954620..comments2024-03-22T03:02:53.585-04:00Comments on Swahili Time: AKrimu Mtoto Halafu Adai Kazaa na Mhindi!Chemi Che-Mpondahttp://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-47006837900790282422012-07-12T21:22:26.051-04:002012-07-12T21:22:26.051-04:00HahahahahahahahaahahahahaahahahahahahahaahHahahahahahahahaahahahahaahahahahahahahaahAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-46006604392865631832012-07-12T10:46:05.594-04:002012-07-12T10:46:05.594-04:00Hii inanikumbusha dada mmoja pale Magomeni Mapipa ...Hii inanikumbusha dada mmoja pale Magomeni Mapipa miaka ya 1990. Dada huyo Mswahili alikuwa na washikaji wawili, mmoja Mswahili na mwingine Mhindi. Alipopata mimba, mzigo huo aliukabidhi kwa Mswahili, lakini mtoto alipozaliwa alikuwa ni Mhindi. Mbinu aliyefanya yule binti kuhakikisha baba feki hagundui kuwa yule mtoto amesakiziwa ilikuwa ni kuhakikisha hana hata nywele moja kichwani. Alikuwa akimnyoa kila siku lakini ilibidi anyooshe mikono mtoto alipofika umri wa miaka mitatu kwa sababu alikuwa na sura ya kihindi pamoja na kwamba hakuwa mweupe sana. Mswahili aligundua na kuachia ngazi baada ya kumtunza mtoto ambaye si wake kwa miaka mitatu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-79373951752718234032012-07-11T01:18:10.166-04:002012-07-11T01:18:10.166-04:00Yote hayo ni nini, ni kutafuta maisha, kutafuta pe...Yote hayo ni nini, ni kutafuta maisha, kutafuta pesa....<br /> Vyema kesi kama hizi zikaamuliwa kwa nia njema ya kuwasaidia hawa watu, kuliko kuwafunga miaka mingi, wakitoka hapo wanatamanikufa tu!emuthreehttps://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.com