tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post7416019358157223823..comments2024-03-22T03:02:53.585-04:00Comments on Swahili Time: Washindi wa Tuzo za VinaraChemi Che-Mpondahttp://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-42063983062510183202008-06-04T10:32:00.000-04:002008-06-04T10:32:00.000-04:00Hongera washindi wote!Maonyesho Ijumaa ilikuwa saf...Hongera washindi wote!
Maonyesho Ijumaa ilikuwa safi sana!

Tungependa kuwakaribisha waongozaji wote wa filamu hapa Tanzania kuzipelekea filamu zao pale Alliance Francaise – kwa ajili ya uchaguzi wa awali (preselection). Filamu za kiswahili, hata za kiingereza, za aina na mitindo zote zinakaribishwa.
Tafathali mnaombwa kuja kabla ya mwisho wa mwezi wa sita kuzifikisha hapo.

Filamu zitazochaguliwa zitaonyeshwa wakati wa Tamasha la filamu za Ulaya hapa Dar es Salaam. Tamasha hili linahuandaliwa kila mwaka, watanzania na raia wa nchi mbalimbali duniani hufika kuangalia filamu tofauti. Tamasha hili huandaliwa na balozi za nchi za Ulaya na Kamisheni ya Ulaya hapa Tanzania.

Mwaka huu, kuanzia tarehe 10 mpaka tarehe 30 mwezi wa kumi, takribani filamu arobaini kutoka Ulaya zitaonyeshwa. Na zaidi kwa mara ya kwanza filamu za Tanzania zitaonyeshwa jijini Dar es Salaam na Arusha.

Kama unahitaji maelezo zaidi yoyote, kujaza fomu, kujisajiri na kuumua filamu zako, nenda Alliance Francaise, barabara ya Ali Hassan Mwinyi, nyuma ya Las Vegas Casino, Dar es Salaam. Tel. (022)2131406 / 0755481374 or email director@afdar.com, cultural@afdar.com.

Karibuni sana!

Regina
EFF CoordinatorAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-74402374861810881712008-06-04T05:11:00.000-04:002008-06-04T05:11:00.000-04:00Dada Chemi huyo ano wa 4:46PM amenikumbusha kitu m...Dada Chemi huyo ano wa 4:46PM amenikumbusha kitu muhimu cha kukuuliza.Nimekuwa nikisikia kwamba umecheza picha mbalimbali hapa bongo na uko(US) je tutafanyaje tzipate?kwani sina hakika kama hapa bongo zipo?pia vipi kuhusu vitabu ulivyoandika?mimi ningependa kusoma kama unavyo na nitavipataje?
zakaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-37411415765256743852008-06-03T20:44:00.000-04:002008-06-03T20:44:00.000-04:00Labda mwakani tutaisikia kwenye mashindano ya Tuzo...Labda mwakani tutaisikia kwenye mashindano ya Tuzo za Vinara.Chemi Che-Mpondahttps://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-80252321070211139622008-06-03T19:46:00.000-04:002008-06-03T19:46:00.000-04:00Da Chemi vipi picha yako ya Bongo Land IIDa Chemi vipi picha yako ya Bongo Land IIAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-8511281695667440962008-06-03T10:50:00.000-04:002008-06-03T10:50:00.000-04:00Naona Kanumba kapata Tuzo ya kweli safari hii!Naona Kanumba kapata Tuzo ya kweli safari hii!Anonymousnoreply@blogger.com