tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post7387758418268794985..comments2024-03-22T03:02:53.585-04:00Comments on Swahili Time: Ilivyokuwa Safari Yangu MbeyaChemi Che-Mpondahttp://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-16350875474087332622010-03-04T14:09:53.688-05:002010-03-04T14:09:53.688-05:00Jamani, mimi nitakuwa Mzee Kifimbo Cheza sasa. Wat...Jamani, mimi nitakuwa Mzee Kifimbo Cheza sasa. Watu wanaandika kama hawakuenda shule. Wanaandika Kiswahili kibovu. Wengine wanaandika vitu visivyo na mtiririko. Pengine tunasoma vitu ambavyo unaona kabisa aliyeandika hajui nukta inakaa wapi na mkato wapi? Nasema nitaaza kucharaza watu bakora ili kuwatoa ujinga.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-11825198410818144112010-03-04T01:58:07.598-05:002010-03-04T01:58:07.598-05:00Ujumbe umewafikia walengwa hata kama wengi wanakup...Ujumbe umewafikia walengwa hata kama wengi wanakuponda, lakini ukweli ni ukweli tu wenye kujifunza watajifunza, na wenye kubeza watabeza na kukukejeli sana.Sioni kama una nia ya kuupaka matope mkoa wa Mbeya, bali una nia ya kuufikisha ujumbe kwa jamii.Na hilo umelitimiza na wala hatuna haja ya kukuchunguza wewe binafsi,zaidi ya wale wanazamisha kwenye dimbwi hilo.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-48522651214946042252010-03-03T14:43:03.290-05:002010-03-03T14:43:03.290-05:00Pole kaka, naona utakuwa handsome sana.Pole kaka, naona utakuwa handsome sana.baamedinoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-19857508108112965922010-03-03T11:34:04.077-05:002010-03-03T11:34:04.077-05:00We mzee mzima acha unafiki hayo uliyo yasimulia ya...We mzee mzima acha unafiki hayo uliyo yasimulia yapo kila sehemu huko TZ, halafu inaonekana kama ulikula mzigo maana umesifia sana, Kupambana na Ukimwi ni kwa mtu binafsi hakuna mtu asiye jua madhara yake karibia kila familia imeguswa hapo TZ, kama unaamua kuikaataa ngono basi ikatae nasio kujipa majaribu wewe mwenyewe kwasababu hapo mbeya kuna Hotel nzuri tu na mambo hayo hakuna, sasa we unakwenda kwe Guest house za vichochoroni unategemea nini. wakati nyingine kuwa mwangalifu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-59169333447290617182010-03-03T11:34:04.078-05:002010-03-03T11:34:04.078-05:00Hello, mjasilimali wa Mbeya, ama kweli umenikuna m...Hello, mjasilimali wa Mbeya, ama kweli umenikuna maana huko Tukuyu ndo home mwenzio.Hayo uliyoyasimulia hapo Mbeya ni kweli tupu, na ungelala Kyela ndo ungeona ya Filauni.Lakini pia si Mbeya tu mimi nimeenda mikoa mingi shughuli ni hiyohiyo pevu kabisa.

lakini umeongea kitu cha maana sana yale madhehebu kule kwetu mengi ni ya kutafutia shibe.Waswahili husema"kwenye miti mingi hakuna wajenzi"utitiri wa madhehebu si utajiri na ubora wa ujuaji wa naneo la Mungu na uchaji wa roho.

Kwa ujumla umenifurahisha na kunifundisha mengi katika stori yako ya safari ya Mbeya.Hata kama kuna mengine umeyabuni lakini yote yamebeba ujumbe mahususi sana.Mwenye masikio na asikie!!

Nakutakia safari njema ya hiyo mikoa mingine na nangoja stori za huko pia kulikoni.

Mdau wa Tukuyu-Mbeya hadi USAAnonymousnoreply@blogger.com