tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post7395305847435142364..comments2024-03-22T03:02:53.585-04:00Comments on Swahili Time: Ameolewa na wanaume kumi kwa wakati moja!Chemi Che-Mpondahttp://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-21397105159655329932007-12-18T10:42:00.000-05:002007-12-18T10:42:00.000-05:00Angekuwa ni mwislamu ingehusishwa na dini.Lakini k...Angekuwa ni mwislamu ingehusishwa na dini.Lakini kwa sababu sio basi sio news sana.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-32314234454089087232007-12-15T07:42:00.000-05:002007-12-15T07:42:00.000-05:00Ni 'kutia fora' sio 'fola'Ni 'kutia fora' sio 'fola'Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-64893661878519685272007-12-15T04:44:00.000-05:002007-12-15T04:44:00.000-05:00Mwanamke hawezi kuhudumia kinyumba wanaume kumi. ...Mwanamke hawezi kuhudumia kinyumba wanaume kumi. Waeili tu ni kazi. Hizo ni Green Card marriages yaani ndoa za makaratasi. Shauri zake, na hao wanaume watakoma.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-69687010444384832642007-12-15T00:02:00.000-05:002007-12-15T00:02:00.000-05:00Chemi, hii ni kali. Nadhani inavunja rekodi za baa...Chemi, hii ni kali. Nadhani inavunja rekodi za baadhi ya akina dada wa kizaramo hapa bongo. Hawa wa hapa wanaweza kuwa wameolewa na mibaba miwili au mitatu hivi kwa wakati mmoja. Tofauti pia ni kuwa huwa hakuna vyeti vya ndoa hizo.

Huyo mama huko Amerika ametia fora. Yaelekea alikuwa anafanya kwa ajili ya fedha? Je, huyo mfungishaji naye alivuta kitu kidogo? Maana si bure. Mtu anarudi mara ya tatu mpaka ya tisa na bado kweli sura yake isiingie kichwani? Computer nazo ziligoma? Maswali ni mengi hapa.

asante Chemi kwa habari motomoto unazotuletea kutoka huko majuu.

Ciao!Anonymousnoreply@blogger.com